Wednesday, 26 November 2014

Re: [wanabidii] HOMOSEXUALS TARGET ALL OF AFRICA!

Mara nyingi watanzania na labda waafrika tunahangaika kufanyia kazi matokea badala ya chimbuko. Unaweza kuona sehemu zinazoitwa zinaumaskini wa kutupwa, ukifanya utatifi ukalenga saikolojia ya watu hao unaweza kushangaa.
Kwahiyo matatizo ya ushogha, ubakwaji mwandamizi n.k. yanaendelea kwa sababu, utatuzi wetu / machagua yetu ya kukabili changamoto ni ya kukariri na siyo yanayotokana na ubinifu wala stadi stahili. Hii inahusisha uhusiano wa wazazi na mtoto wakati wa ukuaji, lishe pamoja na uchokozi stahili ambao alipaswa kuupata.
--------------------------------------------
On Thu, 11/27/14, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] HOMOSEXUALS TARGET ALL OF AFRICA!
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, November 27, 2014, 10:34 AM

Sorry
Mwesiga,
Nilitaka
kusema uone attachment hii ili uonekuwa matatizo ya sexual
abuse kuwa tunayo SIO kusema kuwa 'Unayo wewe' ni
typographical error.
Niongeze-na bado mimba za utotoni eti serikali inawajibika
wakati mbakaji na mtia mimba anatoa chochote kwa mzazi
(30,000/=) kama rushwa wakati athari ni kubwa kwa mtoto
mimba na ukimwi, kisonono, kaswende.Studies
kibao za sexual abuse na kesi zimefanywa TZ  zilizoonyesha
kesi ngapi mahakamani zimekwisha na ngapi zina miaka zaidi
ya kumi hazijaisha na mbakaji au aliyetia mimba, mlawiti
anapeta kijijini. Tuna matatizo lakini tunasingizia maadili
na kuwa tukijadili tunakiuka maadili.

Lakini,
aliyempangishia nyumba katoto kadogo kashoga ni baba wa
familia. Hapa daktari anatoa taarifa ya tatizo na si pekee,
wengi wameandika. Unduma kuwili wetu unafanya matatizo kama
haya ya kijamii yaendelee kukua.

Mbunge
badala ya yeye kukaa na watu wake ktk jimbo lake na Diwani
na extension staff, kuelimisha wananchi wake kwa lugha ya
kwao kama ni wa huko; kuzuia mila potovu za ukeketaji
(hafanyi anaogopa kukosa kura kwa kukashifu mila yake au ya
wengine); kuhamasisha ujenzi wa mabweni kwa wasichana na
wavulana (wavulana hubakwa pia) na kuonya jamii
kutokuwavamia wanafunzi njiani au wakienda mtoni au kwa
kuwadanganya vyovyote vile- Mbunge anasimama bungeni na
kuuliza-Eti serikali inafanya nini na mimba za utotoni,
ubakaji etc. anaibua tatizo sio kusaidia kuwajibisha wazazi
na jamii kuwajibika uzingatia haki za binadamu na maadili.
'Serikali inafanya nini kuzuia mimba za utotoni? kwa
nini isiwafunge maisha wawapao mimba? (Mzazi anapewa kilo ya
unga, kasenti, mtoto anahamishwa, hawafiki mahakamani, kesi
inafutwa; mchumba anaambiwa ambake ili apate mimba afukuzwe
shule kwani wameshakula mahari au wanataka mifugo mtoto
anag'ang'ana kutaka kusoma awe waziri, daktari,
rais).
Ni hivyo
katika kukafukuza katoto nyumbani ambacho kametendewa uovu
na kaka zake, ndugu wa karibu ukikalaza pamoja. Kuna baba
Mwananyamala alimfanyia sodomy kijana wa mzee ambae alikuwa
anamuibia mkewe. Yeye akaona kulipa kisasi ni kumfanyia
uchafu huyo mtoto kwa kumrubuni. Mtoto alijua anapata
favours kutoka kwa rafiki ya baba ambaye akiibiwa mke na
rafiki yake. Mbaba haukutaka ugomvi na rafikie bali
akatafuta njia nyingine ya kumkomesha/kumkomoa baba kupitia
mtoto. Baba mzazi kuja kufahamu kinachoendelea kati ya
rafiki na mwanae-akahama mtaa na familia yake. Katika kuhoji
huyo kijana shoga kutaka kujua alianzaje ndio
alisema-ilikuwa hivyo ndivyo alivyoanza.

Mwingine
chuki ya kugombania msichana mwenzake akamtumia squard ya
kumfanya hivyo. naye kwa hasira amekuwa akifanyi hivyo
wengine ili kupata nafuu psychologically akibaka vijana na
kutembea na mashoga kulipiza kisasi. Presentation zetu za
utafiti huu hazipendwi. Watu wanaona tunaongea
matusi. 
Hata za
ukeketaji tuliona ni mkubwa kuliko inavyosemwa kitaifa na
kutokana na matibabu kuwa tabu, uhaba wa maji na umasikini,
uchafuzi wa mazingira- utaongezeka. Tuliona, asilimia 99 ya
wernye mila ya kukeketa walikeketwa, asilimia 82 ya wasio na
mila hiyo walikeketwa katika sample yetu wa utafiti mgonjwa
hajui kama anachunguliwa FGM. Ile sample ya kuhoji household
members na watoto wa shule na nje ya shule (iliyofika watu
800) tulitumia mbinu ya kumuuliza mzazi kuhakiki hali ya
mtoto. Tukakuta watoto waongo zaidi kuliko watu wazima,
wanaficha siri. Watoto wanazingatia mila-usiseme wazazi
watakufa. Hivyo wanadanganya. Kwa wanawake tulimuuliza mume
na ngariba wa kijiji kuhakiki. Kisha kufanya utafiti wa siri
kupitia wauguzi kuona FGM  by age, marital status and tribe
ndipo tukapata 99% na 82% tofauti na 8% na 36%
(statistically significant different-wamama 54% vs 99% ya
zahanati sample sio hao hao; watoto 8% wazazi wao wakatoa
data 36% zahanati sample tofauti 26%; wasio mila  1% sio
mila yangu zahanati 82% sample watu tofauti watumiao
zahanati). National statistics 20% prevalence rate 2003.
tatizo kuu la Ukeketaji ni maradhi ya sehemu za siri ambayo
hayatibiki ktk zahanati za vijiji na umbali wa huduma (SIO
MILA. FGM imekuja kama mitigation measure ya matatizo
kimaadili na kuzuia na kutibu maradhi).

Pamoja na
sababu nyingine, maelezo ya ngariba ya sababu za ukeketaji
ni FGM kuwa preventive na curative ya maradhi hayo. wasio na
mila hiyo-muingoliano wa ndoa kikabila na kabila zenye mila
hiyo; kukubalika na kuweza kuingia ngoma za mila nyingine.
Ngariba wanatolewa vijijini kuja kutahiri watu wa kabila lao
mijini walioungana kisingi ili watahili watoto kabla umri
haujapita sana; kukeketa visichana vichanga mara vikizaliwa
ili wauguzi serikali wasione; kukeketa kisiri bila ngoma na
sherehe za pombe. Hata ulaya ngariba hasa toka west Africa
wanapewa ticket kwenda kukeketa, kulipwa na kurudi kwao
wamejaa vizawadi. Mila, msichana anatishiwa mambo mbengi.
Hapa bongo mume anatoa zawadi kwa ngariba kumkeketa mke wa
kabila ambalo mila si kuketeta lakini amesaidia kutatua
matatizo mfano ya vagina warts ambazo wamezikata tu hao
ngariba lakini infection hiyo haijaisha ndani ya damu ya mke
na mume anakuja kuzipata penile warts ambazo zinatisha.
ukitaka uziweke hapa watu wasione-Maadili yanakiukwa!!. Mashoga wapo na
wanaongezeka na waliowengi ni watoto; wasagaji wengi ni watu
wenye medical-physical problems zinazowapa psychological
problems ambao hawasaidiwi medically; kujitokeza wanakumbana
na stigma-Maadili!!
 
On Wednesday, 26
November 2014, 21:31, 'frank patrick materu' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Hildegarda
Kiwasila,
Tuwasiliane.
0715 350 752 au 0754 350 752. Kuna funding opportunity.
Frank

From: 'Hildegarda
Kiwasila' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

Sent:
Wednesday, November 26, 2014 8:57 PM

Subject: Re:
[wanabidii] HOMOSEXUALS TARGET ALL OF AFRICA!

Mwesiga,
Soma hii attachment. Maatatizo unayo.

On Wednesday, 26 November 2014,
19:12, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

tatizo moja la waafrika ni unafiki.Hili tatizo la
ushoga tunaishi nalo haliwezi kuondoka kwa kucheka cheka au
kuona aibu.
miaka
yanyuma familia zilificha watu wakapewa wake wakasaidiwa
kuzalishiwa hiyo ni kesi ya mtu kuwa hanithi.
tatizo la
sasa ni starehe tamaa na mengineyo yalopelekea mwanamke
kumtamani mwenzie ba wanaume pia.
wanao toa
elimu wanapambana na maajabu bahati mbaya sasa hata wenye
wake wanapenda kamchezo na walioolewa wenye wapenzi.

Hujui hata ndani ya nyumba wapo haijalishi wanahudhuria
majumba ya ibada kiasi gani bahati mbaya mimi na we si mungu
kujua ibada zao

On Nov 26, 2014 7:27 AM,
"'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Frank MateruTutafutane.
Nimepigiwa juzi na network yangu niende nikaongee na kikundi
cha vijana shoga. Ni watoto wadogo sana. Ninaomba tuongozane
siku hiyo. Utafiti ni kuwauliza historical background yao,
kabila, wazazi, wanatoka wapi (kwao) walianzaje mchezo
mchafu ilikuwaje na nani alianza naye na anaendelea na nani,
wapi anaishi, na nani au nami kampangia kuwa ndio mzee
(basha wake). kama anampango wa kuacha na anaweza kuacha kwa
vipi, mipango yake ya baadae ili kuona atasaidiwaje aache
mchezo huo. Ninataka ushuhudie kuwa wapo na wanaongezeka
kiidadi na umri unashuka. Nitatembea nawe mpaka kwa wale
wenye kuvaa vizuri safi kijana wa shoga huwezi kumjua na pia
kwa wenye kibaraghashia kichwani kamchezo naye yumo ni
shoga. Suala ni kuwa-tunawatengeneza, tusiwaonee, tuwasaidie
waache ni mbaya kwa afya zao na zetu pia. Siku hizi watoto
wa shule wanajipeleka kwa mashoka kutafuta hela yaani afanye
kamchezo na shoga shoga amlipe si anataka huduma? tatizo ni
kubwa. Watoto wetu watakao hela za kunywa soda za rangi.
Bado hao wapendao lift ya bodaboda na anapakiwa bure
kurudishwa nyumbani asiteseke na daladala. Anaharibikia humo
kwenye dezo. Ukijua unampiga na kumfukuza nyumbani humsaidii
kumpa nauli kwenda na kurudi shule asiteseke. Unamfukuza
yeye sio kaka au mjomba au babu yake aliyekuwa anaishi naye
aliyemtendea hivyo. Anaingia mtaani na kujaza watoto wa
mtaani. Hizi sio haki za binadamu. Sio kutetea ushoga. Suala
ni tunawatengeneza, tuwache kuwatengeneza ama sivyo
tusiwabague kama tuliwatengeneza wenyewe na kesi tunahonga
mbakaji/mlawiti anashinda. Mungu atusaidie.

On Friday, 31 October 2014,
19:53, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Only when we get leaders with self
confidence and of God fearing.....or unless that will be
history.

'frank
patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Dear Brothers  &
Sisters,

BE AWARE THAT THE HOMOSEXUAL
AGENDA HAS LISTED AS A PRIORITY TO TAKE ALL
OF AFRICA FOR HOMOSEXUALITY. WITH SUCH A HIDEOUS INTENTION
AS THIS ON THE
HORIZON, IT IS NOT THE TIME TO GET RICH AND LIVE IN LUXURY,
NOR IS IT THE TIME
TO PLAY AROUND IN FUN AND GAMES. IT IS THE TIME TO FIGHT
ACTIVELY AGAINST THE MISINFORMATION
CAMPAIGN WHICH IS BEING LAUNCHED WORLDWIDE BY THE
POLITICALLY CORRECT,
HOMOSEXUAL ORIENTED MEDIA.

It is not the time to relent but
let us war against the forces of evil
that are seeking to destroy nations—even ALL OF
AFRICA—with this
great evil of homosexual behavior. This is nothing but a
death cult belief
system which victimizes multitudes through AIDS and other
STDs (sexually
transmitted diseases). We supply FREE OF CHARGE many
informative,
well-researched, Biblically correct refutations that will
help you
counterattack this plague of gross darkness and sexual sins.
Write to receive
your free information package today. Frank 
ADDICTED      ADDICTEDSEXUAL
PERVERSION! America -A NATION OF ADDICTS! LOVE SLAVE -The
Gay Revolution Is Underway! Are You A Sex Addict? -Read This
And Find Out Decade Decay -No one is born a HOMOSEXUAL
View
on www.cultofthelivinggod.netPreview
by Yahoo 
 
--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment