Kijana Maggid,
Nimekueleza jambo moja kwamba watawala wakiondoka madarakani na kuishi maisha ya taabu wanayoishi mamilioni ya Watanzania, ndipo huelimika na kujitambua. Sumaye ana miaka 10 toka aondoke madarakani. Ameishi uraiani na amejionea na kusikia maumivu ya maisha wanayoyapata mamilioni ya Watanzania. Na kwa maoni yangu kwa Sumaye kuthubutu wa kuondoka CCM ni wazi AMEBADILIKA na pengine kujutia baadhi mambo aliyoyashabikia akiwa madarakani. Hivyo badala ya kumsodoa tunahitaji kumpongeza kwa kubadilika. Ndiyo sababu nimesema hata wanaoshambikia kutoandikwa kwa Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi, kitambo kijacho lazima watajutia. Naamini walikataa kulinda maslahi binafsi na siyo ya nchi yetu Tanzania.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 10/29/15, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Sumaye Na Kisa Cha Mchimba Kisima..!
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, October 29, 2015, 7:23 PM
Mwalimu
wangu Ananilea,
Ahsante,
lakini, bahati njema kwangu ni kuwa nimeishi kuweza
kufuatilia siasa za nchi yetu kwa kushuhudia na kusoma
vitabuni. Fredrick Sumaye si mgeni kwangu. Kudhani kuwa
Sumaye ataweza kuleta mabadiliko ni kujitia upofu. Si Sumaye
huyu, kwenye uchaguzi mmoja wa ndani wa CCM mwaka 1998 ndiye
aliyehalalisha takrima pale mgombwa aliposhusha '
takrima' kwa wajumbe wa mkutano . Fredrick Sumaye
alifungua mkutano ule akiwa PM, na kwa vile mgombea alikuwa
' mtu wake; , Fredrick Sumaye akatutamkia watanzania
kuwa ' takrima' si rushwa ni ukarimu tu wa Kiafrika!
Na pale Kilimanjaro Sumaye huyo huyo alipata kuwaambia
wafanyabiashara waliokuwa wamepeperusha bendera zao za
upinzani kuwa
2015-10-29 11:02 GMT-07:00
'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Maggid,
Haitapita miaka mingi pia kuona wale wote walioikataa Katiba
Mpya iliyotokana na maoni ya wananchi wakijutia maamuzi
yao.
Mara nyingi viongozi hujitambua wakishaondoka madarakani
na kuishi maisha magumu wanayoishi wananchi.
Hivyo usimlaumu Fredrick Sumaye kwa kuondoka CCM, maana CCM
ni chama cha siasa siyo Tanzania ambayo ni mama yake na
mama yetu sote.
Kadhalika unaposema Sumaye ameshindwa kwenye uchaguzi huu
sijui uanatafsirije ushindi katika uchaguzi wa mwaka huu
2015.
Posti yangu moja hapa nimesema walioshindwa katika
uchaguzi wa mwaka huu ni Mamilioni ya Watanzania waliokuwa
wanatamani mabadiliko ili waweze kuandika Katiba Mpya
inayotokana na maoni yao. Lengo kupata serikali
inayowajibika kwa wananchi--kuondoa pengo kubwa la kipato
kati ya watawala wanaojitajirisha kufuru kwa fedha na mali
za Tanzania ili hali mamilioni ya Watanzania wakibaki
mafukara.
Hivyo, kumsodoa Sumaye kwa vile tu aliungana na UKAWA
waliokuwa wanapigania maslahi ya Mamilioni ya Watanzania
wanaotamani nchi yao kuwa na Katiba mpya ni ushabiki wa
kivyama ambao hauna tija kwa maslahikwa Tanzania na
Watanzania wengi. Ni muhimu utambue kuwa maslahi ya
Watanzania walio wengi ni muhimu kuliko maslahi ya mtu mmoja
mmoja au chama cha siasa.
Na ni mtu mwenye upeo mdogo wa uchambuzi wa masuala ya
siasa na maendeleo ya nchi yetu ndiye peke yake
atakayethubutu kuwanyooshea vidole wanaCCM walioondoka
kwenye chama hicho kwa lengo la kuchochea mabadiliko. Hii ni
kwa sababu nchi haiwezi kupata maendeleo bila watu kuwa na
fikra tofauti. Tafakari.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 10/29/15, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
wrote:
Subject: [wanabidii] Sumaye Na Kisa Cha Mchimba
Kisima..!
To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>,
"wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>,
Wanazuoni@yahoogroups.com
Date: Thursday, October 29, 2015, 6:25 PM
Ndugu
zangu,Fredrick
Tluway Sumaye ni mmoja wa walioshindwa sana kwenye
uchaguzi
mkuu wa mwaka huu.Ni heri ya Lowassa na Kingunge
kulikoni Sumaye. Nilibaki nikimshangaa Sumaye
aliposimama
majukwaani na kuiponda CCM huku akilaumu pia Katiba
inayovikandamiza vyama pinzani.Katika uchaguzi wa
mwaka huu yumkini wapiga kura
wamewaadhibu watu wa aina ya Sumaye na kuwaonyesha,
kuwa wao
wapiga kura si wajinga.Nilimshangaa Sumaye na
Kingunge kusimama majukwaani na
kulaumu mfumo ambao wao walishiriki kuujenga na
kuulinda.
Kwa Sumaye na Kingunge wanapolaumu Tume ya Uchaguzi na
Katiba ya Nchi ya mwaka 1977 wanasahau, kuwa wao wakiwa
madarakani walikuwa na nafasi ya kuweka mazingira ya
kufanyiwa mabadiliko.Ona
Fredrick Sumaye, ukiacha mapendekezo ya Jaji Francis
Nyalali
ya mwaka 1992 ambayo yaliainisha sheria 40 kandamizi,
na
hata Sumaye alipoteuliwa kuwa Waziri Mkuu mwaka 1995,
sheria
hizo 40 kandamizi alizikuta, hakufanya lolote.Mwaka
1998, Ben Mkapa aliunda Tume
ya Jaji Kissanga iliyomkuta Sumaye akiwa Waziri
Mkuu. White
Paper ile ya Jaji Kissanga, mbali ya mambo mengine,
ilipendekea pia Rais achaguliwe kwa kupata 50 plus
asilimia
za kura zote. Ikapendekeza pia Serikali tatu katika
muundo
wa Muungano. Nakumbuka pale Diamond Jubilee Hall, Ben
Mkapa
akiongea na wazee wa darisalaam aliinanga ripoti ya
Jaji
Kissanga akidai pia haikufuata adidu za rejea. Sumaye
alikuwepo kama Waziri Mkuu, alikuwa na nafasi ya kuweka
mazingira ya kurekebishwa kwa sheria hizo, lakini,
wakati
huo, alikaa kimya.Sumaye
alikuwa bize akichimba kisima ambacho leo ameingia
mwenyewe.Niwe mkweli kwa nchi
yangu, Fredrick Sumaye wa leo, kama alitaka
mabadiliko ya
kweli, alipaswa kuendelea kubaki CCM na kuifanya kazi
hiyo
ndani ya CCM- kama ' Born Again Sumaye' .
Angelikuwa
na jukwaa pana zaidi na angeaminika zaidi.Ni
dhahiri, kuwa matokeo ya leo
yamemtumbikiza Fredrick Sumaye kwenye kisima
alichokichimba
mwenyewe. Inasikitisha.Ni
mtazamo wangu.Maggid,
0754 678 252
Iringa.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment