Siku zote mtu akiongea ukweli ulivyo na kusimamia haki huonekana ni ukawa hebu watu WA ccm badilikeni
On Jan 24, 2016 1:49 PM, "'leonard magwayega' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
-- --Mbona awali mlisema atakuwepo wakili Francis Stolla na leo mwasema ni wakili Harold Sungusia? Wote ni bomba sana katika areas hizo za haki za binadamu , siasa, katiba ya URT na Sheria za kimataifa ila stolla kwa mbwembwe na vichekesho vyake vyenye mantiki sana namkubali mno! Hata Harold namkubali ila ana mwelekeo wa UKAWA sana, atakuwa bias. Ila pia ni mtaalam sana wa katiba, haki za Binadamu na International Law, tatizo he is too UKAWA, nina wasiwasi mahaba ya UKAWA yatafanya apotoke!Bob Leo (Advocate).On Saturday, January 23, 2016 3:10 PM, Bubelwa Kaiza <bubelwa.kaiza@fordia.org> wrote:
Hello ndugu,
Hayo mambo ya kusema-sema kwa wanasheria hayana value added. Harakati waachiwe wenyewe - wanaharakati.
Iwapo kulikuwa na dosari za kisheria wanasheria wasaidie nchi kwa kuandaa na kupeleka mashitaka mahakamani.
Kama hakukuwa na dosari zozote au dosari zilikuwepo ila wanasheria wamezidiwa na woga, basi wakae kimya milele. Hakuna haja ya malalamiko bila matendo!
Kaiza
Executive Director
Concern for Development Initiatives in Africa (ForDIA)
P. O. Box 32505
Dar es Salaam
Tanzania
E-mail: bubelwa.kaiza@fordia.org
From: Stephen Msechu
Sent: 1/23/2016 2:22 PM
To: wanazuoni; wanabidii@googlegroups.com; wanataaluma@googlegroups.com
Subject: [TPN] TLS kuendesha kongamanoChama cha Wanasheria Tanganyika kinawaalika wananchi wote kwenye kongamano la kujadili changamoto za kisheria zilizojitokeza katika uchaguzi mkuu wa 2015 Kwa Jamhuri ya Muungano na Zanzibar. Kongamano litafanyika ukumbi wa Blue Pearl Ubungo Plaza kesho jumapili tarehe 24/01/2016 kuanzia saa Saba Mchana hadi saa kumi na mbili jioni. Kiingilio ni uzalendo wako. Wachokoza mada ni:--
1. Wakili Harold Sungusia gwiji wa Katiba na Haki za Binadamu,
2. Wakili Fatma Amani Karume mtaalamu wa Sheria za kimataifa, biashara na masuala ya Muungano
3. Wakili Othman Masoud Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Zanzibar
4. Wawakilishi wa Vyama vya Siasa. Mpaka sasa tumepokea mwakilishi wa CUF ambaye ni Ismail Jussa tunasubiri wawakilishi wa vyama vingine. Imetolewa na Kamati ya Katiba na Sheria ya Chama cha Wanasheria Tanganyika.
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanataaluma wa Tanzania" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanataaluma+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment