Ndugu zangu,
Kuna mambo mawili yamenishtua kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Kwa mujibu wa Tume, kati ya watu waliojiandikisha. Kuna wapiga kura takribani milioni nane wameingia mitini. Ndio, 'wametoroka' kupiga kura.
Yumkini kuna miongoni mwao wenye sababu za msingi za kutoshiriki zoezi hilo siku ile ya oktoba 25, lakini kuna haja ya kufanya tafiti kujua kwanini idadi ni kubwa hivyo sawa na wananchi wote wa nchi ya Rwanda. Zoezo la Kupiga kura ni gharama.
Jambo la pili ni ukweli kuwa wapiga kura laki nne kura zao zimeharibika. Hili nalo linahitaji utafiti tujue ni kwa nini hasa. Mjadala uko wazi.
Maggid
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment