Friday 30 October 2015

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Uchambuzi: Zanzibar Inaumiza Kichwa..

Kuna siku nilisema, watu ambao hawana data za kutosha wasiandike kuhusu jambo kwa sababu watatoa taarifa ambazo hazina ukweli. Hizi hoja za U-Hizbu, zinatumiwa na watu wa CCM kuwagawa Wazanzibari. CCM haitakiwi Zanzibar. Hivi Mzee Moyo, akina Himid akina Karume ambaye kutoka moyoni anaitaka CUF lakini maslahi binafsi ndiyo yanamchelewesha tu, Fatuma yeye ashachukua kadi tayari, je hawa ni wapemba? Kama sio, u
Hizbu na u ASP unatoka wapi? Hata Kama u- Hizbu umekuwa na nafasi, Kama wananchi walio wengi wanautaka, tatizo liko wapi, si ni demokrasia?

Sent from my iPhone

> On 30 Oct 2015, at 13:58, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
>
> Hizbu

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment