Friday, 8 January 2016

Re: [wanabidii] MSAKO WAHAMIAJI WANAOCHUKUA AJIRA ZA WAZAWA USIFANYIKE KWA UBAGUZI

Wachina wamejaa kila kona duniani. hawakuwepo UK in 1980s lakini in late 1990s -2009 walijaa kila kona UKo wanafanya kazi zaidi ya 3 kwa siku. Wamechukua kazi za black people ndio zaidi wafagiaji ndani ya mabweni na wauzaji vyakula kwenye fast foods. Wanigeria, wakenya na wahindi katika taxi. Waarabu na waturuki restaurants za kupika mapishi ya kwao. Marekani wafagia barabara kwa magari zaidi black people na wageni wengine ambao huingia katika kazi za hoteli, mabweni, udereva taxi, viwanda vya vitu mbali mbali kama cheap labour na plantation economy vibarua wa kazi mbali mbali. Wanalalamikia wageni wanaochukua kazi zao na sasa ndio wanalalamika zaidi na wahamiaji. Hata wanaokwenda kusoma abroad hujitafutia vibarua kiwizi hata kama hairuhusiwi wanakosha masufuria. Wenyeji hawataki kufanya kazi wanataka dezo ni kama huku kwetu pia na exuces zetu nyingi. Kila siku una attizo nyumbani kwa jirani. Kujituma utata. Kufanya kazi hatarishi kuzama migodini chini kama umeajiriwa unaona shida. mahoteli makubwa yanapendelea kuchukua wamalawi, wacongo, zambians-lugha, kujituma, uaminifu tofauti na wabongo. Lakini-tunalalamika mchina au mtu mwingine kuchukua kazi zetu. Tupo kutwa chini ya mti. Ukimpa kibarua mara anaomba advance na ukimpa humuoni tena kama ni kibarua. Ukimpa lori anabeba trip za wizi jioni anakwambia trip kapata chache lakini gari lipo hoi utengeneze.

Hao wafilipino nafuu lakini wapakistani, wahindi wanaokwenda uarabuni unapanda nao ndege kavaa ndala unashangaa. Waarabu wenyewe hawalalamiki kwa sababu wapo ndani, wanamiliki visima vya mafuta, ameajiri kampuni ya kizungu na wazungu wanachimba yeye na wanae wanaangalia mapato. Watoto wanasoma costly universities USA au UK wanakula raha ana magari kila siku anagonga hili ananunua lingine kesho. Raha na starehe vidosho vya kizungu kibao. Huwezi kufiriki wanaweza kufanya hivyo ukiangalia mawaidha yao ya dini na culture yao. Bado hao waafrica wanaokwenda uarabuni na wahamiaji haram ulaya wanaofishwa na kufanyakazi ndani ya viwanda, majumba na passport zao au mashahara wao hawezi kuweka bank maana hana social security namba na ruksa ya kuishi. Baadhi yao hutendewa vitendo vya udhalilishaji huko wanakowekwa na kufichwa for survival. Uarabuni hawatolalamika ila Ulaya na USA kulalamika kupo sana na kuonaongezeka kama ubaguzi wa rangi unavyokua kwa sasa kutokana na unemployment na economic hardship. Nasi tutumie nafasi zilizopo, tujitume sio mibaba ya vifua miraba 4 ipo imekaa kijiweni kusubiri abiria wa kupanda bus akate tiketi wakupandishie bei. Kutwa kucheza bao na bodaboda pembeni; unatembea kilometa 50 kwa siku na bango la mitumba na vipodozi mgongoni wakati nyumbani umeacha ardhi safi ya kilimo, kuna irrigation system kulima hutaki. Ila vizee vikisha kulima-kuwaibia mashambani na kusafirisha mazao mijini. Hapa kazi tu. Ifike sasa Waziri wa kilimo afungue mashamba vijijini na kumwambia Mchechu ajenge nyumba kama zile za manamba wakati wa ukoloni au zile za kilombero sugar plantation. Yapite magari yatubebe tupelekwe huko kulima na kuchambua mazao na kuvipaki kusafirishwa nchini na nje. Zoa zoa watoto wa mitaani waende kuho kambini kusoma na kusuka majamvi. Hii itapunguza uzembe na uvivu na kusongamana mijini bure wakati vijijini kuna nafasi na raslimali za kuzalisha mali kujikimu. Hapa sasa Kazi tu!!

--------------------------------------------
On Fri, 8/1/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MSAKO WAHAMIAJI WANAOCHUKUA AJIRA ZA WAZAWA USIFANYIKE KWA UBAGUZI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, 8 January, 2016, 18:41

Hildegarda,Ngoja nikisahihishe. Kwa Marekani
kama unauza burger, kuosha sufuria, kuchuma starberries na
michicha shambani, kuzoa takataka, hakuna
mzunguatalalamika kuwa unawachukulia kazi zao.
Hizo ni kazi ambazo wenyewe wenyeji hawataki kuzifanya. Ni
kama kule Uarabuni wamejaa Wafilipino,
Wapakistanwakifanya kazi ambazo Waarabu wanaona
si za hadhi yao.em
2016-01-08 10:15 GMT-05:00
'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:




Na sisi tunaohamia ulaya hata na madigrii ukisoma hutaki
kurudi bongo, unabaki kuosha mafusuria hotelini, kufagia na
kuzoa takataka kwa malori yao ya automatic; tupo tunauza
burger kule nao wanalalamika wageni kuchukua ajira zao. Na
huku wageni wanakuja. Ili wasifukuzwe wanaoa msichana na
familia inafurahia inawapa ardhi. Kama na sisi vijana wetu
wahamiaji ulaya wanapofika kule kuoa mama wazee ili apate
ruhusa ya kuishi. Kwa somo kunaliwa na kwa mwali pia-ngoma
droo



--------------------------------------------

On Thu, 7/1/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:



 Subject: Re: [wanabidii] MSAKO WAHAMIAJI WANAOCHUKUA AJIRA
ZA WAZAWA USIFANYIKE KWA UBAGUZI

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Thursday, 7 January, 2016, 15:13



 Sijakuelewa!em

 2016-01-07 6:28 GMT-05:00

 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:





 Siku hizi vibabu vizee vinaoa wasichana changu doa.
Kisha

 wananunua ardhi wanajenga mabonge ya nyumba na kuwa na

 magari mazuri 4 wheel drive ya kifamilia. Kila siku

 anatembelewa na watu wa kwao anajifanya nduguze na
rafiki

 zake. Kumbe hao ni watalii. Hela wanalipa ktk account
yake

 kwao, huku anawapa hela za TZ na halipi kodi. Kumbe ana

 kampuni ya siri ya kitalii. Wakwe wa kibongo nao siku
ya

 arusi wanawapa ekari kadhaa kama zawadi. Mzungu
anajilia

 vyake bongoland wala benefit sharing hakuna kwa kijiji.

 wanaoa mpaka wenye vilema ambao wakioa kwao
hawaruhusiwi

 kuzaa anafungwa kutokana kuwa ana hereditary diseases
kama

 down sydrome. Hapa unamuona kaoa, ulimi nje na kazaa na

 kabinti. Wachina nao soko lao lipo juu wanaoa
hawafungwi

 tena kama zamani walipokuwa wakijenga tazara. Akisha
kuoa

 kidili hivi anaingia na kutoka nchini kama kawa. Ndoa
dili

 siku hizi kwa wahamiaji haram. Tunaona sifa eti-kaolewa
na

 mzungu, kaolewa na Mburundi, Mkongomani, Mnigeria na

 nimewapa shamba kumbe ni dili kama wale vijana wetu
nwaendao

 ulaya akifike kule kama mhamiaji haram anaoa limama
lizee.

 anapata nyumba, anafanya vibarua ya kufagia barabara
kwa

 magari, kuosha vyombo hotelini, bustani za maua na
kusafisha

 nyumba. Wengine wanakimbilia makanisa ya kilokole eti

 wameokoka mradi apate pa msaada wa kula na malazi.
Akiona

 ameshakaa vizuri hamtaki huyo mama mzee na kuokoka
kunaisha.

 Miaka ya karibuni, akikaa kinyumba au kuoa limama la
mwisho

 chalinze kisha kumuona mdada wa kwao akahamia au
akamuoa

 akamwanja mama mtu mzima huyo-anapewa masaa 24 kuhama
nchi.

 Hawawapi tena vibali vya uhamiaji mara akio bali
huwaweka

 katika grace period ya miaka kwani janja yao
imejulikana.







 Kwa Mwali huliwa na kwa somo pia. Tunavyohamia kwa
wenzetu

 na mtu msomi anafagia barabara, manual work kadhaa na
wazawa

 kule kulalamika kuporwa kazi kwani tunakuwa cheap
labour,

 nasi huku tunalalamika eti wanachukua ajira ambapo nasi

 kutwa tupo vijiweni, tupo kutembeza used chupi na mashati
na

 spea za magari. Kazini kutwa unasoma simu huduma duni.
Mara

 umeaga ruhusa una arusi, kufiwa, udhuru kila
siku-wanaleta

 wahindi wenzao hatolelini kupika cheuro. Mahotelini

 ukikabidhiwa kufagia ndani-kazi yako kuibia wageni.
Analeta

 wachina wenzake, watu wa malawi na zamia kutoa huduma

 hotelini anakuacha wewe utakae utajiri wa harakaharaka

 kuibia wateja simu, pochi, laptop kisha unayeyuka kazi

 umekimbia. Kupiga zege kazi za ujenzi huwezi-unataka
malipo

 ya siku lakini unafika asubuhi mzigoni late na upo
mbwiii

 unanuka gongo!!



 Excuse me, wache waje lakini kwa kibali ili huduma
sekta

 mbalimbali ziwe nzuri, uchumi ukuwe, uzembe utufike
puani

 utoke tuuache!!















 --------------------------------------------



 On Thu, 7/1/16, Buberwa Jackob <buberwajackob@gmail.com>

 wrote:







  Subject: [wanabidii] MSAKO WAHAMIAJI WANAOCHUKUA AJIRA
ZA

 WAZAWA USIFANYIKE KWA UBAGUZI



  To: "Buberwa Jackob" <buberwajackob@gmail.com>



  Date: Thursday, 7 January, 2016, 14:10



















  MSAKO WAHAMIAJI WANAOCHUKUA AJIRA ZA



  WAZAWA USIFANYIKE KWA UBAGUZI







  WACHINA NA WAZUNGU NAO LAZIMA



  WASHUGULIKIWE ! BONGO SIYO SHAMBA LA BIBI !











  Ni juzi tu naibu waziri wa mambo ya ndani



  muandisi Mhe.Hamad Masauni aliiagiza Idara ya
Uhamiaji



  kusaka na kuwakamata  raia wageni wote wanaochukua

 ajira



  zinazoweza kufanywa na wataanzania, wito huo tayari



  umeshaitikiwa na idara ya uhamiaji mkoa Dar-es-salaam

 kama



  alivyosema Afisa Uhamiaji mkoa Bw.John Msumule kuwa



  watawasaka wahamiaji wanao chukua ajira za watanzania

 na



  kuwafikisha mahakamani.



  Mashaka ya ubaguzi katika kamata kamata hiyo!



  inawezekana zoezi hilo likafanyika kwaubaguzi



  bila makusudi,na wakakamatwa mfano raia wa Somali na



  wahabeshi wanauza milungi,warundi na wanyarwanda
ambao

 ni



  wakimbizi, namakundi mengine ambao ndiovinara



  wanaoongoza kwa kunyakua ajira zinazowezwa kufanywa
na



  watanzania wakaachwa. Mfano katika maeneo ya



  Kariakoo kuna wachina wanauza maduka na wanamiliki

 maduka



  tunajiuliza hivi kweli vibali vya uwekezaji
vinatolewa

 ovyo



  mpakakwa wachina kuwekeza katika



  maduka?!



  WAZUNGU NAO WAMO ! kuna raia wengi wa



  kizungu wameingia hapa kwa viza za kutalii na sasa

 wanafanya



  kazi mpaka za upishi na kutembeza watalii ! sasa

 inashangaza



  hii nchi kweli Shamba la Bibi ?



  KUNA MADANGULO yenye machangudoa kutoka Asia nayo



  yasakwe pia



  Kuna walinzi makolokoloni raia wa kigeni nao



  wanavibali vya kuishi na kupata ajira hapa nchini



  ?!Leo tunao hapa nchini Wachungaji katika



  makanisa ! wachungaji hao wengi wao toka Nigeria na

 makanisa



  yao yameibuka kama uyoga na kupata vibali vya
kuendesha



  shughuli zao Tanzania! 







  Wanenguaji na Marapa katika bendi za muziki nao



  pia kutoka nje ya nchi! hivi kunengua nako kuwashinde



  watanzania ?



  TUNAIOMBA IDARA YA UHAMIAJI IFUTE NA KUVIHAKIKI



  VIBALI VYOTE VYA WAGENI



  Zoezi hili lazima liwashikirikishe wananchi na



  serikali za mitaa



  Hapa Kazi TU























  --







  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







   







  Kujiondoa Tuma Email kwenda







  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya



  kudhibitisha ukishatuma







   







  Disclaimer:







  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility



  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence



  statements and facts must be presented responsibly.

 Your



  continued membership signifies that you agree to this



  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.







  ---







  You received this message because you are subscribed
to

 the



  Google Groups "Wanabidii" group.







  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails



  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.







  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.







 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma







 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.













 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment