Saturday 29 November 2014

Re: [wanabidii] Yah: Escrow Account tuhuma za Muhongo dhidi yangu

Itakuwa kesi ya kuvutia sana umma. Salum nani kakuambia kesi inayohusu Waziri wa serikali ya ki Afrika, huamuliwa nje ya mahakama? Ingeamuliwa ile ya Dito, Chenge, Mramba, Yona, Badweli, Idi Simba, Ntagazwa.

Ngwilimi nenda Kisutu. Media itafanya kazi yake ipasavyo.

Jabir+


From: salumkango via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, November 29, 2014 8:33 PM
Subject: Re: [wanabidii] Yah: Escrow Account tuhuma za Muhongo dhidi yangu


Mmmmmhhhhh pole sana kaka kama ni kweli hayo usemayo. ila nijuavyo mimi mbunge anakinga dhidi ya anayoyaongea bungeni hata kama anayoyasema ni ya uongo.

Sidhani kama mahakama itasaidia katika hilo. Ni la usuluhisho nje ya mahakama.





Sent from my smartphone on the new Vodafone network

'godfred mbanyi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>
>Mungu akusaidie Bw. Godwin! Hawa mavampire ya CCM ni kawaida yao kupindisha ukweli! Lakini Insh'Allah Mungu yupo, na utashinda tu!
>
>--------------------------------------------
>On Fri, 11/28/14, mchunguzihuru@gmail.com <mchunguzihuru@gmail.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] Yah: Escrow Account tuhuma za Muhongo dhidi yangu
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Friday, November 28, 2014, 10:20 AM
>
> Godwin
> NgwilimiYah: Escrow Account tuhuma za
> Muhongo dhidi yanguHabarini
> za mchana! Kwa kawaida na silka yangu, mimi sio mtu
> ninaependa ugomvi hasa ule usio wa lazima. Lakini, pia, sipendi kuonewa; na katika
> suala ambalo ni la wazi, nitasimama katika kanuni kupigania
> iliyo haki yangu.Si nia
> yangu kutoa utetezi wangu hapa, au kujibizana na mtu mjinga,
> pumbavu na mufilisi, lakini nadhani ni vema niseme tu
> kifuatacho:Sospita Muhongo ni
> muongo, mjinga, mtu mwenye dharau na asiyestahili
> kurudishiwa heshima hata kidogo. Mambo aliyoyasema dhidi
> yangu Bungeni leo ni ya uongo, yenye hila na ya kutunga. Na
> kwavile najua kuwa amefanya hivi makusudi, na kwa nia ovu,
> nimeamua kumchukulia hatua za kisheria rasmi. Na sitorudi
> nyuma.
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment