Monday 24 June 2013

Re: [wanabidii] Nimepokea meseji kwenye simu yangu kutoka GD2013 mimi siilewi

Sasa ni nani alietuma? Kama imemuhusisha Rais wa nchi basi alietuma ni chama au serikali. Hata ujumbe wenyewe sijaufuta. Na kwa nini wanitumie mimi peke yangu? Nasema peke yangu kwa sababu mpaka sasa hakuna mwingine aliejitokeza kuwa katumiwa ujumbe kama huu
Swalehe

2013/6/24 Kenneth Masuki <kennymasuki@gmail.com>
Ustaadh Swalehe

Inawezekana hao jamaa waliokutumia meseji hiyo wakawa wametumia Google sms application ambayo haitoi number bali jina la mtumiaji (username) analotaka litumike. Hii inatumia sana kana unataka kutuma sms nyingi kwa wakati mmoja na nafikiri mara nyingi hii huduma ni free au inamalipo kidigi sana kulinganisha na kutuma sms kwa watu hawa kwa kupitia mtandao wa simu.

On 24 June 2013 09:35, Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com> wrote:
Wakuu nimepokea meseji kwenye simu yangu inasema tumuunge mkono Rais wetu kwenye mkutano wa Globaldialogue lakini haonyeshi namba. Hivyo sijajua alietuma meseji hii ni nani. Kuna mtu mwingine amepata meseji kama hii? na inatoka kwa nani? Na kwa nini afiche namba? Kama kuna mtu anaejua chochote anisaidie kunielewesha
Suleiman Swalehe

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment