Saturday 31 October 2015

[wanabidii] Kuna Vichwa Vya Kubingirishwa Zanzibar..!


Ndugu zangu,

Nimesoma leo, kuwa CUF wanasema hawaturudi tena kwenye uchaguzi mwingine. Lakini, kwa tunaofuatilia siasa za Zanzibar, si majibu ya ajabu.

CUF wamekasirishwa, na CCM nao wameonyesha au wataonyesha kukasirishwa na hali hii ya sasa ya ' Political impasse'.

Hakuna namna nyingine ya kufanya bali pande husika kukaa kwa hiyari au kushawishiwa/kulazimishwa kukaa kwenye meza ya mazungumzo kutafuta namna ya kusonga mbele.

Katika hali hizo, huwa kuna hitaji la kuona kichwa au vichwa vikibiringishwa kwenye vumbi. Kulazimishwa kuachia ngazi. Nakiona kichwa cha Jecha Salim Jecha kikiwa kwenye hatihati ya kuingia kwenye hatma hiyo.

Na tusubiri kuona...

Maggid.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment