Sunday, 11 October 2015

Re: [wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.

Mama nkya
Uko sahihi jamaa ni wazuri wa kucopy na kuaste na hii ndio inayowaelekA kuzimu...to hell
Wapiga kura wanawafuatilia wasanii sana hawa sera ya hapa kaz tuhakuhit sasa ndio maana wanona sera ya mabadiliko inauza na inaitikia nao wanaaamua kucopy hata hivyo inaonekana wanapoteza mweleeo daily
Lowasa ni obama wa tanzania...tuone kama kuna sehem magufuli atapata mapokezi ya kusafisha au kudeki bara baraaaaa
Viva ukawaaa
Hawa wana ccm kina elisa mtaumia sana na kukumbatia lichama lililopoteza mwelekeo,linalotutesa na umasikin,nyie hamtufai kabisa, ni maafui wa nchi yetu mnaotaka ccm
Lesian

'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

> Elisa,
>Hili neno mabadiliko CCM imelisikia baada ya kampeni kuanza siyo agenda yao. Kama CCM ilikuwa inataka mabadiliko ya kukomesha ufisadi, uzembe, rushwa, ubabe na mengineyo yanayozalisha mamilioni ya watu maskini Tanzania, basi kisingeizika ile Rasimu ya Katiba ya Mpya iliyotokana na maoni ya wananchi. CCM haitaki mabadiliko nchini na ndiyo sababu kinafanya kila juhudi mfumo wa vyama vingi vya siasa usifanye kazi nchini--CCM iendelee kuwa madarakani--watawala wachache waendelee kutajirika kufuru kwa fedha na mali za Tanzania huku mamilioni ya Watanzania wakiendelea kuwa mafukara..
>
>Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
>--------------------------------------------
>On Sun, 10/11/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sunday, October 11, 2015, 9:46 PM
>
> Fatma.
> haikuwezekana kucukua hatua zaidi kwa sababu
> ambaye angechukua hatua naye ni mhalifu. Ndiyo maana CCM
> ikaasisi mabadiliko. Kwa sababu kesi ya jinai haifi subiri
> uone kitakachotokea. La msingi msimpeleke mhalifu Ikulu
> --------------------------------------------
> On Sun, 10/11/15, fatma_elia via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> Subject: Re:
> [wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini
> ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.
>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sunday, October 11, 2015, 4:14 PM
>
> Sasa kama ushahidi
> ulikuwa ni kujiuzulu mlifanya nini? Hatua
> gani
> zilichukuliwa?
>
> Sent from my
> BlackBerry®
> smartphone provided by Airtel Tanzania.
>
> -----Original Message-----
>
> From: franciskasili4@gmail.com
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sun, 11 Oct 2015 05:55:51
> To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Mabadiliko
> tuliyokuwa
> tunayahitaji siyo ya udini
>   ukanda na
> ukabila..ni ya
> kupinga ufisadi.
>
> Suala la
> ushahidi mezani halina mashiko kwa
> sasa
> kwani kujihudhuru kwa Lowasa pasipo ubishi ni ushahidi
> tosha na watanzania ndipo wanaposimamia kwa
> sasa. Misemo na
> vijimaneno a.k.a vijembe
> havitamsafisha Lowasa au kumfanya
>
> mtakatifu. Tarehe 25 siyo mbali itatambulika nyeupe ni
> ipi
> na nyeusi ni ipi wakati watanzania
> wanafanya maamuzi
> muhimu  sana kwa future
> ya taifa lao.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email
> kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to
> this Forum bears the
> sole responsibility for any legal
>
> consequences of his or her postings, and hence statements
> and facts must be presented responsibly. Your
> continued
> membership signifies that you
> agree to this disclaimer and
> pledge to
> abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
>
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe
> from this group and stop
> receiving emails from it, send an
> email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email
> kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to
> this Forum bears the
> sole responsibility for any legal
>
> consequences of his or her postings, and hence statements
> and facts must be presented responsibly. Your
> continued
> membership signifies that you
> agree to this disclaimer and
> pledge to
> abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
>
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe
> from this group and stop
> receiving emails from it, send an
> email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements
> and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and
> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment