Ndio Wanawake tujifunze/wajifunze kuwa haki sawa wanazodai/Tunazodai ni Haki pia za Binadamu za wanaume. Kwa mwali kunaliwa na kwa somo pia.
On Saturday, 15 November 2014, 13:47, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
hii ya mwanaume kudai mgao wa mali ni mpya
On 11/15/14, Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com> wrote:
> *HALI tete! Bado vuguvugu la madai ya kuvunjika kwa ndoa ya mtangazaji
> mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash 'Kapteni' na Mbongo Fleva,
> Judith Daines Wambura Mbibo 'Lady Jaydee au Jide', sasa lingine limeibuka
> ambapo mali za wawili hao zinatajwa kuzua utata, Risasi Jumamosi
> linachambua.*
> <http://api.ning.com/files/E6-J*b1OZQP4-X9gqPrXL-J8KeUqEZCYgklY9KXt7zfuEGV0EX3nqMyMveNs-80ffsVl8s*pm4Y3IQ*KxZzaO6NG5DohxoYi/DSC00154.jpg>
>
> *Mbongo Fleva, Judith Daines Wambura Mbibo 'Lady Jaydee au Jide.*
>
> *Kwa mujibu wa chanzo cha ndani, Gardner ameshapeleka hati ya kesi kwa
> mwanasheria wake kwa kusudio la kumpandisha kizimbani mtalaka wake huyo ili
>
> mgawo wa mali ujulikane na kila mmoja apate haki yake.*
>
>
> *KILICHOZINGATIWAKilichozingatiwa katika mgawo huo ni uhalali wa ndoa yao
> iliyofungwa Mei 14, 2005 ambapo mali zote zilizopatikana ndani ya ndoa ni
> za wote kwa mujibu wa sheria ya Ndoa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.*
> <http://api.ning.com/files/E6-J*b1OZQOkIUbwdqXfIThfIWFjJGWbQWKfZSXg6cRs2CACHDHSeP00aSKS-fMPMjChDz9NqG2SMBslSXMVgYaQe9i2k23n/nyumba.jpg>
>
> *Nyumba anayomiliki Judith Daines Wambura Mbibo 'Lady Jaydee na aliyekuwa
> mumewe Gardner Gabriel Fikirini Habash 'Kapteni.*
>
> *"Gardner anataka mgawo wake, lakini sasa utata ulioibuka ni kwamba,
> inaonekana kama mali zote ni za Jide kwa vile zimeandikwa majina yake hivyo
>
> jamaa ana wasiwasi kwamba Jide anaweza kusema mahakamani kuwa alizichuma
> mali hizo kabla ya ndoa," kilisema chanzo hicho kilicho jirani na familia
> hiyo.*
>
> *Chanzo hicho kiliendelea kudai kwamba, utata huo umemfanya Gardner kuwa
> bize ili kuhakikisha anaumaliza hususan kwenye nyumba yao iliyopo Mbezi
> ambapo wengi wanaamini ilijengwa kwa kutumia fedha ya Jide kabla
> hawajafunga ndoa.*
>
>
> *MALI ZINAZOTAJWAMali zinazotajwa kuibua utata ni Mgahawa wa Nyumbani
> Lounge uliopo Kinondoni, Dar ambao hivi karibuni Jide aliubadili jina na
> kuuita M.O.G Restaurant. Mgahawa huo walipangishwa na mtu.*
> <http://api.ning.com/files/E6-J*b1OZQNTAkQQSGz5dGC2kZKKoXb-TqyF*Mq6-8f4Fb07T6b3o33dNl1EumzMt4l5qCqjMXAPf1ZjnBNtqTHkFZaC6peT/Land_Rover_Range_Rover_Evoq.jpg>
>
> *Gari aina ya Range Rover Evoque linalomilikiwa na Judith Wambura 'Lady
> Jaydee.*
>
> *Kuna madai kwamba, Jide na Gardner kabla ya ndoa yao kuparaganyika
> walikwenda kwa mmiliki huyo na kusema wameamua kuuacha baada ya mkataba wao
>
> kumalizika. Lakini kilichoonekana baadaye, Jide alirudi kwa njia ya uani na
>
> kuanzisha mkataba mpya bila Gardner na kuuita M.O.G.*
>
> *Mali nyingine mbali na nyumba na mgahawa ni mabasi madogo mawili aina ya
> Toyota Hiace, moja la Machozi Band na la M.O.G Restaurant. Mabasi hayo
> yameandikwa Lady Jaydee & Machozi Band. Hata hivyo, yapo madai kwamba
> Machozi Band nayo imebadilishwa jina, sasa inaitwa Lady Jaydee & The Band.*
>
> *Mali nyingine ni Albamu zote za Jide alizotoa tangu mwaka 2005 wakiwa
> tayari kwenye ndoa ambapo kwa kawaida mauzo yake ni endelevu na gari la
> kutembelea aina ya Range Rover Vogue.*
>
> *Albamu hizo ni Moto (2005), Shukrani, The Best of Lady Jaydee (2006) na
> Nothing But the Truth (2014).*
> <http://api.ning.com/files/E6-J*b1OZQPfg5pljLUIG*OqNAc5HvLyAp7uX3GSEtZihyFLQaq1csRNkpBjPnXCh9ilfmPdKWd8oXaLTS9M3HwLrbIOzYVo/1.jpg>
>
> *la M.O.G Restaurant inayomilikiwa na Judith Wambura 'Lady Jaydee.*
>
>
> *KAMA NI KUPATAChanzo kinabainisha kuwa, uhakika wa mali anazoweza kupata
> Gardner ni mgawo wa pesa kwa mauzo ya gari hilo la kutembelea na nyumba
> ambapo inaaminika ndiyo mali ya kifamilia zaidi. *
>
>
> *SHERIA YA TALAKA Risasi Jumamosi lilitembea ofisi za Wakala wa Usajili
> Ufilisi na Udhamini (Rita) jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujua sheria
> za talaka zinasemaje!*
>
> *1. Mwenza mwenye nia ya kuomba ndoa ivunjwe anatakiwa kupeleka malalamiko
> yake Baraza la Usuluhishi la Ndoa linalotambuliwa kisheria ambapo ni Ofisi
>
> ya Kamishna wa Ustawi wa Jamii, Baraza la Kata, Mabaraza ya Ndoa ya Kidini
> katika Misikitina Makanisa.*
>
> *2. Baraza litasikiliza malalamiko na likishindwa kusuluhisha, hati maalumu
>
> itaandikwa kwenda mahakamani ikielezea mgogoro kwa kifupi na baraza kutoa
> maoni yake kwa suala husika.*
>
> *4. Mahakama itasikiliza shauri husika na ikiridhia itatoa tamko la
> kuvunjika kwa ndoa (decree).*
> <http://api.ning.com/files/E6-J*b1OZQOvub-baTpAFc8TMUdfMA6DKYSb8R8bERtG1WQIBN*4b5mxN2rvJGuSl*P2HZibaKpqtr5*-wqetRpJyEO6VbFV/JIDE.jpg>
>
> *Moja ya basi la Machozi Band linalomilikiwa na Judith Wambura 'Lady
> Jaydee.*
>
> *Tamko la kuvunjika ndoa litawasilishwa Rita kwa ajili ya kusajiliwa na
> kuingizwa katika daftari la talaka. Baada ya hapo msajili atatoa hati ya
> talaka ambayo ni uthibitisho wa kuvunjika kwa ndoa na utaratibu wa mgawanyo
>
> wa mali utafuata kwa kila kilichochumwa (hata kijiko) wakati watalaka hao
> wakiwa ndani ya ndoa.*
>
>
> *JIDE AFICHA MAWASILIANO YAKERisasi Jumamosi lilimsaka Jide kwa njia
> mbalimbali lakini hakupatikana. Baadhi ya watu wamesema kwa sasa
> mwanamuziki huyo ameficha mawasiliano yake.*
> <http://api.ning.com/files/E6-J*b1OZQOZxWjFIR4*39Ss1DeHLKZ0H3ItVI8WtujZZU*Y5Ykg9aqpRE83dNZUHQyQ*RV7hQVcc8iik-TCfqoyi6hjOveG/jidenagardner.jpg>
>
> *Judith Wambura 'Lady Jaydee akiwa na aliyekuwa mumewe Gardner Gabriel
> Fikirini Habash 'Kapteni.*
>
> *ALICHOSEMA GARDNER*
> Gardner alipotafutwa na mwandishi wetu kwanza alianza kwa kukana madai kwa
> mtindo huu.
>
> Mwandishi: (anajitambulisha kwa jina na kampuni anayofanyia kazi), najua
> uko kwenye mgogoro wa mali na shemeji (Jide).
>
> *Gardner*: Kwanza huo mgogoro unaniambia wewe, mimi siujui.Lakini kwa hayo
> unayotaka kuniuliza nasema no comment (sina cha kusema).
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment