Sent from my iPhone
Wachokoza mada wote ingawa watasema hawafungamani na chama chochote lakini wanajulikana kuegemea upande gani, ingefaa angalau mmoja wa mchokoza mada awe mtu asiefungamana na upande wowote kama maprofesa Shivji, Chris Peter au Fimbo..--2016-01-23 14:22 GMT+03:00 Stephen Msechu <steve83msechu@gmail.com>:Chama cha Wanasheria Tanganyika kinawaalika wananchi wote kwenye kongamano la kujadili changamoto za kisheria zilizojitokeza katika uchaguzi mkuu wa 2015 Kwa Jamhuri ya Muungano na Zanzibar. Kongamano litafanyika ukumbi wa Blue Pearl Ubungo Plaza kesho jumapili tarehe 24/01/2016 kuanzia saa Saba Mchana hadi saa kumi na mbili jioni. Kiingilio ni uzalendo wako. Wachokoza mada ni:
--
1. Wakili Harold Sungusia gwiji wa Katiba na Haki za Binadamu,
2. Wakili Fatma Amani Karume mtaalamu wa Sheria za kimataifa, biashara na masuala ya Muungano
3. Wakili Othman Masoud Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Zanzibar
4. Wawakilishi wa Vyama vya Siasa. Mpaka sasa tumepokea mwakilishi wa CUF ambaye ni Ismail Jussa tunasubiri wawakilishi wa vyama vingine. Imetolewa na Kamati ya Katiba na Sheria ya Chama cha Wanasheria Tanganyika.
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanataaluma wa Tanzania" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanataaluma+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment