Friday 30 October 2015

Re: [wanabidii] MAMBO MATATU NILIYOYAONA UKUMBI WA KUKABIDHI CHETI CHA/KWA RAIS MTEULE

Du! mbona itakuwa kazi kumfahamu?

2015-10-30 13:19 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mabadiliko bin bandia anaweza kufungwa lakini mabadiliko bin Halisi hapana. lakini mfungwa niliyemuona ukumbi wa Diamond siye huyo
--------------------------------------------
On Fri, 10/30/15, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] MAMBO MATATU NILIYOYAONA UKUMBI WA KUKABIDHI CHETI CHA/KWA RAIS MTEULE
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Friday, October 30, 2015, 12:30 PM

 Mfungwa
 ninayemfahamu ni Mabadiliko au kuna mwingine?

 2015-10-30 12:24 GMT+03:00
 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

  Naandika haya ukiwa ni mda mfupi baada ya sherehe ndogo ya
 kumkabidhi Ndugu Magufuli cheti cha kumtambulisha kuwa ndiye
 aliyeteuliwa na watanzania kuwa Rais wa Tanzania.

 Nimeona mambo matatu ambayo kama sikukosea yanaitambulisha
 tanzania na demkrasia yetu na changomoto tulizo nazo.

 1) UPEO WA DEMOKRASIA TULIYO NAYO: Nimeona viongozi wa
 upinzani wakijumuika pamoja. Nimeona mgombea akikabidhiwa
 cheti mbele ya hadhara na viongozi wa vyama mbalimbali
 wakishangilia na kusemezana. ni kama nimeona pia watu
 wengine wakishangaa. Nilioona wakishangaa ni marais wastaafu
 wa Naigeria na Msumbiji. Nimeona na mabalozi wakishangaa.
 Hili si jambo dogo. Dr. Magufuli kama hakuliona akilissoma
 humu alikumbuke. Shughuli zinazoweza kuwakusanya viongozi
 wetu wa vyama mbalimbali zikionekana watanzania tutaujali
 ummoja. namuamini kwa ishara moja. Alipoambiwa aondoke
 ukumbini alichelewa kama dakika chache akiongea na waliokuwa
 wagombea wenzake. Hii iendelee.

 2) Nimeona watu waliokuwa wamevalia sare za chama cha
 mapinduzi. Mimi ni mwanachama wa CCM nisiyependa kuvaa sare
 hizi. Sare hizi ninafikiri ndani ya fikra zao huenda ni
 njema kwa sababu wagombea walioshinda ni wa CCM. Sijui kama
 wanajua kuwa waliomchagua walio wengi si wana CCM. kwa hiyo
 wangeujali utanzania na kuziacha sare hizo nyumbani mpaka
 siku ya chama.

 3)Nimeona mfungwa. Mfungwa huyo alianza kutumikia kifungo
 toka jana nadhani. Aliposimama kuwasalimia watanzania
 wenzake askari wasio na sare wakamzunguka. Nikaon asivyo na
 uhuru kwenda anakotaka. Atabaki kifungoni kwa myakla mitano
 na asipoangalia anaweza kuongezewa adhabu. Kifungo chake
 hakina punguzo kama vilivyo vya wafungwa wengine. Wao li;a
 siku hupunguziwa masaa kadhaa. nakumbuka mfungwa wa kwanza
 hapa Tanzania alipoachiwa alisema amekuwa huru.

 Kitendawili: tega: Mfungwa huyo ni nani?

 Muhingo

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed to
 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment