Thursday 27 November 2014

Re: [wanabidii] HALIMA MDEE AHUSISHWA KUMPA SUMU MKONO

Ezekiel, kujitokeza au kutojitokeza maana yake siyo kusubiri pale mtu anapoguswa. Inategemea pia aina ya mjadala. Mimi huwa sipendi kuchangia kwa kumshambulia mtu fulani maana hakuna tija. Lakini kama nitajitokeza ni pale kwenye mada kama hiyo ya kushambulia watu huwa ni kutaka tujadili hoja na siyo watu. Shida ya kujadili watu ni kwamba wengine wanatunza visasi na wanaweza kuvionyesha kwa njia mbalimbali uraiani. Uzuri wa kujadili hoja tunajifunza namna ya kupata ukweli na hatimaye kufikia muafaka. Mfano, kuna siku mchangiaji mmoja alimshambulia Halima Mdee akisema hana mume inabidi atafute mume aolewe. Niliguswa siyo kwa sababu ya Halima Mdee ila kwa sababu niliona Halima Mdee kuwa na mume au kutokuwa na mume ni uamuzi wake na si kitu tunachoweza kukijadili humu. Kwani tunajua ni wangapi humu wanaochangia wana wake au waume na pia ni wangapi wana matatizo ya ndoa ili nao tuwe tunawataja kama kuna tija katika kufanya hivyo na tuwaambie watafute wake au waume au watatue matatizo yao ya kifamilia?

2014-11-28 7:48 GMT+03:00 'ezekiel kunyaranyara' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Magobe,

Kuna watu hapa huwa hawajitokezi mara kwa mara lakini wakitajwa watu wa aina Fulani utawaona wakijitokeza kwa nguvu kwa kutetea tu. Mtizamo wangu ulikuwa hivyo. Hata hivyo umesomeka kaka uwe na siku njema.
 
K.E.M.S.

From: Paul Lawala <pasamila292000@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, 27 November 2014, 12:59
Subject: Re: [wanabidii] HALIMA MDEE AHUSISHWA KUMPA SUMU MKONO

Nico

Sorry,nilidhani tupo mabadiliko

Kumradhi!

2014-11-26 19:09 GMT+03:00 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>:
paul uko wanabidii sio mabadiliko
On Nov 26, 2014 7:20 AM, "Paul Lawala" <pasamila292000@gmail.com> wrote:
Udhaifu wa kina Field Marshal?

Kanuni mojawapo ni kutumia majina halisi,huyu yupo hapa kwa muda mrefu lakini yupo

2014-11-26 15:53 GMT+03:00 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>:
Ezekiel, hoja tunayoijadili inatokana na kichwa hiki cha habari na maelezo yake: "HALIMA MDEE AHUSISHWA KUMPA SUMU MKONO"
"MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee anatuhumiwa kuhusika kwenye tukio la kumpa sumu Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono ambaye hivi karibuni alinusurika kifo akiwa London, Uingereza. Chanzo kutoka kwa mmoja wa watu waliokuwa kwenye msafara wa wajumbe 11 wa Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, kinasema muda mwingi Mdee alionekana na Mkono wakijadili masuala mbalimbali yakiwemo ya ESCROW. Chanzo hicho kinadai, anahisi Mdee amefanya kitendo hicho kwa maelekezo aidha ya chama chake (Chadema) au vinara wanaoshikila bango suala la ESCROW ili kuongeza utata wa suala hilo na kuipaka matope zaidi serikali ionekane inataka kuua watu muhimu kwenye sakata hilo ili kujinusuru."
"Chanzo hicho kinadai, anaihisi Mdee amefanya kicho kwa maelezo aidha ya chama chake (Chadema) au vinara wanaoshikilia bango suala la ESCROW..." Ukiashaweka 'hisia' kwenye hoja unaiua kabisa. Huweza kusema 'ninahisi niliwaona x na y jana jioni' ikawa na maana sawa na mtu mwingine anayesema 'niliwaona x na y jana jioni' Hapa tunachokijadili tunataka hoja inayojitosheleza/inayosimama yenyewe na siyo hoja isiyojitosheleza au inayotokana na hisia. Sina mpambe mimi. Ninachotaka ni mabadiliko tu ili mimi/sisi, wewenyinyi, yule/wale tuendelee/tuwe na mabadiliko katika maisha yetu.

On Wed, Nov 26, 2014 at 3:28 PM, 'ezekiel kunyaranyara' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Magobe

Ameguswa mteule wako ndio maana unauita ukweli huu kama "fabrication" eti?
 
K.E.M.S.

From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, 26 November 2014, 12:06
Subject: Re: [wanabidii] HALIMA MDEE AHUSISHWA KUMPA SUMU MKONO

Other people call such fabrication "intellectual masturbation".
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment