Sunday, 11 October 2015

Re: [wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.

Nkya
Mfumo wa vyama vingi si chama tawala kuondoka madarakani. Kwa hiyo tusijesema Tanzania haina mfumo wa vyama vingi kwa sababu wananchi wameichagua (na wataichagua). Neno mabadiliko limekuwepo muda sasa. Lakini mabadiliko ninayoyazungumzia sio ya neno ila ya tendo. Tendo linalotendwa na CCM kama nilivyoeleza pale chini. 2005 Mtandao ulishindikana kung'olewa. 2015 Mtandao ukazuiliwa licha ya shinikizo lililotokana na kuteka akili zawatu ambao huku wakikusanyika kama marefa walianza kushangilia timu m ojawapo. Hilo ndilo lililotia upofu CDM ikatelekez ataratibi zake na kupewa sharti la 'Mimi mbomgea pekee'. Mabadiliko yanakuja na ufisadi utamalizika kwasababu mafisadi wanatengenezewa mkakati.
--------------------------------------------
On Mon, 10/12/15, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, October 12, 2015, 12:03 AM

Elisa,
Hili neno mabadiliko CCM imelisikia baada ya
kampeni kuanza siyo agenda yao. Kama CCM ilikuwa inataka
mabadiliko ya kukomesha ufisadi, uzembe, rushwa, ubabe na
mengineyo yanayozalisha mamilioni ya watu maskini
Tanzania,  basi kisingeizika ile Rasimu ya Katiba ya Mpya
iliyotokana na maoni ya wananchi. CCM haitaki mabadiliko
nchini na ndiyo sababu kinafanya kila juhudi mfumo wa vyama
vingi vya siasa usifanye kazi nchini--CCM iendelee kuwa
madarakani--watawala wachache waendelee kutajirika kufuru
kwa fedha na mali za Tanzania huku mamilioni ya Watanzania
wakiendelea kuwa mafukara..

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Sun, 10/11/15, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini
ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.

To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, October 11, 2015, 9:46 PM

Fatma.

haikuwezekana kucukua hatua zaidi kwa sababu
ambaye angechukua hatua naye ni mhalifu. Ndiyo
maana CCM
ikaasisi mabadiliko. Kwa sababu
kesi ya jinai haifi subiri
uone
kitakachotokea. La msingi msimpeleke mhalifu Ikulu

--------------------------------------------
On Sun, 10/11/15, fatma_elia via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

 
Subject: Re:
[wanabidii] Mabadiliko
tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini

ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.


To: wanabidii@googlegroups.com
  Date: Sunday, October 11, 2015, 4:14 PM
 
  Sasa kama ushahidi
  ulikuwa ni kujiuzulu mlifanya nini? Hatua
gani
  zilichukuliwa?
 
  Sent from my
  BlackBerry®
smartphone
provided by Airtel Tanzania.
 
  -----Original Message-----


From: franciskasili4@gmail.com
  Sender: wanabidii@googlegroups.com
  Date: Sun, 11 Oct 2015 05:55:51
  To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
  Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
  Subject: Re: [wanabidii] Mabadiliko
tuliyokuwa
  tunayahitaji
siyo ya udini
  ukanda na
  ukabila..ni ya
kupinga
ufisadi.
 
  Suala la
ushahidi mezani halina mashiko kwa
  sasa
kwani kujihudhuru kwa
Lowasa pasipo ubishi ni ushahidi
  tosha na
watanzania ndipo wanaposimamia kwa
sasa.
Misemo na
  vijimaneno a.k.a vijembe
havitamsafisha Lowasa au kumfanya

mtakatifu. Tarehe 25 siyo
mbali itatambulika nyeupe ni
ipi
  na nyeusi ni ipi wakati watanzania
wanafanya maamuzi
  muhimu 
sana kwa future
ya taifa lao.
 
  --
 
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email
kwenda
 
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:

Everyone posting to
  this Forum bears the
sole
responsibility for any legal

consequences of his or her postings, and hence
statements
  and facts must be presented
responsibly. Your
continued
  membership signifies that you
agree to this disclaimer and
  pledge to
abide by our
Rules and Guidelines.
  ---
  You received this message


because you are subscribed to the Google
Groups
  "Wanabidii" group.

To unsubscribe
  from this group and stop

receiving emails from it, send an
  email
to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.
 

  --
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email
kwenda
 
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:

Everyone posting to
  this Forum bears the
sole
responsibility for any legal

consequences of his or her postings, and hence
statements
  and facts must be presented
responsibly. Your
continued
  membership signifies that you
agree to this disclaimer and
  pledge to
abide by our
Rules and Guidelines.
  ---
  You received this message


because you are subscribed to the Google
Groups
  "Wanabidii" group.

To unsubscribe
  from this group and stop

receiving emails from it, send an
  email
to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email
kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal

consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message

because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.

To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment