Mugobe. Ninaamini sasa kuwa umesoma neno kwa neno michango mingi ukiwamo wa kwangu. na naamini umeuelewa na ni haki kujibiwa. Ni kweli kuna kanuni nyingine ziliwekwa kukandamiza mambo fulani. Hivi ndivyo ilivyo ulimwenguni kote. Kuna mambo huwezi kuyajadili hivyo lazima utumie taratibu kandamizi. Mfano hai/mfu: Kama mgomo wa wanafunzi UDOM na UDISM uliandaliwa na wanaojionyesha kuwatetea wanafunzi. Serikali ikawatimua. Wachochezi wakaamua kusitisha shughuli za Bunge kujadili 'tatizo la wanafunzi'. Kwa nini serikali isitumie mifumo kandamizi iliyowekwa kwa makusudi mazuri kama hapo (Huu ni mfano tu kwa mawazo yangu).
Nchi na serikali haviwezi kwendeshwa kama kilabu cha mpira. Fikiria katika familia. Mtoto mmoja anaamua kuwa mlevi na kuharibu mali za familia. Halafu mtu anakuja na kusema 'Child rights'. Ni busara tukaiangalia serikali kama taasisi ya kuendesha familia yetu Tanzania. Tukajichunguza na kuchunguzana na kusomana. Tunaweza tukaelewa sababu zinazotamkwa na zisizotamkwa na serikali kwa hatua zingine inazochukua.
Hapa kilichofanyika naibu speaker aliamua kutumia kanuni kuzima mjadala wa kichichezi na kuwaambia haki zao wanaoleta hoja. Bila shaka mpaka wakati unafika kujadili mada kutakuwa hakuna haja tena. (nahisi). hiyo ndiyo 'critical thinking au independent judgement' yangu. Si lazima ifanane na yako lakini kushindwa kuihoji mtu akasema hajui watu wengine wanafikiria kwa kutumia nini inaonyesha upeo wa thinking yake.
Nilikuwa Marekani wakati wa sakata la matokeo ya uchaguzi kati ya Bush na Al Goal. Wamarekani kwa 90% waliamini Goal kashinda. Lakini bado alitangazwa na mfumo kandamizi kupitia ''mahakama huru'' kwa sababu moja kubwa. Mfumo ulikuwa umepangwa Sadam husein apigwe na Goal hakuwa tayari.
Tuwe na Critical thinking kwa mambo yanavyoenda nje na ndani.
Tunahimizwa kujenga demokrasia na kulinda haki za binadamu. lakini hizo ni 'instrument muhimu'' kw wahuni wa kimataifa kudistabilise serikali nyingi. Nakumbuka mgogoro wa Libya ulipoanza gadaffi alitoa hotuba iliyotoka mtandaoni. Nilitoa comment kwa Gadafi kuwa lazima utakwenda. Nilikuwa naona trend na ilitokea.
Ninafikiri kwa baadgi ya thinkers humu mimi ni mpuuzi kwa majibu haya. Sina uhakika kwa ''critical thinkers''.
--------------------------------------------
On Thu, 6/2/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] HEKO BUNGE KUWAADHIBU WABUNGE WAHUNI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, June 2, 2016, 3:51 PM
Ndiyo
maana mimi nasema 'we lack critical thinking au
independent judgement' - yaani huwa mtu fulani
akishasema kitu tunaona ni 'gospel truth'.
Kilichokuwa kinapiganiwa bungeni is the manner in which hao
students were treated. Unakumbuka waliokuwa wakipigia debe
the BRN, ambayo ni matokeo ya yale Rais alikuwa akiyaongelea
pia? Mimi nadhani bungeni kuna madudu yanafanyika na yana
udhi na mengine yanafanyika kwa kujificha kwenye kanuni
ambazo pia ziko kimaslahi zaidi kuliko ya mahitaji ya
mijadala chanya bungeni. Ndiyo maana wakati mwingine unaona
mbunge x anasimama na badala ya kuchangia anaanza kurusha
mabano upande wa pia na kiti kinamwachia tu hadi mwisho na
kisha anasema "anaunga mkono hoja kwa asilimia
100" wakati alichokuwa akiongea hakihusiani na hoja
hata kidogo. Udhaifu huu upo tena mara nyingi. Kwa upande,
mwingine mbunge y akiomba mwongozo kwa nia ya kutaka
ufafanuzi au kukosoa mwenendo wa michango inavyoenda anyimwa
hiyo fursa (bila ya sababu ya maana). Katika mazingira kama
haya kama baadhi ya wabunge wakiona hawatendewi haki na kama
namna wanayoweza kusema na kusikilizwa haipo wakichukua
hatua kama hao unaosema kwa mtazamo wako "sababu za
kipuuzi", je utawalaumu? Kwa maoni yangu, kutoka nje
kwa hao wabunge si sababu za kipuuzi na kama ni kweli ni za
kipuuzi basi hata uamuzi uliofanywa na ukasababisha
uliowafanya watoke wawe na sababu za kipuuzi za kutoka nje
ulikuwa wa kipuuzi pia.
2016-06-02 15:25 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Busara
ilianza wakati wa uchaguzi. WaTz waliwachagua watu makini.
Watu makini wakishaingia wingi unakuwa wa mwisho kuamua.
Kila anayeangalia TBC 2 vipindi vichache vya bunge live
anaona kuwa mijadara sasa inajadiliwa kwa ustaarabu. Kumbuka
sababu za kipuuzi kama hizi zilizowatoa wabunge haziwezi
kutoa nafasi nyimgine ya kupikiwa chai Ikulu. Lazima Wabunge
wa upinzani watafute namna ya kurudi bungeni. Hatutawacheka.
Waende wakaendeleze harakati zao kwa busara zaidi.
Kwa aliyemsilikiza magufuli UDSM atahisi mgogoro huu wa UDOM
ulichochewa na wanaojifanya wasamalia wema kwa wanachuo.
nchi hii inahitaji katiba inayompa mabavu Rais.
--------------------------------------------
On Thu, 6/2/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] HEKO BUNGE KUWAADHIBU WABUNGE
WAHUNI
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, June 2, 2016, 2:27 PM
Sheria
gani - hizi za "ndiyo...." zinazoegemea wingi
zaidi kuliko umakini/busara?
On Thu, Jun 2, 2016 at 1:24
PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
wrote:
Nasubiri utetezi wa Lissu na wenzake (uzuri mmoja
wengi kati yao ni wanasheria kitaaluma).
Wajitetee kisheria mbele yetu, Itatufungua zaidi. Ila
wasianze kusema sheria za bunge ni za kurekebishwa.
Wanasiasa wetu wajifunze na kuangalia mambo
yanavyobadilika. Watambue tupo darajani na sio
ng'ambo
ile tuliyotoka.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment