Saturday 29 November 2014

[wanabidii] DIRA YA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA KUONGEZA MAKUSANYO YA KODI

TRA. DIRA. KUONGEZA MAKUSANYO YA KODI HADI 19.9% YA PATO LA TAIFA IFIKAO MWAKA 2018.

NIMENUKUU KUTOKA KITABU CHA TRA. KODI NA USHURU MBALI MBALI MWAKA 2014-2015.

SWALI LA KUJIULIZA NI KWAMBA HADI SASA TRA HAIJAFIKISHA HATA ASILIMIA 19 ZA MAKUSANYO YA KODI KWA PATO LA TAIFA? .AU TUNAWEZA KUSEMA HIVI, MAKUSANYO YA KODI HADI SASA NI CHINI YA ASILIMIA 19 KWA PATO LA TAIFA. ?

KAMA KODI NDIO MHIMILI MKUBWA KABISA WA SERIKALI KATIKA PATO LA TAIFA HADI SASA IKO CHI YA ASILIMIA 19. INATUPA DIRA GANI AU MWELEKEO GANI KIUCHUMI? MIMI NILITEGEMEA TRA WASEME WAMEFIKIA ASILIMI 60. AU 50.SASA NI ASILIMIA CHINI YA 19. HADI TUFKIE ASILIMIA 50 NI MWAKA GANI? TUIOMBEE TANZANIA

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment