Friday 28 November 2014

Re: [wanabidii] Yah: Escrow Account tuhuma za Muhongo dhidi yangu

Ngwilima,
Ni vyema na wewe eleza ukweli pamoja na kuonesha vielelezo vitakavyothibitisha alichokisema ni cha UONGO...sambaza mitandaoni na kwenye vyombo vya habari. Kumshitaki kama,  ulivyoshauriwa hapo, juu HUWEZI, hata ukiweza, utapoteza muda na pesa zako bure. Ni ushauri tu.

asante

2014-11-28 10:20 GMT+03:00 <mchunguzihuru@gmail.com>:

Yah: Escrow Account tuhuma za Muhongo dhidi yangu

Habarini za mchana! Kwa kawaida na silka yangu, mimi sio mtu ninaependa ugomvi hasa ule usio wa lazima. Lakini, pia, sipendi kuonewa; na katika suala ambalo ni la wazi, nitasimama katika kanuni kupigania iliyo haki yangu.

Si nia yangu kutoa utetezi wangu hapa, au kujibizana na mtu mjinga, pumbavu na mufilisi, lakini nadhani ni vema niseme tu kifuatacho:

Sospita Muhongo ni muongo, mjinga, mtu mwenye dharau na asiyestahili kurudishiwa heshima hata kidogo. Mambo aliyoyasema dhidi yangu Bungeni leo ni ya uongo, yenye hila na ya kutunga. Na kwavile najua kuwa amefanya hivi makusudi, na kwa nia ovu, nimeamua kumchukulia hatua za kisheria rasmi. Na sitorudi nyuma.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Abdallah Mrisho
General Manager
Global Publishers Ltd
P. O. BOX 7534
DAR ES SALAAM TANZANIA
mobile: +255 713 839 363
Please visit me at:
www.abdallahmrisho.blogspot.com, www.globalpublishers.info

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment