Saturday, 15 November 2014

Re: [wanabidii] KUAHIRISHWA KWA MDAHALO WA KATIBA TAREHE 16 JUMAPILI NOVEMBA 2014

Rehema
Ni vizuri ukaisemea nafsi yako, kwani mmechoka wewe na nani? sana sana mwingine ni makonda na wengine wachache wasiotaka kujulikana wazi. Hapa tatizo lako si Taasisi ya Mlm Nyerere bali hayo yanayoongelewa na hiyo group ya Mzee Warioba. Kwamba hata taasisi nyingine ikiwakaribisha akina mzee Warioba naona nayo utaishauri kujisajiri kama chama cha sisasa. Kama munamuona anachosema sicho basi nanyi pitieni taasisi nyingine andaa midahalo yenu tutawasikiliza na kuchambua pumba na mchele.

Naogopa kutoa takwimu ambazo sina uhakika nazo lakini tangu mchakato wa mabadiliko ya katiba yaanze Mzee Warioba na kamati yake wamekuwa na mvuto kwa watu wengi pengine kuliko nyie munaomuaona Warioba hafai. Wanayotueleza yana mshiko ndiyo maana wanavuta kundi kubwa la watu kwenda kuwasikiliza bila kutumia mafuso, pilau, pesa, muziki au kingine chochote.

2014-11-15 13:33 GMT+03:00 Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>:
kasahau jama ni mwenyekiti wa PAC ngoja aje amsweke ndani,

On 11/15/14, Rehema Kikwete <rehemaki@gmail.com> wrote:
> Taasisi ya mwalimu nyerere isajiliwe iwe chama kamili cha siasa , tumechoka
>
> .
>
> On Saturday, November 15, 2014 11:22:06 AM UTC+3, Method Francis Ngonge
> wrote:
>>
>> Sawa kabisa kuhairisha ili kujipanga vizuri kiulinzi. Ulinzi wa hali ya
>> juu unahitajika maana wanaotumwa kuvuruga ni wahitimu wa vyuo vikuu vya
>> vurugu na mauaji nafikiri hilo liko wazi. Ukifanya tathimini ya
>> walichokiongea kupitia TV na redio unaipata picha yote bila chenga
>>
>> 2014-11-15 8:44 GMT+03:00 Fakhi Karume <fka...@gmail.com <javascript:>>:
>>
>>> TAARIFA KWA UMMA: KUAHIRISHWA KWA MDAHALO WA KATIBA TAREHE 16 JUMAPILI
>>> NOVEMBA 2014.
>>>
>>> Kwa niaba ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere napenda kuwatangazia kwamba
>>> Mdahalo wa Katiba uliokuwa ufanyike Jumapili tarehe 16 Novemba
>>> umeahirishwa
>>> na utafanyika siku chache zijazo. Taasisi ya Mwalimu Nyerere itatoa
>>> taarifa
>>> juu ya Ukumbi, siku, saa ya Mdahalo wa Katiba utakaofuata kwa hapa Dar es
>>>
>>> Salaam kufuatiwa kuvurugwa kwa Mdahalo wa Katiba siku ya Tarehe 2 Novemba
>>>
>>> 2014.
>>>
>>> Taasisi inawasihi watanzania na wenye mapenzi mema na Mchakato wa Kupata
>>>
>>> Katiba Mpya kuendelea kuwa na subira, ustahimilivu na kuendelea
>>> kujadiliana
>>> kwa hoja na sababu na kujielimisha juu ya Maudhui ya Mchakato ambayo ni
>>> pamoja na Katiba ya Mwaka 1977, Rasimu Ya Katiba Toleo la Pili na Katiba
>>>
>>> Inayopendekezwa.
>>>
>>> Mwisho, Taasisi ya Mwalimu Nyerere inawapa pole na kuwaomba radhi wale
>>> waliokuwa wamejiandaa kuja Jumapili hii, kujifunza juu ya Mchakato wa
>>> Katiba na Katiba Inayopendekezwa.
>>>
>>> Asanteni na ninaomba tuusambaze ujumbe (SHARE) juu kwa watanzania wengi
>>> zaidi huku tukijiandaa na Mdahalo wa Katiba siku chache zijazo.
>>>
>>> Humphrey Polepole.
>>> Mdau wa Maendeleo
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>>> kudhibitisha ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>>
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>>
>>> email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment