Saturday 29 November 2014

Re: Fw: [wanabidii] MWANASHERIA MKUU AANDIKA BARUA YA KUJIUZURU

Serikali inaanguka kama bado imesimama.
Wakijiuzuru inaanguka. Wakigangamala inaanguka. Labda tujiulize itaangukia wapi na lini na kwa njia gani?
Chenge yumo ndani ya mfumo wa uongozi licha ya kashfa zilizopita.
Mtamfanya nini ili serikali isianguke? Ajiuzuru uenyekiti wa Kamati ya Bunge? Ajiuzuru ubunge? Kwanini hakuwajibishwa wakati wa lada, vijisenti etc? Kuwawajibisha wahalifu leo ili serikali isianguke si kuwawajibisha kwa sababu wananchi wanaumia ila kusudi serikali isiangukde na hapo ndipo mweleka ulipo kwa wanaoweza kulitafsiri neno hilo. Kuna Katiba ambayo inaonekana serikali ilishinikiza Bunge liondoe matakwa ya wananchi. Yakaondoka. Wananc hi walitaka kuwa na katiba ambayo wao wanadhibiti mambo. Ikadhoofishwa. hapo limelala anguko la serikali Ikipita katiba itakuwa imepita kwa mizengwe. na ndiko kuanguka kwa serikali. Ikikataliwa wananchi watalazimika kuchagua kiongozi atakayewaongoza watanzania kuunda katiba yao. Na hapo kuna mweleika wa serikali.
Ni kazi ngumu kuiponya.
Elisa
--------------------------------------------
On Sat, 11/29/14, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Fw: [wanabidii] MWANASHERIA MKUU AANDIKA BARUA YA KUJIUZURU
To: "Wanabidii Googlegroups" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, November 29, 2014, 11:03 PM

aaondoke,
tena akishajiuzulu ashtakiwe kama kamati ya PAC
ilivyoazimia, hawa jamaa waMESHACOTA MIHELA HAFU WANAKOMAAA
HELA SIA ZA UMA KUMBE WANAJUA WALICHOBEBA.  LET HIM
QUIT NAFAS ITAZIBWA FASTER TENA BORA jk KASHATINGA MJENGONI
LEO AKITIMKA LEO J# ANAINGIA MWINGINE ILA ATASHTAKIWA TU,
BADO MH MUHONGO MASKINIIII, JAPO HUYU KAPONZWA NA
MASWI

----- Forwarded Message -----
From: Juma Mzuri
<jumamzuri@gmail.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent:
Saturday, November 29, 2014 12:17 AM
Subject:
[wanabidii] MWANASHERIA MKUU AANDIKA BARUA YA KUJIUZURU

Hatimaye
Jaji Werema ameandika barua rasmi kwa mamlaka ya uteuzi wake
akijulisha kuhusu kuchukua hatua za kuachia ngazi kama
mwanasheria mkuu wa Serikali,hatua hii inalenga kuinusuru
Serikali kuanguka ingawa wachambuzi wa mambo ya kisiasa
wanasema uamuzi huo hautaweza kuisafisha Serikali kama
mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wanatuhumiwa
kuhusika na kashfa hii watashindwa kutoswa katika sakata
hili la akaunti ya Tegeta Escrow........

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment