Saturday 29 November 2014

Re: [wanabidii] DIRA YA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA KUONGEZA MAKUSANYO YA KODI

Mimi naweza kuwapa dira bora zaidi: Kukusanya mapato ya serikali ya kutosha bila mwananchi kusikia maumivu ya kodi hiyo'
--------------------------------------------
On Sat, 11/29/14, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] DIRA YA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA KUONGEZA MAKUSANYO YA KODI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, November 29, 2014, 11:55 AM

TRA.
DIRA. KUONGEZA MAKUSANYO YA KODI HADI 19.9% YA PATO LA TAIFA
IFIKAO MWAKA 2018.NIMENUKUU
KUTOKA KITABU CHA TRA. KODI NA USHURU MBALI MBALI MWAKA
2014-2015.SWALI
LA KUJIULIZA NI KWAMBA HADI SASA TRA HAIJAFIKISHA HATA
ASILIMIA 19 ZA MAKUSANYO YA KODI KWA PATO LA TAIFA? .AU
TUNAWEZA KUSEMA HIVI, MAKUSANYO YA KODI HADI SASA NI CHINI
YA ASILIMIA 19 KWA PATO LA TAIFA. ?KAMA KODI NDIO MHIMILI MKUBWA
KABISA WA SERIKALI KATIKA PATO LA TAIFA HADI SASA IKO CHI YA
ASILIMIA 19. INATUPA DIRA GANI AU MWELEKEO GANI KIUCHUMI?
MIMI NILITEGEMEA TRA WASEME WAMEFIKIA ASILIMI 60. AU 50.SASA
NI ASILIMIA CHINI YA 19. HADI TUFKIE ASILIMIA 50 NI MWAKA
GANI? TUIOMBEE TANZANIA



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment