Friday, 30 October 2015

Re: [wanabidii] MAMBO MATATU NILIYOYAONA UKUMBI WA KUKABIDHI CHETI CHA/KWA RAIS MTEULE

Kudos Muhingo kwa uchambuzi wako. Kazi ianze ya kuwachukulia hatua ya kisheria mafisadi. Magufuli aliahidi hata kuanzishha mahakama ya mafisadi.Is it easier say than done?

On Oct 30, 2015 12:24 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Naandika haya ukiwa ni mda mfupi baada ya sherehe ndogo ya kumkabidhi Ndugu Magufuli cheti cha kumtambulisha kuwa ndiye aliyeteuliwa na watanzania kuwa Rais wa Tanzania.
Nimeona mambo matatu ambayo kama sikukosea yanaitambulisha tanzania na demkrasia yetu na changomoto tulizo nazo.
1) UPEO WA DEMOKRASIA TULIYO NAYO: Nimeona viongozi wa upinzani wakijumuika pamoja. Nimeona mgombea akikabidhiwa cheti mbele ya hadhara na viongozi wa vyama mbalimbali wakishangilia na kusemezana. ni kama nimeona pia watu wengine wakishangaa. Nilioona wakishangaa ni marais wastaafu wa Naigeria na Msumbiji. Nimeona na mabalozi wakishangaa. Hili si jambo dogo. Dr. Magufuli kama hakuliona akilissoma humu alikumbuke. Shughuli zinazoweza kuwakusanya viongozi wetu wa vyama mbalimbali zikionekana watanzania tutaujali ummoja. namuamini kwa ishara moja. Alipoambiwa aondoke ukumbini alichelewa kama dakika chache akiongea na waliokuwa wagombea wenzake. Hii iendelee.

2) Nimeona watu waliokuwa wamevalia sare za chama cha mapinduzi. Mimi ni mwanachama wa CCM nisiyependa kuvaa sare hizi. Sare hizi ninafikiri ndani ya fikra zao huenda ni njema kwa sababu wagombea walioshinda ni wa CCM. Sijui kama wanajua kuwa waliomchagua walio wengi si wana CCM. kwa hiyo wangeujali utanzania na kuziacha sare hizo nyumbani mpaka siku ya chama.

3)Nimeona mfungwa. Mfungwa huyo alianza kutumikia kifungo toka jana nadhani. Aliposimama kuwasalimia watanzania wenzake askari wasio na sare wakamzunguka. Nikaon asivyo na uhuru kwenda anakotaka. Atabaki kifungoni kwa myakla mitano na asipoangalia anaweza kuongezewa adhabu. Kifungo chake hakina punguzo kama vilivyo vya wafungwa wengine. Wao li;a siku hupunguziwa masaa kadhaa. nakumbuka mfungwa wa kwanza hapa Tanzania alipoachiwa alisema amekuwa huru.
Kitendawili: tega: Mfungwa huyo ni nani?
Muhingo
 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment