Saturday, 31 October 2015

Re: [wanabidii] MAMBO MATATU NILIYOYAONA UKUMBI WA KUKABIDHI CHETI CHA/KWA RAIS MTEULE

Elisa mfumo wetu ni "composite" - una madudu mengi mno. Njia pekee ni 'radical overhaul'. Na rasimu ya Warioba ndiyo inayoleta 'radical overhaul'. Vinginevyo hakuna mabadiliko/kubadilika!

2015-10-31 14:57 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Hata kikwete alimnadi Mramba ambaye ana kazi maalum Segerea sasa. Kinana alimsifia Lowasa ambaye chama kilimdondosha. ni approach waliyoitumua wakatu huo. Angekuwa Sokoine asingeikubali. Magufuli yuko upande gani-Wa Kikwete au Sokoine? Tusubiri aingie. Tunachojua ni kuwa hakumhurumia naobu wake wizara ya afya. hakujali meli zilizobeba samaki zetu nani mshirika. That is an-iceberg
--------------------------------------------
On Sat, 10/31/15, Jacob Ruvilo <ruvilo2010@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] MAMBO MATATU NILIYOYAONA UKUMBI WA KUKABIDHI CHETI CHA/KWA RAIS MTEULE
 To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Saturday, October 31, 2015, 10:52 AM

 Magufuli
 alimnadi Tiba jimboni ile ilikuwa ishara tosha kuwa mfumo
 umemmeza.
 On Oct 31, 2015 10:35 AM,
 "fatma_elia via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:
 Elisa

 Pamoja na ubabe wake hataweza kuwadhibiti Mafisadi maana
 kama kweli mlikuwa na nia ya kuwakata kama mlivyofanya kwa
 Lowassa ilikuwaje mkawaacha kugombea majimboni? Hatimae
 naona wengi tu wamerudi mjengoni

 Fatma

 Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
 Tanzania.

 -----Original Message-----

 From: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii"
 <wanabidii@googlegroups.com>

 Sender: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Fri, 30 Oct 2015 23:22:55

 To: <wanabidii@googlegroups.com>

 Reply-To: wanabidii@googlegroups.com

 Subject: Re: [wanabidii] MAMBO MATATU NILIYOYAONA UKUMBI WA
 KUKABIDHI CHETI

  CHA/KWA RAIS MTEULE

 Mafisad wako wengi ambao jumla ya mali walizoiba ni nyigi.
 akizikusanya hizo na akashindwa kukusanya za mkapa na
 Kikwete hatuwezi kumdharau na tutajua hata baadhi yetu
 tulihisi hivyo.

 Lakini haja yetu ni namna gani atauzuia ufisadi na kuweka
 misingi ya kuuzuia hata awamu zijazo. Akifanikiwa kufanya
 hivyo bila kuwakamata waliotangulia bado inatosha.

 --------------------------------------------

 On Sat, 10/31/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
 wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] MAMBO MATATU NILIYOYAONA UKUMBI
 WA KUKABIDHI CHETI CHA/KWA RAIS MTEULE

  To: "wanabidii@googlegroups.com"
 <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Saturday, October 31, 2015, 12:18 AM

  Easier

  said than done. Sidhani Magufuli anao ubavu wa
 kufuatilia

  ufisadi wa Mkapa na Kikwete na familia

  yake.em

  2015-10-30 9:28 GMT-04:00

  Faiza Hassan <wasitara@gmail.com>:

  Kudos Muhingo kwa uchambuzi wako. Kazi ianze ya

  kuwachukulia hatua ya kisheria mafisadi. Magufuli
 aliahidi

  hata kuanzishha mahakama ya mafisadi.Is it easier say
 than

  done?

  On Oct 30, 2015 12:24

  PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii"
 <wanabidii@googlegroups.com>

  wrote:

   Naandika haya ukiwa ni mda mfupi baada ya sherehe ndogo
 ya

  kumkabidhi Ndugu Magufuli cheti cha kumtambulisha kuwa
 ndiye

  aliyeteuliwa na watanzania kuwa Rais wa Tanzania.

  Nimeona mambo matatu ambayo kama sikukosea
 yanaitambulisha

  tanzania na demkrasia yetu na changomoto tulizo nazo.

  1) UPEO WA DEMOKRASIA TULIYO NAYO: Nimeona viongozi wa

  upinzani wakijumuika pamoja. Nimeona mgombea
 akikabidhiwa

  cheti mbele ya hadhara na viongozi wa vyama mbalimbali

  wakishangilia na kusemezana. ni kama nimeona pia watu

  wengine wakishangaa. Nilioona wakishangaa ni marais
 wastaafu

  wa Naigeria na Msumbiji. Nimeona na mabalozi
 wakishangaa.

  Hili si jambo dogo. Dr. Magufuli kama hakuliona
 akilissoma

  humu alikumbuke. Shughuli zinazoweza kuwakusanya
 viongozi

  wetu wa vyama mbalimbali zikionekana watanzania
 tutaujali

  ummoja. namuamini kwa ishara moja. Alipoambiwa aondoke

  ukumbini alichelewa kama dakika chache akiongea na
 waliokuwa

  wagombea wenzake. Hii iendelee.

  2) Nimeona watu waliokuwa wamevalia sare za chama cha

  mapinduzi. Mimi ni mwanachama wa CCM nisiyependa kuvaa
 sare

  hizi. Sare hizi ninafikiri ndani ya fikra zao huenda ni

  njema kwa sababu wagombea walioshinda ni wa CCM. Sijui
 kama

  wanajua kuwa waliomchagua walio wengi si wana CCM. kwa
 hiyo

  wangeujali utanzania na kuziacha sare hizo nyumbani
 mpaka

  siku ya chama.

  3)Nimeona mfungwa. Mfungwa huyo alianza kutumikia
 kifungo

  toka jana nadhani. Aliposimama kuwasalimia watanzania

  wenzake askari wasio na sare wakamzunguka. Nikaon asivyo
 na

  uhuru kwenda anakotaka. Atabaki kifungoni kwa myakla
 mitano

  na asipoangalia anaweza kuongezewa adhabu. Kifungo
 chake

  hakina punguzo kama vilivyo vya wafungwa wengine. Wao
 li;a

  siku hupunguziwa masaa kadhaa. nakumbuka mfungwa wa
 kwanza

  hapa Tanzania alipoachiwa alisema amekuwa huru.

  Kitendawili: tega: Mfungwa huyo ni nani?

  Muhingo

   --

   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   Kujiondoa Tuma Email kwenda

   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya

   kudhibitisha ukishatuma

   Disclaimer:

   Everyone posting to this Forum bears the sole

  responsibility

   for any legal consequences of his or her postings,
 and

  hence

   statements and facts must be presented responsibly.

  Your

   continued membership signifies that you agree to this

   disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.

   ---

   You received this message because you are subscribed
 to

  the

   Google Groups "Wanabidii" group.

   To unsubscribe from this group and stop receiving

  emails

   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

   For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed to

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment