Wednesday, 26 November 2014

Re: [wanabidii] HOMOSEXUALS TARGET ALL OF AFRICA!

Sorry Mwesiga,
Nilitaka kusema uone attachment hii ili uonekuwa matatizo ya sexual abuse kuwa tunayo SIO kusema kuwa 'Unayo wewe' ni typographical error.
Niongeze-na bado mimba za utotoni eti serikali inawajibika wakati mbakaji na mtia mimba anatoa chochote kwa mzazi (30,000/=) kama rushwa wakati athari ni kubwa kwa mtoto mimba na ukimwi, kisonono, kaswende.
Studies kibao za sexual abuse na kesi zimefanywa TZ  zilizoonyesha kesi ngapi mahakamani zimekwisha na ngapi zina miaka zaidi ya kumi hazijaisha na mbakaji au aliyetia mimba, mlawiti anapeta kijijini. Tuna matatizo lakini tunasingizia maadili na kuwa tukijadili tunakiuka maadili.

Lakini, aliyempangishia nyumba katoto kadogo kashoga ni baba wa familia. Hapa daktari anatoa taarifa ya tatizo na si pekee, wengi wameandika. Unduma kuwili wetu unafanya matatizo kama haya ya kijamii yaendelee kukua.

Mbunge badala ya yeye kukaa na watu wake ktk jimbo lake na Diwani na extension staff, kuelimisha wananchi wake kwa lugha ya kwao kama ni wa huko; kuzuia mila potovu za ukeketaji (hafanyi anaogopa kukosa kura kwa kukashifu mila yake au ya wengine); kuhamasisha ujenzi wa mabweni kwa wasichana na wavulana (wavulana hubakwa pia) na kuonya jamii kutokuwavamia wanafunzi njiani au wakienda mtoni au kwa kuwadanganya vyovyote vile- Mbunge anasimama bungeni na kuuliza-Eti serikali inafanya nini na mimba za utotoni, ubakaji etc. anaibua tatizo sio kusaidia kuwajibisha wazazi na jamii kuwajibika uzingatia haki za binadamu na maadili. 'Serikali inafanya nini kuzuia mimba za utotoni? kwa nini isiwafunge maisha wawapao mimba? (Mzazi anapewa kilo ya unga, kasenti, mtoto anahamishwa, hawafiki mahakamani, kesi inafutwa; mchumba anaambiwa ambake ili apate mimba afukuzwe shule kwani wameshakula mahari au wanataka mifugo mtoto anag'ang'ana kutaka kusoma awe waziri, daktari, rais).

Ni hivyo katika kukafukuza katoto nyumbani ambacho kametendewa uovu na kaka zake, ndugu wa karibu ukikalaza pamoja. Kuna baba Mwananyamala alimfanyia sodomy kijana wa mzee ambae alikuwa anamuibia mkewe. Yeye akaona kulipa kisasi ni kumfanyia uchafu huyo mtoto kwa kumrubuni. Mtoto alijua anapata favours kutoka kwa rafiki ya baba ambaye akiibiwa mke na rafiki yake. Mbaba haukutaka ugomvi na rafikie bali akatafuta njia nyingine ya kumkomesha/kumkomoa baba kupitia mtoto. Baba mzazi kuja kufahamu kinachoendelea kati ya rafiki na mwanae-akahama mtaa na familia yake. Katika kuhoji huyo kijana shoga kutaka kujua alianzaje ndio alisema-ilikuwa hivyo ndivyo alivyoanza.

Mwingine chuki ya kugombania msichana mwenzake akamtumia squard ya kumfanya hivyo. naye kwa hasira amekuwa akifanyi hivyo wengine ili kupata nafuu psychologically akibaka vijana na kutembea na mashoga kulipiza kisasi. Presentation zetu za utafiti huu hazipendwi. Watu wanaona tunaongea matusi. 

Hata za ukeketaji tuliona ni mkubwa kuliko inavyosemwa kitaifa na kutokana na matibabu kuwa tabu, uhaba wa maji na umasikini, uchafuzi wa mazingira- utaongezeka. Tuliona, asilimia 99 ya wernye mila ya kukeketa walikeketwa, asilimia 82 ya wasio na mila hiyo walikeketwa katika sample yetu wa utafiti mgonjwa hajui kama anachunguliwa FGM. Ile sample ya kuhoji household members na watoto wa shule na nje ya shule (iliyofika watu 800) tulitumia mbinu ya kumuuliza mzazi kuhakiki hali ya mtoto. Tukakuta watoto waongo zaidi kuliko watu wazima, wanaficha siri. Watoto wanazingatia mila-usiseme wazazi watakufa. Hivyo wanadanganya. Kwa wanawake tulimuuliza mume na ngariba wa kijiji kuhakiki. Kisha kufanya utafiti wa siri kupitia wauguzi kuona FGM  by age, marital status and tribe ndipo tukapata 99% na 82% tofauti na 8% na 36% (statistically significant different-wamama 54% vs 99% ya zahanati sample sio hao hao; watoto 8% wazazi wao wakatoa data 36% zahanati sample tofauti 26%; wasio mila  1% sio mila yangu zahanati 82% sample watu tofauti watumiao zahanati). National statistics 20% prevalence rate 2003. tatizo kuu la Ukeketaji ni maradhi ya sehemu za siri ambayo hayatibiki ktk zahanati za vijiji na umbali wa huduma (SIO MILA. FGM imekuja kama mitigation measure ya matatizo kimaadili na kuzuia na kutibu maradhi).

Pamoja na sababu nyingine, maelezo ya ngariba ya sababu za ukeketaji ni FGM kuwa preventive na curative ya maradhi hayo. wasio na mila hiyo-muingoliano wa ndoa kikabila na kabila zenye mila hiyo; kukubalika na kuweza kuingia ngoma za mila nyingine. Ngariba wanatolewa vijijini kuja kutahiri watu wa kabila lao mijini walioungana kisingi ili watahili watoto kabla umri haujapita sana; kukeketa visichana vichanga mara vikizaliwa ili wauguzi serikali wasione; kukeketa kisiri bila ngoma na sherehe za pombe. Hata ulaya ngariba hasa toka west Africa wanapewa ticket kwenda kukeketa, kulipwa na kurudi kwao wamejaa vizawadi. Mila, msichana anatishiwa mambo mbengi. Hapa bongo mume anatoa zawadi kwa ngariba kumkeketa mke wa kabila ambalo mila si kuketeta lakini amesaidia kutatua matatizo mfano ya vagina warts ambazo wamezikata tu hao ngariba lakini infection hiyo haijaisha ndani ya damu ya mke na mume anakuja kuzipata penile warts ambazo zinatisha. ukitaka uziweke hapa watu wasione-Maadili yanakiukwa!!*:-&lt sigh. Mashoga wapo na wanaongezeka na waliowengi ni watoto; wasagaji wengi ni watu wenye medical-physical problems zinazowapa psychological problems ambao hawasaidiwi medically; kujitokeza wanakumbana na stigma-Maadili!! *:-h wave
 
On Wednesday, 26 November 2014, 21:31, 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Hildegarda Kiwasila,
Tuwasiliane. 0715 350 752 au 0754 350 752. Kuna funding opportunity. Frank

From: 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, November 26, 2014 8:57 PM
Subject: Re: [wanabidii] HOMOSEXUALS TARGET ALL OF AFRICA!

Mwesiga, Soma hii attachment. Maatatizo unayo.

On Wednesday, 26 November 2014, 19:12, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

tatizo moja la waafrika ni unafiki.Hili tatizo la ushoga tunaishi nalo haliwezi kuondoka kwa kucheka cheka au kuona aibu.
miaka yanyuma familia zilificha watu wakapewa wake wakasaidiwa kuzalishiwa hiyo ni kesi ya mtu kuwa hanithi.
tatizo la sasa ni starehe tamaa na mengineyo yalopelekea mwanamke kumtamani mwenzie ba wanaume pia.
wanao toa elimu wanapambana na maajabu bahati mbaya sasa hata wenye wake wanapenda kamchezo na walioolewa wenye wapenzi.
Hujui hata ndani ya nyumba wapo haijalishi wanahudhuria majumba ya ibada kiasi gani bahati mbaya mimi na we si mungu kujua ibada zao

On Nov 26, 2014 7:27 AM, "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Frank Materu
Tutafutane. Nimepigiwa juzi na network yangu niende nikaongee na kikundi cha vijana shoga. Ni watoto wadogo sana. Ninaomba tuongozane siku hiyo. Utafiti ni kuwauliza historical background yao, kabila, wazazi, wanatoka wapi (kwao) walianzaje mchezo mchafu ilikuwaje na nani alianza naye na anaendelea na nani, wapi anaishi, na nani au nami kampangia kuwa ndio mzee (basha wake). kama anampango wa kuacha na anaweza kuacha kwa vipi, mipango yake ya baadae ili kuona atasaidiwaje aache mchezo huo. Ninataka ushuhudie kuwa wapo na wanaongezeka kiidadi na umri unashuka. Nitatembea nawe mpaka kwa wale wenye kuvaa vizuri safi kijana wa shoga huwezi kumjua na pia kwa wenye kibaraghashia kichwani kamchezo naye yumo ni shoga. Suala ni kuwa-tunawatengeneza, tusiwaonee, tuwasaidie waache ni mbaya kwa afya zao na zetu pia. Siku hizi watoto wa shule wanajipeleka kwa mashoka kutafuta hela yaani afanye kamchezo na shoga shoga amlipe si anataka huduma? tatizo ni kubwa. Watoto wetu watakao hela za kunywa soda za rangi. Bado hao wapendao lift ya bodaboda na anapakiwa bure kurudishwa nyumbani asiteseke na daladala. Anaharibikia humo kwenye dezo. Ukijua unampiga na kumfukuza nyumbani humsaidii kumpa nauli kwenda na kurudi shule asiteseke. Unamfukuza yeye sio kaka au mjomba au babu yake aliyekuwa anaishi naye aliyemtendea hivyo. Anaingia mtaani na kujaza watoto wa mtaani. Hizi sio haki za binadamu. Sio kutetea ushoga. Suala ni tunawatengeneza, tuwache kuwatengeneza ama sivyo tusiwabague kama tuliwatengeneza wenyewe na kesi tunahonga mbakaji/mlawiti anashinda. Mungu atusaidie.

On Friday, 31 October 2014, 19:53, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Only when we get leaders with self confidence and of God fearing.....or unless that will be history.

'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Dear Brothers  & Sisters,
BE AWARE THAT THE HOMOSEXUAL AGENDA HAS LISTED AS A PRIORITY TO TAKE ALL OF AFRICA FOR HOMOSEXUALITY. WITH SUCH A HIDEOUS INTENTION AS THIS ON THE HORIZON, IT IS NOT THE TIME TO GET RICH AND LIVE IN LUXURY, NOR IS IT THE TIME TO PLAY AROUND IN FUN AND GAMES. IT IS THE TIME TO FIGHT ACTIVELY AGAINST THE MISINFORMATION CAMPAIGN WHICH IS BEING LAUNCHED WORLDWIDE BY THE POLITICALLY CORRECT, HOMOSEXUAL ORIENTED MEDIA.
It is not the time to relent but let us war against the forces of evil that are seeking to destroy nations—even ALL OF AFRICA—with this great evil of homosexual behavior. This is nothing but a death cult belief system which victimizes multitudes through AIDS and other STDs (sexually transmitted diseases). We supply FREE OF CHARGE many informative, well-researched, Biblically correct refutations that will help you counterattack this plague of gross darkness and sexual sins. Write to receive your free information package today. Frank  ADDICTED
 
ADDICTED
SEXUAL PERVERSION! America -A NATION OF ADDICTS! LOVE SLAVE -The Gay Revolution Is Underway! Are You A Sex Addict? -Read This And Find Out Decade Decay -No one is born a HOMOSEXUAL
Preview by Yahoo
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment