Saturday 31 October 2015

[wanabidii] TUSIPOWAHI TUTAWAHIWA-NANI SPEAKER?

Sehemu kubwa ya uchaguzi umekwisha. Tunaye rais ajaye. Tunamuita rais mteule. Tunao wabunge wateule. Hatuna Bunge bado.
Kuwa na rais ni hatua kuelekea kuwa na serikali. Hatujapata waziri Mkuu. Hatuna nafasi ya kumteua. Hii iko mikononi mwa rais. Lakini tunaweza kumsaidia kwa kusema sema tu.
Ili kuwa na Bunge lazima tuwe na Speaker na naibu wake. Hatuna nafasi ya kumchagua. Lakini twaweza kusema na kusema huko kukashawishi.
Tukiangalia nyuma na kuona matokeo ya uchaguzi tunaona bunge ambalo kama likipata Speaker aina ya makinda basi hesabu za 2x2=6 zitarajiwe. Maana yake ni wabunge wa upinzani kutoka nje lakini bila impact. Mpaka ifike kwa rais ili busara itende. Tukiwa na Speaker kama Sitta hapo tuna uhakika wa kuwa na bunge linalojadili mambo kwa manufaa ya taifa letu.
Sitta na umakini wake katika kuliendesha bunge alikuja kujichafua alipokuwa akiliongoza bunge la katiba.
Kama jina la Sitta likijitokeza, nitakuwa tayari kumtetea.
Makosa aliyoyafanya katika bunge a katiba yanaelezeka na yanasahihishika. Kama kuna watu walikuwa tayari wamemsamehe lowasa tena bila kutubu au kukiri kosa kwa nini asisamehewe Sitta kwa kosa la utendaji na mashinikizo tunayoyajua?
Kuna jambo gumu kuwa. Kumpata Speaker kutoka upinzani. Wingi wa wabunge wa CCM kuwashawishi wakatosha kumpitisha, ni ndoto Ikiwwezekana basi itafurahisha. Kinyume Sitta aje.


--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment