Afadhali mtoto mwizi atadhibitiwa kwa kuadhibiwa na baba na mama yake. Je baba na mama wakiwa wezi watoto watakuwa na ubavu wa kuwadhibiti? Na je baba na mama wakiwa wezi na mtoto akiwa mwizi watakuwa na jeuri ya kumwadhibu mtoto mwizi tena ambaye wizi wake unakuwa ni manufaa kwa familia ya baba na mama yake?
Nimeuliza maswali haya kwa sababu ni mtu mwenye udhaifu wa kufikiri peke yake ndiye atakayeamini kuwa mamilioni ya wananchi maskini wanaotaka mabadiliko Tanzania umaskini wao umesababishwa na Lowassa 'eti ni fisadi'. Je Lowassa si alikuwa mwana CCM? Kama alikuwa fisadi na chama chake kilikuwa siyo fisadi na ufisadi wake haukuwa mali kwa chama chake ni kwa nini hakuwahi kufikishwa mahakamani sheria zichukue mkondo wake
Je Lowassa alishawahi kuwa Rais wa nchi hii? Je Lowassa ndiye CCM ?
Tujuavyo sisi wananchi CCM peke yake ndicho chama kilishawahi kupewa ridhaa ya kuongoza nchi yetu Tanzania.
Hivyo nchi ina mafuriko ya watu maskini wa kuadhibiwa ni chama kilichopewa ridhaa kuongoza nchi.
Tusijidanganye Watanzania tutafute ukweli maana ukweli utatuweka huru na utaisaidia nchi yetu kuondoka hapa ilipokwama kimaendeleo kwa kuakikisha inaweka misingi ya kuleta mabadiliko ya kweli-- kuweka misingi ya Kikatiba kuwezesha mfumo wa vyama vingi vya siasa kufanya kazi kwa ajili ya kunufaisha mamilioni ya wananchi na siyo kikundi kidogo cha watawala, familia zao na marafiki zao.
Lakini watawala wakiendelea kuweka mbele maslahi yao na ya CCM yao kimadaraka, Tanzania itaendelea kuwa nchi ya neema kwa kikundi kidogo tu cha watu na wawekezaji kutoka nje. Mamilioni ya wananchi wataendelea kuwa mafukara. Hii ni lazima itaipekekea Tanzania kuingia kwenye machafuko tuendako.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Sun, 10/11/15, franciskasili4@gmail.com <franciskasili4@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, October 11, 2015, 1:49 PM
Suala la ushahidi mezani
halina mashiko kwa sasa kwani kujihudhuru kwa Lowasa pasipo
ubishi ni ushahidi tosha na watanzania ndipo wanaposimamia
kwa sasa. Misemo na vijimaneno a.k.a vijembe havitamsafisha
Lowasa au kumfanya mtakatifu. Tarehe 25 siyo mbali
itatambulika nyeupe ni ipi na nyeusi ni ipi wakati
watanzania wanafanya maamuzi muhimu sana kwa future ya
taifa lao.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment