Thursday, 1 October 2015

Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU

Mrema

Hebu rejea kauli za viongozi wanaoomba kura uangalie ni chama gani kimethubutu kutamka hadharani kuhusu katiba ya wananchi. Nachelea kusema kuna chama kimoja wanaogopa hata kutaja neno katiba
Nchi ikiwa na katiba yenye meno lazima maendeleo yatakuwepo

Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 1 Oct 2015 17:52:47 +0000
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU

Mama Nkya

Hilo nalo neno, Tanzania kwanza vyama baadae.  Lakini ikiwa Ukawa wakipata  ushindi halafu wakafika Ikulu wakabweteka na wakasita kuandika katiba inayokidhi kiu ya wananchi na wakaendelea na business as usual itakuaje?.  Unaweza kuniambia kuwa tutawatoa baada ya miaka mitano kwa kura.   Huoni kuwa hii miaka mitano ya mateso ya Ukawa yatakauwa magumu zaidi na afadhali mateso ya Chama cha CCM chenye uzoefu na labda hakitakuwa na njaa kali kama Ukawa?  Huo ni kati ya wasi wasi wangu tu lakini kama CCM na Ukawa wanavyojinadi mabadiliko ni lazima.  Swala ni nani ataleta mabadiliko ya kweli.  Hili swala la Katiba bora inayokidhi matakwa ya watanzania wote ni muhimu sana na tungefurahi vyama vyote vikawa wazi na hili na hasa kama ni kuandika katiba mpya watatumia mkakati gani na wanatuahidi katiba mpya baada ya muda gani.

Tafakari chukua hatua

Herment A. Mrema

> Date: Thu, 1 Oct 2015 10:24:17 -0700
> From: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Reuben na wengine hoja yangu ni kwamba: Dr Magufuli akichaguliwa serikali yake ya CCM itaendelea kuwa mlinzi mwizi (fisadi) kwa sababu chama chake CCM kinanufaika na ufisadi wa fedha na mali za umma vinginevyo watueleze ni kwa nini CCM ilikataa kuandikwa Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi ambayo ingejenga misingi ya kuzuia serikali (mlinzi wa mali za nchi) iwe ni ya CCM, CHADEMA, CUF, NCCR -Mageuzi au chama chochote kile isiwe serikali fisadi?
>
> Ninakubali kuwa mwanasiasa Edward Lowassa aliyeishi katika chama fisadi CCM (mfano ufisadi EPA bilioni 133, Richmond bilioni 172 na Tegeta escrow bilioni 306) anaweza kujihusisha na vitendo vya kifisadi na kufanya ufisadi hasa endapo chama alichohamia kitakataa kuandika Katika Mpya inayotokana na maoni ya wananchi kuweka kitakuwa misingi endelevu ya Kikatiba ya kuzuia serikali kuwa fisadi.
>
> Ndiyo sababu nimesema ili kukomesha ufisadi nchini ni afadhali Watanzania wamchague Lowassa aliyeamua kujiunga na vyama vinavyochukia nchi kuwa na serikali fisadi na vimetuthibitishia kuwa Lowassa wa CCM hatakuwa Lowassa wa CHADEMA -UKAWA. Nasema hivi kwa sababu CHADEMA-UKAWA endapo watachaguliwa kuongoza nchi, Ilani yao inaonyesha kuwa wataandika Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi ili kuweka misingi ya kukomesha serikali zijazo iwe ya chama chochote kile zisiwe serikali fisadi--kuepusha nchi yetu kuendelea kuzalisha mafuriko ya wananchi masikini.
>
> Ni vema sote tukaelewa kuwa chimbuko la ufisadi nchini kuwa ni CCM ambacho kinanufaika na ufisadi hivyo kinaogopa kuondoka madarakani kwa kuogopa chama kingine kikiingia madarakani nacho serikali yake itakuwa fisadi ili kiendelee kubaki madarakani hasa kwa sababu kwa sasa nchi haina misingi ya kuzuia serikali kuwa fisadi.
>
> Lakini Lowassa wa CCM ni lazima abadilike awe Lowassa wa CHADEMA-UKAWA--ambaye atafanya mabadiliko ya Kikatiba kuepusha serikali kuwa fisadi. Ni afadhali hata wananchi elfu moja wawe mafisadi kuliko serikali ya chama kilichopewa dhamana ya kuwa mlinzi wa mali ya nchi yenye watu karibu milioni 50--serikali hiyo kugeuka kuwa fisadi. Serikali ikiwa fisadi kamwe haiwezi kudhiniti ufisadi, rushwa au maovu mengine yoyote.
>
> Lowassa kama alikuwa fisadi na serikali ya CCM ingekuwa siyo fisadi--Lowassa leo hii angekuwa jela. Lakini mlizi akiwa mwizi, fisadi atamkamata fisadi au mwizi? Au kama mwizi anaiba ili kugawana na mlinzi mwizi je mwizi atakamatwa na nani?
>
> Hiyo ndiyo lojiki ya hoja yangu na ndio ukweli kuhusu nani hasa chanzo cha fisadi, wizi na rushwa Tanzania.
>
> Kumbuka ukiujua ukweli--ukweli utakuweka huru kweli kweli. Nitamshangaa kila Mtanzania atakayeridhia chama fisadi kupewa tena kazi ya ulinzi wa mali na rasilimali za nchi yetu nzuri Tanzania hapo tarehe 25 mwezi huu wa Oktoba mwaka huu 2015.
>
> Ikitokea hivyo, utakuwa ni ushahidi kwamba moja ya chanzo cha umaskini Tanzania ni kwamba adui namba moja--adui ujinga hajaangamizwa na kwamba pengine adui huyu anaendelea kuongezeka na kuwa tishio kubwa kwa amani ya nchi yetu kila uchao. Mungu ibariki Tanzania.
>
>
> Ananilea Nkya
>  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
> --------------------------------------------
> On Thu, 10/1/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, October 1, 2015, 2:10 PM
>
> Mama
> Nkya;Sidhani kama kuna yeyote
> anapinga kwamba kura ndizo zitaamua nani Rais,Mbunge na
> Diwani.Hapa Ndaro na mimi
> niliyemuunga mkono tumejaribu kuongelea mantiki halisi ya
> mabadiliko ikiwa na maana yanatakiwa kukamilika lakini haya
> yatakuwa nusu.Maana yake
> ni watu walewale waliotufikisha hapa tunawapa tena
> regardless yupo chama gani. Amebadilika lini mpaka tuwe na
> imani nae kubwa kiasi hiki?Basi hata kungekuwa na transition
> period ya kumuangalia lakini hii ya miezi miwili
> tusidanganyane Mama Nkya. Reuben
>
>
>
>
>
> On Thursday, October
> 1, 2015 5:55 AM, 'ananilea nkya' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
>
> Kubali usikubali,
> wananchi wakishaamua hapo tarehe 25 Oktoba hakuna chombo
> chenye mamlaka ya kukataa maamuzi ya wananchi. Wanaoumia ni
> wananchi na watakaoamua hatma ya uongozi wa nchi hii ni
> wananchi wenyewe kwenye sanduku huru la kura. Hivyo cha
> msingi sisi wanamabadiliko tupiganie hilo sanduku la kura
> liwe huru kweli kweli kusiwe giliba, vitisho, uzembe au
> uchakachuaji utakaofanywa ama na chama cha siasa, serikali
> iliyoko madarakani au Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Tuwaachie
> waamuzi---waamuzi ni wananchi wenyewe.
>
> Ananilea Nkya
>  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
> --------------------------------------------
> On Thu, 10/1/15, 'Reuben Mwandumbya'
> via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> Subject: Re:
> [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU
>
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, October 1, 2015, 1:37 PM
>
> Ndalo;Exactly
> there you are.Nimekuelewa
>
> vizuri na hiyo ndio ingekuwa maana halisi ya
> mabadiliko.Haya ya
> sasa ni
> kubadili chupa tu. Reuben
>  
>
>
>       On
> Thursday, October
> 1, 2015 4:50 AM, mary
> ndaro <mary.ndaro2@gmail.com>
> wrote:
>      
>
>   Natamani kungekuwa na
> mbadala kwenye haya mabadiliko...Mimi binafsi
> watu
> waliotumua mfumo mbovu kutufikisha
> hapa haijalishi
> wanaahamia wapi...hao sio
> jibu wala mabadiliko tunayoyataka.
> Nakubali
> wananchi wamechoka na mfumo mbovu Wa ccm lkn majibu
> sio cdm chini ya EL
> On 10 Sep
> 2015 15:40,
> "'ananilea nkya'
> via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
> Ndugu Kim,
>
>
>
>
> Neno mabadiliko  katika
> muktadha wa uchaguzi 
> Tanzania mwaka  huu
> 2015 linatumika kumaanisha wananchi
>
> kuchagua  serikali mpya  tofauti na serikali ya
> CCM iliyoko madarakani ambayo ilikataa
> kuandika Katiba Mpya
> inayotokana na maoni
> ya wananchi.
>
>
>
> Katiba Mpya itaweka misingi
> ya kuzuia serikali kuwa
> chanzo  ufisadi
> wa  fedha za umma, watawala
> kujitajirisha
> na kuwatajirisha  wawekezaji kutoka
> nje 
> kwa kutumia rasilimali za nchi yetu  huku
>
> mamilioni ya wananchi wakibaki masikini wa kutupa.
>
>
>
> Mfano ufisadi wa   mwaka jana 2014 wa
> Tegeta
> escrow bilioni 306, ufisadi wa 
> Richmond bilioni 172
> mwaka  2008 na
> ufisadi wa EPA bilioni 133 mwaka 2005 na
>
> hakuna aliyefikishwa mahakamani.
>
>
>
> Mabadiliko
> ya  kupata serikali  inayoongoza
> na 
> vyama vingine tofauti na CCM  ikiandika Katiba
> Mpya inayotokana na maoni ya wananchi
> ---Katiba hiyo 
> itaweka misingi  ambayo
> pamoja na mambomengine madaraka
> ya Rais
> yatapunguzwa—kuzuia Rais kuwa Mungu mtu.
>
>
>
>
>
> Kadhalika madadiliko  yataweka mihimili 
>
> isiyoingiliana  ya utawala—serikali—bunge na
> mahakama HIvyo  serikali  ikifanya ufisadi
> kama
> ule wa Tegeta escrow na EPA  watawala
> hawatakwepa mkono
> wa sheria  kama
> walivyokwepa.
>
>
>
> Kadhalika mabadiliko 
>  yatazuia 
>  watawala wachache 
> wakijitajirisha kwa kutumia
> fedha za
> wananchi  kujilipa mishahara mikubwa, mafao na
> marupurupu wakati  watumishi wengine wa umma
> madaktari,
> wauguzi, walimu, polisi na
> wananchi wengi wakibaki
> maskikini.
>
>
>
> Pia Katiba Mpya  itaweka misingi mizuri  ya
> kuwepo
> usawa wa kijinsia katika uongozi
> hasa 50 kwa 50 wabunge
> wanawake na
> wanaume  majimboni badala ya hili changa la
> macho ambalo baadhi ya vyama vinajidai eti kwa
> kuweka
> wagombea wanawake ni usawa wa
> jinsia.
>
>
>
>
> Je inawezekana kuwa  na usawa wa jinsia
> endelevu kama
> haijaandikwa kwenye Katiba ya
> nchi? Kama kweli serikali CCM
> walikuwa
> wanataka nchi iwe na usawa wa jinsia katika uongozi
> ni kwa nini waliikataa Katiba Mpya inayotokana
> na maoni ya
> wananchi ambayo ilikuwa
> imependekeza utaratibu mzuri kabisa
> wa
> kupata asilimia 50 kwa 50 ya wanawake na wanaume bungeni
> kutoka majimboni?
>
>
>
> Hivyo
> mabadiliko  wanayoyataka wananchi wanaosumbuliwa
> na umaskini hapa nchini   wao wenyewe
> wananchi  wamejipanga kuweka msingi wake hapo
> hapo
> tarehe 25 Oktoba 2015 kwa  kuiondoa
> CCM
> madarakani   na kuweka  serikali ya
> vyama
> vinavyounda UKAWA (CUF, NCCR Mageuzi,
> CHADEMA  na NLD)
> ambavyo  vilipigania 
> Katiba Mpya inayotokana
> na  maoni ya
> wananchi na vimeahidi  kwamba 
>
> wakichaguliwa Katiba Mpya  ya wananchi itaandikwa.
>
>
>
> Hivyo yeyote anatumia neno mabadiliko kwenye
> kampeni zake
> ajuwe  akichaguliwa atatimiza
> yaliyobebwa katika
> tafsiri hii.  Kinyume
> chake hayo siyo mabadiliko
> wanayoyataka
> wananchi.   Mungu ibariki
> Tanzania.
>
>
>
>
>
> Ananilea
> Nkya
>
>  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
>
>
>
> --------------------------------------------
>
> On Thu, 9/10/15, De kleinson
> kim <dekleinson@gmail.com>
> wrote:
>
>
>
>  Subject: Re: [wanabidii]
> 2015: NI KURA YA MAAMUZI
> MAGUMU
>
>  To: wanabidii@googlegroups.com
>
>  Date: Thursday, September
> 10, 2015, 2:45 PM
>
>
>
>  Kwanza
>
>
>  MABADILIKO ni nini?
>
>   Tukisema TUNATAKA MABADILIKO, maana yake
> ni
>
>  nini? ya wapi?
> kwenye nini? yatamgusa nani?
>
> yatatuchukua
>
>  muda gani?
> yatatokea tokeaje?
>
>
>  Mabadiliko yaweza kuwa baya kwenda zuri au zuri
>
>  kwenda baya, dogo kuwa
> kubwa au kubwa kuwa dogo,
> nyembamba
>
>  kuwa pana au....
>
>
>
>  Its all about "different"
> "utofauti wa
> hiki
>
>  kilichopo". nikikosea nisahihishwe. mie
> sio
> mtaalam wa
>
>  lugha!!
>
>
>  Mnazi awaye yeyote iwe wa Chama au mtu, aandike
>
>  akituelezea vizuuri na kwa
> ufasaha jinsi
> watakavyoleta
>
>  MABADILIKO nchini. i mean
> ameshawishikaje kuwa mnazi
> wa
>
>  flani/chama flani kuamini
> watafanya MABADILIKO ndani
> ya kila
>
>  mmoja wetu ili tukuamini
> na kukufuata popote ulipo!!
> Wanazi
>
>  wote hapa mkae mkijua nyie
> ni mawakala wa HAO
> mnaowasemea!!
>
>  kwa sababu sie hatumjui
> yule/wale vizur zaidi yako,
> umeamua
>
>  kuwa agent wake/wao ina
> maana unayajua ya kwake/kwao!
> Latin
>
>  proverb "if you host
> a guest, host his
> dog"
>
>  Tukibaki kuainisha
> MAHITAJI YA NCHI na
>
>
>  MTU/CHAMA chenye SULUHU yake bila kuijadili, kuchambua
> na
>
>
>  kuitafakari SULUHU yenyewe kwa kina, hatuna tofauti na
> mtu
>
>
>  anaeajiri bila vyeti na interview. Akiulizwa kwa nini?
> ati
>
>
>  " ameahidi ataongezea kampuni faida ndani ya
> miaka
>
>
>  5" ****!!! Its the question of HOW not WHO!!! WHO
> will
>
>  come
> later to filter HOW!!
>
>
>  Watanzania tumelogewa wapi??? tunashindwa na
>
>  hesabu ndogo ambazo
> tunazifanya kwenye maisha ya
> kila
>
>  siku!!!!!????? Mpaka
> inakera.
>
>
>
>
>
>
>
>  --
>
>
>
>  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>   
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma Email
> kwenda
>
>
>
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya
>
>  kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>   
>
>
>
>  Disclaimer:
>
>
>
>  Everyone
> posting to this Forum bears the sole
>
> responsibility
>
>  for any
> legal consequences of his or her postings, and
> hence
>
>
>  statements and facts must be presented responsibly.
> Your
>
>
>  continued membership signifies that you agree to
> this
>
>
>  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>
>  Guidelines.
>
>
>
>  ---
>
>
>
>  You received this message
> because you are subscribed
> to the
>
>  Google Groups
> "Wanabidii" group.
>
>
>
>  To
> unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
>
>
>  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
>  For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> for any legal consequences
> of his or her postings, and hence
>
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree
> to this
> disclaimer and pledge to abide by
> our Rules and
> Guidelines.
>
>
> ---
>
> You
> received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this
> group and stop receiving emails
> from it,
> send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> for any legal consequences
> of his or her postings, and hence
>
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree
> to this
> disclaimer and pledge to abide by
> our Rules and
> Guidelines.
>
>
> ---
>
>
> You received this message because you are subscribed to
> the
> Google Groups "Wanabidii"
> group.
>
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails
>
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>      
>
>
>
>
>
> --
>
> Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> for any legal consequences
> of his or her postings, and hence
>
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree
> to this
> disclaimer and pledge to abide by
> our Rules and Guidelines.
>
>
> ---
>
> You received this
> message because you are subscribed to the
>
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
> To unsubscribe from this group and stop
> receiving emails
> from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements
> and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and
> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment