Monday, 25 January 2016

Re: [wanabidii] Tamko la kipindupindu

Si umeona Cathy Morogoro inavyoongoza kwa Kipindupindu (Chibiduke) lakini wakapambana na police waliokuwa wakizoa biashara zao zilizokuwa zikiuzwa kihatarishi? Si bado tunaona vyakula wazi na tunanunua na unakuta wanakula hapo hapo inzi zikipepewa? sasa sijui tuache wafu wazike wafu wao?-Kutokupokea wagonjwa wa kipindupindu hospitali ajitibie mwenyewe au abaki huko alikoutoa? Kufanyike nini kama kabati hata liwe na wavu na mfuniko-kuzuia inzi na upepo unaingia joto lisiozeshe-bado muuzaji anafunua mfuniko na kupepea inzi. Kufunika anaona watu hawataona bidhaa yake pamoja na kuwa alipokaa ni pa wauza samaki mstari mzima, pale vitumbua, pale nyanya. Akiwa na kikabati cha kioo mtu anaona bidhaa zilizo ndani-bado anawacha wazi pia mfuniko wake! Mtanzania-umfanye nini? Maji ya kuchemsha-yana ladha mbaya! Hakuna kuni, mkaa wa kuchemsha, vyombo vya kuhifadhi maji-lakini beer, viroba vinanywewa daily. Mungu atusaidie.

--------------------------------------------
On Mon, 25/1/16, 'cathysungura' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Tamko la kipindupindu
To: "'Hildegarda Lucian Petri' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>, "nsachrism" <nsachrism@yahoo.co.uk>, "MAHLEHLA, Eugene Tebogo" <mahlehlaeu@who.int>, shaibundeja@gmail.com, nufairaalex@gmail.com, "First name alex Chibunu" <adchibunu@yahoo.com>
Date: Monday, 25 January, 2016, 16:55




Sent
from my Samsung Galaxy
smartphone.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment