Sunday 30 November 2014

Re: [wanabidii] Record za utendaji wa Edward Lowassa zinashangaza sana

Ngupula,
Umesema vema, tuombe MUNGUatupatie rais mwenye mapenzi na uchungu na nchi hii kwa faida ya watoto wetu na vizazi vijavyo

From: Mathias Byabato <byabato2003@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, November 30, 2014 6:51 PM
Subject: Re: [wanabidii] Record za utendaji wa Edward Lowassa zinashangaza sana

Siri moja ya kueleza uzuri wa mtu ni kueleza binafsi uliwahi kufanikiwa vipi kutokana na mchango wake katika utendaji kama hakuna basi hakufai wewe na kizazi chako

On Nov 23, 2014 2:42 PM, "'ngupula' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Let the nature take its place....Mungu ni mwema na anatuwazia vema waja wake. Atatupatia rais atayetufaa...Ngupula

'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

umesema vema Ngupula,
tunataka mtu anayeweza kutenda lakini anayetenda kwa ajili ya tumbo lake. utendaji wa huyo bwana ni wa ajabu sana na unashangaza sana. alipokuwa waziri wa ardhi enzi ya mwinyi ndipo kashifa za viwanja zilipoibuka kwa wingi na hadi kufikia kuuzwa kwa eneo la viwanja vya umma mnazimmoja dsm kwa wahindi kama si wananchi kufanya fujo ya kubomoa uzio wa mabati ya ujenzi wa eneo ilo sasa hivi hatuna viwanja hivyo, alipokuwa waziri mkuu amefanya mengi ya kuhofiwa utendaji wake, ukiacha kashifa iliyomtoa ya richmond unayotaka tuamini kuwa hakushiriki aliliingiza taifa kwenye hasara kubwa kwa kufuta mkataba wa kampuni iliyokuwa inaendesha dawasco. mnajitahidi sana kumsafisha toka alipotolewa uwaziri mkuu kwa faida ya nani? je hatuna mtanzania mwingine mwenye mawazo mapya au taifa hili limelaaniwa hata tuwarudishe walewale walishindwa awali na kulifikisha taifa kuwa matonya? je sisi ni wagalatia tuerogwa hata hatuoni maovu yanayotendeka kuliangamiza taifa letu; nani ameturoga hata tumekuwa vipofu tusioona mbele?
nilikuambia tuwaeleze watu mazuri na mabaya ya mgombea tunayeona anafaa ili apimwe kwaulinganifu wa uzuri na ubaya siyo kutamka tu kuwa huyu ni jembe

From: 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, November 23, 2014 8:08 AM
Subject: Re: [wanabidii] Record za utendaji wa Edward Lowassa zinashangaza sana

Ngupula;
Hizo ni hekaya za wenye njaa wanatafuta ajira ya kupiga kampeni.
Inaonekana makosa ya 2010 CCM tunaweza kuyarudia tena mana tunajipa moyo kwamba watz washayasahau,sasa ole wetu.
Tulipoteza majimbo mengi mihimu sababu ya kuweka wagombea ambao wananchi wamechoka nao,ikawa nafuu sana kwa upinzani kuchanja mbuga.
Mimi ni mwana CCM lkn naangalia utendaji na sishabikii uhuni uhuni na uzembe.
Tuangalie sana maamuzi ya this time

Sent from my Huawei Mobile

'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ushauri wangu wa bure kabisa.....wakati unampinga lowassa kaa ukijua kuwa huyo unayemuwazia hatofanikiwa. Nchii kwa sasa inahitaji mtu mtendaji na mwenye tija...you got to choose au Lowassa au Mwigulu Nchemba...Ngupula

Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Kaaya,
Mkapa aliniambia kwamba alimfuata Mwalimu akiomba ushauri wake wakati wa kuunda baraza la mawaziri. Mwalimu alimjibu, hilo ni baraza lako, siwezi kukushauri.
Hata wakati wa Mwinyi Mwalimu aliingilia kati tu alipoona mambo yanakwenda mrama, hasa katika suala la ufisadi. Kwa hiyo Mwalimu asingeweza kumwambia Mwinyi au Mkapa
asimchague Lowassa. Haikuwa hulka yake.
em

2014-11-17 6:57 GMT-05:00 Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>:
NYERERE KUMKATAA LOWASSA, HUU NI UONGO MKUBWA!
Kuna watu bila aibu kwenye mitandao ya kijamii na vijiweni Wanamsingizia Baba wa Taifa , eti alimkataa Lowassa; wanatunga uongo mwingi kuhalalisha hisia zao hasi.
Sehemu ya nukuu yao FEKI: Eti Nyerere alisema, ("Hapa hatuchagui mtu maarufu, tunachagua mtu safi na huyu si safi. Kama unapenda sura yake basi nenda kanywe naye chai. Wengine mnasema aaah ni tuhuma tu. Samuel (Sitta)! Yusuf (Makamba)! Mnasimama hapa mnasema ni tuhuma tuhuma tu) .. mwisho wa kuwanukuu.<
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment