Thursday 29 October 2015

Re: [wanabidii] Sumaye Na Kisa Cha Mchimba Kisima..!

Hii ingeweza kuwa sahihi kama Sumaye angekuwa ameanzia UKAWA na si baada ya kushindwa kupata nafasi ya kugombea CCM. haiwezekani akawa aliyaona maisha duni ya watanzania baada ya kukataliwa na ccm kugombea. Lakini pia hatupati akili zaidi baada ya kustaafu. Kama ingekuwa hivyo basi ingependekezwa viongozii wachukue uongozi kipindi kimoja wapumzike halafu warudi. Ninaamini viongozi wanakuwa wanaishi katika jamii kabla ya kuwa viongozi. hivyo wanaingia uongozini wakiwajua walivyo watu wanaowaongoza.
Kinyume cha haya mimi naona mtu mwenye ufinyu wa uchambuzi ndiye anayemuona Sumaye kama kaingia UKAWA kwa kutaka kuwasaidia watanzania
--------------------------------------------
On Thu, 10/29/15, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Sumaye Na Kisa Cha Mchimba Kisima..!
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, October 29, 2015, 9:55 PM

Kijana Maggid,
Nimekueleza jambo moja kwamba watawala
wakiondoka madarakani na kuishi maisha  ya taabu wanayoishi
mamilioni ya Watanzania, ndipo huelimika na kujitambua. 
Sumaye ana miaka 10 toka aondoke madarakani. Ameishi uraiani
na amejionea na kusikia  maumivu  ya  maisha wanayoyapata
mamilioni ya Watanzania.  Na kwa maoni yangu kwa Sumaye
kuthubutu wa kuondoka CCM ni wazi AMEBADILIKA  na pengine
kujutia baadhi mambo aliyoyashabikia akiwa madarakani. Hivyo
badala ya kumsodoa tunahitaji kumpongeza kwa kubadilika. 
Ndiyo sababu nimesema hata  wanaoshambikia kutoandikwa kwa
Katiba Mpya inayotokana na maoni ya  wananchi, kitambo
kijacho lazima watajutia. Naamini walikataa kulinda maslahi
binafsi na siyo  ya nchi yetu Tanzania.
Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Thu, 10/29/15, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] Sumaye Na Kisa Cha Mchimba Kisima..!
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, October 29, 2015, 7:23 PM

Mwalimu

wangu Ananilea, 
Ahsante,

lakini, bahati njema kwangu ni kuwa nimeishi kuweza
kufuatilia siasa za nchi yetu kwa kushuhudia
na kusoma
vitabuni. Fredrick Sumaye si
mgeni kwangu. Kudhani kuwa
Sumaye ataweza
kuleta mabadiliko ni kujitia upofu. Si Sumaye
huyu, kwenye uchaguzi mmoja wa ndani wa CCM
mwaka 1998 ndiye
aliyehalalisha takrima
pale mgombwa aliposhusha  '

takrima' kwa wajumbe wa mkutano . Fredrick Sumaye
alifungua mkutano ule akiwa PM, na kwa vile
mgombea alikuwa
' mtu wake; , Fredrick
Sumaye akatutamkia watanzania
kuwa '
takrima' si rushwa ni ukarimu tu wa Kiafrika!
Na pale Kilimanjaro Sumaye huyo huyo alipata
kuwaambia
wafanyabiashara waliokuwa
wamepeperusha bendera zao za
upinzani
kuwa
2015-10-29 11:02 GMT-07:00
'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Maggid,


Haitapita miaka mingi pia kuona wale wote walioikataa
Katiba
Mpya iliyotokana na maoni ya
wananchi wakijutia maamuzi
yao.



Mara nyingi viongozi hujitambua wakishaondoka
madarakani 
na kuishi maisha magumu
wanayoishi wananchi.



Hivyo usimlaumu Fredrick
Sumaye kwa kuondoka CCM, maana CCM
ni chama
cha siasa siyo Tanzania ambayo ni mama yake na 
mama yetu sote.



Kadhalika
unaposema Sumaye ameshindwa  kwenye uchaguzi huu
sijui uanatafsirije ushindi katika uchaguzi wa
mwaka huu
2015.



Posti
yangu moja hapa nimesema  walioshindwa katika
uchaguzi wa mwaka huu ni Mamilioni ya
Watanzania waliokuwa
wanatamani mabadiliko
ili waweze kuandika Katiba Mpya
inayotokana
na maoni yao. Lengo kupata serikali

inayowajibika kwa wananchi--kuondoa pengo kubwa la kipato
kati ya watawala wanaojitajirisha kufuru kwa
fedha na mali
za Tanzania ili hali
mamilioni ya Watanzania wakibaki

mafukara.



Hivyo, kumsodoa Sumaye kwa
vile tu aliungana na UKAWA
waliokuwa
wanapigania maslahi ya Mamilioni ya Watanzania
wanaotamani nchi  yao kuwa na Katiba mpya ni
ushabiki wa
kivyama ambao hauna tija kwa
maslahikwa Tanzania na
Watanzania wengi. Ni
muhimu utambue kuwa maslahi ya
Watanzania
walio wengi ni muhimu kuliko maslahi ya mtu mmoja
mmoja au chama cha siasa.



Na ni
mtu  mwenye upeo mdogo wa uchambuzi wa masuala ya
siasa na maendeleo ya nchi yetu ndiye peke
yake 
atakayethubutu kuwanyooshea vidole
wanaCCM walioondoka
kwenye chama hicho kwa
lengo la kuchochea mabadiliko. Hii ni
kwa
sababu nchi haiwezi kupata maendeleo bila watu kuwa na
fikra tofauti. Tafakari.





Ananilea Nkya

 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com




--------------------------------------------

On Thu, 10/29/15, Maggid
Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
wrote:



 Subject: [wanabidii]
Sumaye Na Kisa Cha Mchimba
Kisima..!

 To:
"mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>,
"wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>,
Wanazuoni@yahoogroups.com

 Date: Thursday, October
29, 2015, 6:25 PM





 Ndugu


 zangu,Fredrick

 Tluway
Sumaye ni mmoja wa walioshindwa sana kwenye

uchaguzi

 mkuu wa mwaka
huu.Ni heri ya Lowassa na Kingunge

 kulikoni Sumaye. Nilibaki nikimshangaa
Sumaye
aliposimama

 majukwaani na kuiponda CCM huku akilaumu pia
Katiba

 inayovikandamiza
vyama pinzani.Katika uchaguzi wa
mwaka huu
yumkini wapiga kura


 wamewaadhibu watu wa aina ya Sumaye na kuwaonyesha,
kuwa wao


 wapiga kura si wajinga.Nilimshangaa Sumaye na
Kingunge kusimama majukwaani na

 kulaumu mfumo ambao wao
walishiriki kuujenga na
kuulinda.

 Kwa Sumaye na Kingunge
wanapolaumu Tume ya Uchaguzi na

 Katiba ya Nchi ya mwaka 1977 wanasahau, kuwa
wao wakiwa

 madarakani
walikuwa na nafasi ya kuweka mazingira ya


 kufanyiwa mabadiliko.Ona

 Fredrick Sumaye, ukiacha
mapendekezo ya Jaji Francis
Nyalali

 ya mwaka 1992 ambayo
yaliainisha sheria 40 kandamizi,
na

 hata Sumaye alipoteuliwa
kuwa Waziri Mkuu mwaka 1995,
sheria

 hizo 40 kandamizi
alizikuta, hakufanya lolote.Mwaka
1998, Ben
Mkapa aliunda Tume

 ya
Jaji Kissanga iliyomkuta Sumaye akiwa Waziri
Mkuu. White


 Paper ile ya Jaji Kissanga, mbali ya mambo mengine,

 ilipendekea pia Rais
achaguliwe kwa kupata 50 plus
asilimia

 za kura zote. Ikapendekeza
pia Serikali tatu katika
muundo

 wa Muungano. Nakumbuka
pale Diamond Jubilee Hall, Ben
Mkapa

 akiongea na wazee wa
darisalaam aliinanga ripoti ya
Jaji

 Kissanga akidai pia
haikufuata adidu za rejea. Sumaye

 alikuwepo kama Waziri Mkuu, alikuwa na
nafasi ya kuweka


 mazingira ya kurekebishwa kwa sheria hizo, lakini,
wakati


 huo, alikaa kimya.Sumaye

 alikuwa bize akichimba kisima ambacho leo
ameingia

 mwenyewe.Niwe
mkweli kwa nchi

 yangu,
Fredrick Sumaye wa leo, kama alitaka

mabadiliko ya

 kweli,
alipaswa kuendelea kubaki CCM na kuifanya kazi
hiyo


 ndani ya CCM- kama ' Born Again Sumaye' .
Angelikuwa


 na jukwaa pana zaidi na angeaminika zaidi.Ni
dhahiri, kuwa matokeo ya leo


 yamemtumbikiza Fredrick Sumaye kwenye
kisima
alichokichimba

 mwenyewe. Inasikitisha.Ni


 mtazamo wangu.Maggid, 


 0754 678 252

 Iringa.








 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email
kwenda




 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone
posting to this Forum bears the sole

responsibility

 for any
legal consequences of his or her postings, and
hence


 statements and facts must be presented responsibly.
Your


 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to
abide by our Rules and
Guidelines.



 ---



 You received this message
because you are subscribed to
the

 Google Groups
"Wanabidii" group.



 To
unsubscribe from this group and stop receiving
emails


 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---

You
received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this
group and stop receiving emails
from it,
send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment