Saturday 29 November 2014

Re[2]: Fw: [wanabidii] MWANASHERIA MKUU AANDIKA BARUA YA KUJIUZURU

Mkuu wa kaya ndio master planner wa deal zima, tunaogopa kumtikisa sababu ya mpasuko.CAG, PAC, na waziri wamesema...simba trust ni nani? Na mlolongo wote tangu 1994 hadi leo 2014...

--
Sent from myMail app for Android

Sunday, 30 November 2014, 08:39AM +0300 from Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>:

Katika sakata la escrow wengi tumelishikia bango lakini naamini ni wachache kama 5% wanaojua who is really behind this. 95% you are misinformed.
On Nov 30, 2014 12:05 AM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" < wanabidii@googlegroups.com > wrote:
>Serikali inaanguka kama bado imesimama.
>Wakijiuzuru inaanguka. Wakigangamala inaanguka. Labda tujiulize itaangukia wapi na lini na kwa njia gani?
>Chenge yumo ndani ya mfumo wa uongozi licha ya kashfa zilizopita.
>Mtamfanya nini ili serikali isianguke? Ajiuzuru uenyekiti wa Kamati ya Bunge? Ajiuzuru ubunge? Kwanini hakuwajibishwa wakati wa lada, vijisenti etc? Kuwawajibisha wahalifu leo ili serikali isianguke si kuwawajibisha kwa sababu wananchi wanaumia ila kusudi serikali isiangukde na hapo ndipo mweleka ulipo kwa wanaoweza kulitafsiri neno hilo. Kuna Katiba ambayo inaonekana serikali ilishinikiza Bunge liondoe matakwa ya wananchi. Yakaondoka. Wananc hi walitaka kuwa na katiba ambayo wao wanadhibiti mambo. Ikadhoofishwa. hapo limelala anguko la serikali Ikipita katiba itakuwa imepita kwa mizengwe. na ndiko kuanguka kwa serikali. Ikikataliwa wananchi watalazimika kuchagua kiongozi atakayewaongoza watanzania kuunda katiba yao. Na hapo kuna mweleika wa serikali.
>Ni kazi ngumu kuiponya.
>Elisa
>--------------------------------------------
>On Sat, 11/29/14, 'lesian mollel' via Wanabidii < wanabidii@googlegroups.com > wrote:
>
> Subject: Fw: [wanabidii] MWANASHERIA MKUU AANDIKA BARUA YA KUJIUZURU
> To: "Wanabidii Googlegroups" < wanabidii@googlegroups.com >
> Date: Saturday, November 29, 2014, 11:03 PM
>
> aaondoke,
> tena akishajiuzulu ashtakiwe kama kamati ya PAC
> ilivyoazimia, hawa jamaa waMESHACOTA MIHELA HAFU WANAKOMAAA
> HELA SIA ZA UMA KUMBE WANAJUA WALICHOBEBA.  LET HIM
> QUIT NAFAS ITAZIBWA FASTER TENA BORA jk KASHATINGA MJENGONI
> LEO AKITIMKA LEO J# ANAINGIA MWINGINE ILA ATASHTAKIWA TU,
> BADO MH MUHONGO MASKINIIII, JAPO HUYU KAPONZWA NA
> MASWI
>
> ----- Forwarded Message -----
>    From: Juma Mzuri
> < jumamzuri@gmail.com >
>  To:
>  wanabidii@googlegroups.com
>  Sent:
> Saturday, November 29, 2014 12:17 AM
>  Subject:
> [wanabidii] MWANASHERIA MKUU AANDIKA BARUA YA KUJIUZURU
>
> Hatimaye
> Jaji Werema ameandika barua rasmi kwa mamlaka ya uteuzi wake
> akijulisha kuhusu kuchukua hatua za kuachia ngazi kama
> mwanasheria mkuu wa Serikali,hatua hii inalenga kuinusuru
> Serikali kuanguka ingawa wachambuzi wa mambo ya kisiasa
> wanasema uamuzi huo hautaweza kuisafisha Serikali kama
> mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wanatuhumiwa
> kuhusika na kashfa hii watashindwa kutoswa katika sakata
> hili la akaunti ya Tegeta Escrow........
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to  wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com   Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .
>
> For more options, visit  https://groups.google.com/d/optout .
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to  wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com   Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .
>
> For more options, visit  https://groups.google.com/d/optout .
>
>
>--
>Send Emails to  wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .
>For more options, visit  https://groups.google.com/d/optout .
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .
For more options, visit  https://groups.google.com/d/optout .

0 comments:

Post a Comment