Thursday, 9 June 2016

Re: [wanabidii] HEKO BUNGE KUWAADHIBU WABUNGE WAHUNI

Binadam ukifikia. hali. ya. kujidharau kiwango hiki !!! kwisha. habari. ako ... wala humu. usijiingize. kujadili kwani umesha kiri. Ziro.kwanini. unapoteza Calors zako ku type   ambia kitu. ma zoro!!!

Ernest

Sent from my Samsung device

-------- Original message --------
From: isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
Date: 06-09-2016 9:19 PM (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] HEKO BUNGE KUWAADHIBU WABUNGE WAHUNI

Ni mtu mweusi pekee anaeweza kuuza kura yake kwa sahani moja ya pilau au kwa shs 2,000,
Nani anaejua gharama zilizotumika kujenga barabara za mwendo kasi Dar? Je unafikili Dar ilihitaji magari ya mwendo kasi? Kifupi Dar haikuhitaji magari ya mwendo kasi Dar ilihitaji barabara za juu kwenye junctions zake tu na tatizo la foleni lingeisha.
  Wale msionielewa mtanielewa tu kwa nini nasema mtu mweusi ni zero

On Jun 9, 2016 8:30 PM, wrote:

Hebu mniambie Rais gani mweupe aliewahi kuiba Fedha za taifa lake akaja kuficha africa, yupo??

On Jun 9, 2016 8:20 PM, wrote:

Wengi hamtanielewa kwa vile tu hamtaki kunielewa na hii ndio ndio ninayoisema hapa kwamba mtu mweusi mind yake inareed zero, angalia africa ilivyosheheni Mali ghafi za kila aina kifupi ni kwamba Africa ndo bara tajiri duniani lakini Mali kutoka Africa ndo inasitawisha mataifa yote ya watu weupe Kate duniani,
Angalia nchi yoyote ya kiafrika yaani nchi ya mtu mweusi popote ilipo iwe America, Asia Pacific carribiani America kusini na kwingineko duniani maisha yetu yanafanana!!!
Mnafikili kwa nini?
Kwa sababu akili zetu haziko sawasawa ndo maana mbunge wa upinzani anaweza kuzungumza kitu cha msingi kulisaidia taifa akazungumza kitu cha msingi kweli kweli kitaifa watu wa taifa Wakamwita mhuni.!!!!
Hivi kwa nini vijiweni unaweza kusikia wanasema ukituchukua sisi (watu weusi) ukatupeleka Marrekani baada ya muda mfupi mtajikuta marekani imekuwa nchi ya kiafrika ya hivyo then nchi waliokabidhiwa wamarekani  itakuwa safi!! 
Hebu fikilieni wale watoto pale udom walipelekwa na serikali  leo wanafukuzwa  kama mbwa! Kama makosa yalifanyika wakati huo kwa nini basi busara isingetumika kubadili kile walichokiasisi!!????  Mambo ni mengi sana siwezi kuyazungumza hapa yakaisha lakini agalia hata wanaojiita wasomi waliopo africa  ni wa hovyo  wanafanya mambo ya hovyo tu hawana msaada kwa mataifa yao.
Ni nchi ya mtu mweusi pekee duniani ambayo haina uvumbuzi wa kitu chochote, kipi???  Then nikisema mnasema nakufuru!! Hatuna kitu kwenye bongo zetu ndo maana tunaacha kushabikia vitu vya kijinga tunaacha vitu vya msingi matokeo yake nchi ya mtu mweusi ni "O".

On Jun 9, 2016 6:35 PM, "Telesphor Magobe" <tmagobe@gmail.com> wrote:
Kwa kuongezea kwa hiyo ya Kaunda kwa namna ambayo ni negative, Mwafrika anaweza akawa ndiye muuaji wa ndugu yako na ndiye atakayekuja pia kukupa pole akilaani watu waliofanya hivyo. Au anaweza akawa ndiye akakuchongea ukaachishwa kazi na ndiye atakayekuja kukupa stori kwamba mpango huo alipata tipu wakati fulani lakini hakuwa na hakika kama unaendelea. Hivyo, Mwafrika (wewe na mimi) anaweza kuwa mtu wa ajabu sana!

2016-06-09 18:18 GMT+03:00 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>:

Hii falsafa ya Kaunda nafikiri haihitaji litmus paper ila hii ya mweusi na bongo zero%
Hii kuipinga ni rahisi sana. Alieitoa ni mweusi lazima katumia ubongo hadi aje kwenye hitimisho hilo na ukirudi kwa Kaunda  inaonyesha kuchekewa na kuvumiliwa hakumaanishi uendelee kuwafanya watu wajinga.
Kumbukeni ya KULI

On Jun 9, 2016 08:51, "Telesphor Magobe" <tmagobe@gmail.com> wrote:
Kama tunashindwa kufanya tunachokiweza hata tumwombe Mungu namna gani hatutaweza! Intervention ya Mungu lazima iwe kitu extraordinary na siyo ordinary tunachoweza kufanya.

On Thu, Jun 9, 2016 at 4:37 PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:

Mungu atuhurumie,
Huyu Mungu tunaemwamini atusaidie. Kila mtu na aombe kwa lugha yake. Labda (nasema labda) ipo siku tutajielewa, na kukubali udhaifu wetu.
Mungi ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania. AMEN.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment