Friday, 30 October 2015

Re: [wanabidii] Tunafanyaje Na Watoro Milioni Nane Wa Kupiga Kura?

Sijafanya utafiti rasmi. lakini katikq mchakato huu nina watu wasiopungua 150 niliowasaidia kuamua kupiga kura. Walilenga kutopiga kura. Sababu: hawaoni sababu na faida ya kupiga kura. Kuna wengine wanasema lazima CCM itashinda na hawaitaki. Wanasema lazima CCM iibe kura. Kuna wengine mtu waliyekuwa wanataka achaguliwe hakuteuliwa. Ukiuliza zaidi unaona huyo walikuwa wanampenda kwa sababu ya uraiki wala sio ubora wake.
Hata waliipiga kura walipiga kwa sababu zisizo na maana. Sipendi kurudi viwanja vya kampeni lakini kulikuwa na wagombea wanaongea utumbo na wanashangiliwa.
Kama utafiti hautagundua tofauti mimi naona kuna haja ya eliku ya uraia. Kuaznia darasa la kwanza mpaka sekondari watu wajue nini wajibu wa diwani, Mbunge Ras nk Wajue baraza la madiwani wanasaidia nini. kazi za bunge wa wajibu wake nakadhalika.
Watoto waliofundishwa hivyo uchaguzi ukifika akiwa na miaka 17 utamkuta anawahimiza wahusika kwenda kupiga kura
--------------------------------------------
On Fri, 10/30/15, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Tunafanyaje Na Watoro Milioni Nane Wa Kupiga Kura?
To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>, "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>, Wanazuoni@yahoogroups.com
Date: Friday, October 30, 2015, 10:01 PM


Ndugu
zangu, 
Kuna mambo
mawili yamenishtua kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Kwa mujibu
wa Tume, kati ya watu waliojiandikisha. Kuna wapiga kura
takribani milioni nane wameingia mitini. Ndio,
'wametoroka' kupiga kura. 
Yumkini kuna
miongoni mwao wenye sababu za msingi za kutoshiriki zoezi
hilo siku ile ya oktoba 25, lakini kuna haja ya kufanya
tafiti kujua kwanini idadi ni kubwa hivyo sawa na wananchi
wote wa nchi ya Rwanda. Zoezo la Kupiga kura ni
gharama.
Jambo la pili
ni ukweli kuwa wapiga kura laki nne kura zao zimeharibika.
Hili nalo linahitaji utafiti tujue ni kwa nini hasa. Mjadala
uko wazi.
Maggid




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment