Kubali usikubali, wananchi wakishaamua hapo tarehe 25 Oktoba hakuna chombo chenye mamlaka ya kukataa maamuzi ya wananchi. Wanaoumia ni wananchi na watakaoamua hatma ya uongozi wa nchi hii ni wananchi wenyewe kwenye sanduku huru la kura. Hivyo cha msingi sisi wanamabadiliko tupiganie hilo sanduku la kura liwe huru kweli kweli kusiwe giliba, vitisho, uzembe au uchakachuaji utakaofanywa ama na chama cha siasa, serikali iliyoko madarakani au Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Tuwaachie waamuzi---waamuzi ni wananchi wenyewe.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 10/1/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, October 1, 2015, 1:37 PM
Ndalo;Exactly
there you are.Nimekuelewa
vizuri na hiyo ndio ingekuwa maana halisi ya
mabadiliko.Haya ya
sasa ni kubadili chupa tu. Reuben
On Thursday, October
1, 2015 4:50 AM, mary ndaro <mary.ndaro2@gmail.com>
wrote:
Natamani kungekuwa na
mbadala kwenye haya mabadiliko...Mimi binafsi watu
waliotumua mfumo mbovu kutufikisha hapa haijalishi
wanaahamia wapi...hao sio jibu wala mabadiliko tunayoyataka.
Nakubali wananchi wamechoka na mfumo mbovu Wa ccm lkn majibu
sio cdm chini ya EL
On 10 Sep 2015 15:40,
"'ananilea nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Ndugu Kim,
Neno mabadiliko katika muktadha wa uchaguzi
Tanzania mwaka huu 2015 linatumika kumaanisha wananchi
kuchagua serikali mpya tofauti na serikali ya
CCM iliyoko madarakani ambayo ilikataa kuandika Katiba Mpya
inayotokana na maoni ya wananchi.
Katiba Mpya itaweka misingi ya kuzuia serikali kuwa
chanzo ufisadi wa fedha za umma, watawala
kujitajirisha na kuwatajirisha wawekezaji kutoka
nje kwa kutumia rasilimali za nchi yetu huku
mamilioni ya wananchi wakibaki masikini wa kutupa.
Mfano ufisadi wa mwaka jana 2014 wa Tegeta
escrow bilioni 306, ufisadi wa Richmond bilioni 172
mwaka 2008 na ufisadi wa EPA bilioni 133 mwaka 2005 na
hakuna aliyefikishwa mahakamani.
Mabadiliko ya kupata serikali inayoongoza
na vyama vingine tofauti na CCM ikiandika Katiba
Mpya inayotokana na maoni ya wananchi ---Katiba hiyo
itaweka misingi ambayo pamoja na mambomengine madaraka
ya Rais yatapunguzwa—kuzuia Rais kuwa Mungu mtu.
Kadhalika madadiliko yataweka mihimili
isiyoingiliana ya utawala—serikali—bunge na
mahakama HIvyo serikali ikifanya ufisadi kama
ule wa Tegeta escrow na EPA watawala hawatakwepa mkono
wa sheria kama walivyokwepa.
Kadhalika mabadiliko yatazuia
watawala wachache wakijitajirisha kwa kutumia
fedha za wananchi kujilipa mishahara mikubwa, mafao na
marupurupu wakati watumishi wengine wa umma madaktari,
wauguzi, walimu, polisi na wananchi wengi wakibaki
maskikini.
Pia Katiba Mpya itaweka misingi mizuri ya kuwepo
usawa wa kijinsia katika uongozi hasa 50 kwa 50 wabunge
wanawake na wanaume majimboni badala ya hili changa la
macho ambalo baadhi ya vyama vinajidai eti kwa kuweka
wagombea wanawake ni usawa wa jinsia.
Je inawezekana kuwa na usawa wa jinsia endelevu kama
haijaandikwa kwenye Katiba ya nchi? Kama kweli serikali CCM
walikuwa wanataka nchi iwe na usawa wa jinsia katika uongozi
ni kwa nini waliikataa Katiba Mpya inayotokana na maoni ya
wananchi ambayo ilikuwa imependekeza utaratibu mzuri kabisa
wa kupata asilimia 50 kwa 50 ya wanawake na wanaume bungeni
kutoka majimboni?
Hivyo mabadiliko wanayoyataka wananchi wanaosumbuliwa
na umaskini hapa nchini wao wenyewe
wananchi wamejipanga kuweka msingi wake hapo hapo
tarehe 25 Oktoba 2015 kwa kuiondoa CCM
madarakani na kuweka serikali ya vyama
vinavyounda UKAWA (CUF, NCCR Mageuzi, CHADEMA na NLD)
ambavyo vilipigania Katiba Mpya inayotokana
na maoni ya wananchi na vimeahidi kwamba
wakichaguliwa Katiba Mpya ya wananchi itaandikwa.
Hivyo yeyote anatumia neno mabadiliko kwenye kampeni zake
ajuwe akichaguliwa atatimiza yaliyobebwa katika
tafsiri hii. Kinyume chake hayo siyo mabadiliko
wanayoyataka wananchi. Mungu ibariki
Tanzania.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 9/10/15, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI
MAGUMU
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, September 10, 2015, 2:45 PM
Kwanza
MABADILIKO ni nini?
Tukisema TUNATAKA MABADILIKO, maana yake ni
nini? ya wapi? kwenye nini? yatamgusa nani?
yatatuchukua
muda gani? yatatokea tokeaje?
Mabadiliko yaweza kuwa baya kwenda zuri au zuri
kwenda baya, dogo kuwa kubwa au kubwa kuwa dogo,
nyembamba
kuwa pana au....
Its all about "different" "utofauti wa
hiki
kilichopo". nikikosea nisahihishwe. mie sio
mtaalam wa
lugha!!
Mnazi awaye yeyote iwe wa Chama au mtu, aandike
akituelezea vizuuri na kwa ufasaha jinsi
watakavyoleta
MABADILIKO nchini. i mean ameshawishikaje kuwa mnazi
wa
flani/chama flani kuamini watafanya MABADILIKO ndani
ya kila
mmoja wetu ili tukuamini na kukufuata popote ulipo!!
Wanazi
wote hapa mkae mkijua nyie ni mawakala wa HAO
mnaowasemea!!
kwa sababu sie hatumjui yule/wale vizur zaidi yako,
umeamua
kuwa agent wake/wao ina maana unayajua ya kwake/kwao!
Latin
proverb "if you host a guest, host his
dog"
Tukibaki kuainisha MAHITAJI YA NCHI na
MTU/CHAMA chenye SULUHU yake bila kuijadili, kuchambua
na
kuitafakari SULUHU yenyewe kwa kina, hatuna tofauti na
mtu
anaeajiri bila vyeti na interview. Akiulizwa kwa nini?
ati
" ameahidi ataongezea kampuni faida ndani ya
miaka
5" ****!!! Its the question of HOW not WHO!!! WHO
will
come later to filter HOW!!
Watanzania tumelogewa wapi??? tunashindwa na
hesabu ndogo ambazo tunazifanya kwenye maisha ya
kila
siku!!!!!????? Mpaka inakera.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment