Elisa
Wewe ukiwaza hivyo tunaweza kukubaliana lakini viongozi wetu hawalitaki hilo. Wanataka ni lazima Zanzibar iongozwe nia Kiongozi kutoka CCM. Hiyo ndio sababu hadi sasa hivi kumekuwa na sintofahamu ya kumtangaza mshindi. Sitaukana uanachama wangu wa CCM lakini natamani na wenzangu nao waongoze tuwaone ili tupate muda wa kukaa chini na kutafakari ni wapi tulipokosea hadi wananchi wakafikia kutuchukia. Mara nyingi napenda ninapokosea nipajue na hata ikibidi mwingine kuongoza ili nijue
Elisa kuna mambo mengi chama chetu kimefanya mengine kwa kujua na mengine kwa kutokujua. Waliyofanya kwa kujua ni kutokana na jeuri ya dola wakijua kwamba hawawezi kuulizwa wala kuwajibishwa. Sasa hivi ilikuwa ni muda muafaka wa kulirekebisha hilo kabla halijakuwa baya zaidi la kuwafikisha wahusika katika mahakama za kimataifa. Hatuna haja ya kufikishana huko kama ndugu zetu wa Kenya ila kama tutapuuzia haya madogo yakiwa makubwa itabidi
Muda muafaka ni sasa alieshinda Zanzibar apewe haki yake tumuone nae uwezo wake kama hatatufanyia aliyotuahidi hatutakuwa na haja ya kumuongezea muda
Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
-----Original Message-----
From: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 30 Oct 2015 03:13:44
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Re: [TPN] UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR KURUDIWA
Fatma.
Nina imani zajabu. naamini kuwa mara kadhaa matakwa ya wananchi Zanzibar hayakufuatwa. naamini kuwa zamu hii yatafuatwa. naamini pia kuwa njia za kidiplomasia zitatufikisha huko.
Natamani jambo la ajabu. CCM kuiongoza serikali ya jamhuri ambayo ina Zanzibar inayoongozwa na chama tofauti na tanzania ikadumu. naamini pia kuwa wakati huo ni sasa. natamani matokeo ambayo hayajatangazwa yako hivyo na yanastahili kutangazwa.
--------------------------------------------
On Fri, 10/30/15, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Re: [TPN] UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR KURUDIWA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, October 30, 2015, 6:39 AM
Elisa
Serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar bado inaendelea na
kinachotakiwa ni kwamba kwa vile mshindi huku keshajulikana
mapema sana kabla ya huko kwenu lakini wamegomea kumtangaza
hadi kufikia Mwenyekiti bila kumshirikisha mjumbe yeyote wa
ZEC atamke kufuta uchaguzi ili watakaporudia hakutakuwa na
tension ya huko bara na itakuwa rahisi kuwasomba watu wa
huko kuja kupiga kura huku.
Kinachotakiwa ni kumtangaza mshindi kama mlivyofanya huko
kisha Serirkali ya umoja wa kitaifa itaendelea kwa Maalim
Seif kuwa Rais na Dr. Shein kuwa Makamu wa kwanza wa Rais
Hapo ndio panakuwa pagumu kwa yule aliezoea kushinda tu hata
ikibidi kunyang'anya alimradi atangazwe mshindi
Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
Tanzania.
-----Original Message-----
From: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 29 Oct 2015 12:56:11
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Re: [TPN] UCHAGUZI
MKUU ZANZIBAR KURUDIWA
Fatma neno hili sio lako.
Najua unajua kuwa katiba inampa ukomo mtu kuongoza si zaidi
ya vipindi viwili. najua unajua kuwa chama hakina ukomo
haikuwahi kupendekezwa hata wakati wa kukusanya maoni. Japo
watanzania walikusudia kuibadilisha CCM uchaguzi wa mwaka
huu mawazo hayo yaliisha mara baada ya CHADEMA kutomuawka
mgombea bora. Wakaamua kuendelea na chama chao kilichopo.
--------------------------------------------
On Thu, 10/29/15, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Re: [TPN] UCHAGUZI
MKUU ZANZIBAR KURUDIWA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, October 29, 2015, 4:49 PM
Mashaka
Mseto haujabadilika bali kuna
wale wanaotaka waongoze milele hawataki kuongozwa. Hakuna
haki Tanzania hii tunaburuzana tu
Fatma
Sent from my
BlackBerry® smartphone provided by Airtel
Tanzania.From: "'Mashaka
Makana' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 28 Oct 2015 22:52:29
-0700To:
wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo:
wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni]
Re: [TPN] UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR KURUDIWA
Bora
wafanye ule mseto uendelee hii gharama ya uchaguzi wa
marudio ni kuumiza wananchi
Sent
from Yahoo Mail on Android From:"fatma_elia via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date:Wed, Oct 28, 2015 at 16:57
Subject:Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni]
Re: [TPN] UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR KURUDIWA
Pamoja na taarifa za
kufutwa kwa uchaguzi Zanzibar nimebaki na maswali ambayo
sijui ni nani anayeweza kunijibu
1. Serikali
iliyokuwepo ilikuwa imemaliza muda wake kwa maana hiyo
haina
uhalali wa kisheria kuendelea kuwa madarakani. Hadi hapo
tutakaporudia uchaguzi ni nani atakuwa na jukumu la
kuiongoza nchi?
2. Tume imedai
kulikuwa na mapungufu mengi yaliyosababisha kufutwa
kwa
uchaguzi huo. Je wakati wa marudio ni Tume hiyo hiyo ndio
itakayosimamia huo uchaguzi au ni Tume ipi?
3. Gharama za kurudia uchaguzi huo zitatoka
wapi wakati tumeshuhudia watu wanakufa kwa kukosa huduma
pamoja na madawa hospitalini?
Sent from
my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
Tanzania.From: Elias Mhegera
<mhegera@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 28 Oct 2015 15:57:35
+0300To:
Wanazuoni<Wanazuoni@yahoogroups.com>ReplyTo:
wanabidii@googlegroups.com
Cc:
wanataaluma@googlegroups.com<wanataaluma@googlegroups.com>;
wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>Subject:
[wanabidii] Re: [Wanazuoni] Re: [TPN] UCHAGUZI MKUU
ZANZIBAR KURUDIWA
Implicitly ni kwamba uchaguzi wote wa urais
unarudiwa ikiwemo ule wa rais wa Jamhuri ya Tanzania kwa
sababu kama umevurugwa kwa rais wa Zanzibar tutaaminije
kwa
ule wa Rais wa Muugano?
Elias
MhegeraPan African Human Rights Defender
Director of Research and
Investigations
Tanzania
Journalists for Human Rights (Journorights)
Journalist &
Counselor 255-(0) 754-826272255-(0)
715-076272mhegera@gmail.com mhegeraelias@gmail.commhegeraelias@blogspot.com
On
Wed, Oct 28, 2015 at 3:49 PM, Camillus Kassala cdnkassala2002@yahoo.co.uk
[Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:
The more
interesting question is: Suppose Lowasa's votes from
Zanzibari electorate more than compensate the deficit he
has
from Mainland electorate compared to Magufuli's votes,
what will beoth NEC and ZEC do?
CDNKassala
On Wednesday, 28
October 2015, 15:21, Emmanuel Mmari <emmammari@gmail.com>
wrote:
Tusubiri
wataalum watutafsirie sheria ya uchaguzi
kama itakua na effects gani na matokeo ya Tanzania
Bara, Je
nayo itabidi yasitishwe ama kusubiri mpaka ya zanzibar
yatoke ndio aapishwe au gap litakalokuwepo kati ya mshindi
wa kiti cha uraisi na anaemfuata litakua less than idadi
ya
watu waliojiandikisha Zanzibar? Najaribu kufikiria kwa
mapana yake lakini kimsingi nasubiria wanaotafsiri
sheria.
On Wed, Oct 28,
2015 at 2:01 PM, Mowo, Jeremias (ICRAF) <j.mowo@cgiar.org>
wrote:
And why should ZEC members be paid for shoddy
work.
Sent from my iPhone
On 28 Oct 2015, at 13:51, "Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com>
wrote:
MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA ZANZIBAR
YAMEFUTWA KWAHIYO UCHAGUZI UTARUDIWA
--
Yona Fares Maro
Institut d'études de sécurité
- SA
--
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanataaluma wa Tanzania" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanataaluma+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanataaluma wa Tanzania" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanataaluma+unsubscribe@googlegroups.com.

__._,_.___
Posted by: Camillus
Kassala <cdnkassala2002@yahoo.co.uk>
Reply
via web post
•
Reply to sender
•
Reply to group
•
Start a
New
Topic
•
Messages in this
topic
(1)
Visit Your Group
New Members
1
• Privacy • Unsubscribe • Terms of Use
.
__,_._,___
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment