Saturday 29 November 2014

Fw: [wanabidii] MWANASHERIA MKUU AANDIKA BARUA YA KUJIUZURU

aaondoke, tena akishajiuzulu ashtakiwe kama kamati ya PAC ilivyoazimia, hawa jamaa waMESHACOTA MIHELA HAFU WANAKOMAAA HELA SIA ZA UMA KUMBE WANAJUA WALICHOBEBA.  LET HIM QUIT NAFAS ITAZIBWA FASTER TENA BORA jk KASHATINGA MJENGONI LEO AKITIMKA LEO J# ANAINGIA MWINGINE ILA ATASHTAKIWA TU, BADO MH MUHONGO MASKINIIII, JAPO HUYU KAPONZWA NA MASWI

----- Forwarded Message -----
From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, November 29, 2014 12:17 AM
Subject: [wanabidii] MWANASHERIA MKUU AANDIKA BARUA YA KUJIUZURU

Hatimaye Jaji Werema ameandika barua rasmi kwa mamlaka ya uteuzi wake akijulisha kuhusu kuchukua hatua za kuachia ngazi kama mwanasheria mkuu wa Serikali,hatua hii inalenga kuinusuru Serikali kuanguka ingawa wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanasema uamuzi huo hautaweza kuisafisha Serikali kama mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wanatuhumiwa kuhusika na kashfa hii watashindwa kutoswa katika sakata hili la akaunti ya Tegeta Escrow........
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment