Sunday 30 June 2013

[wanabidii] Neno La Leo; Na Iwe, Kwenye Mafanikio Ya Mwanamme, Kando Yake Kuna Mwanammke...



Ndugu zangu,

Inasemwa, kuwa kwenye mafanikio ya mwanamme nyuma yake kuna mwanamke. Dhana hii ina walakini, maana, hata hapa, kwenye mafanikio ya mwanamme, tunaamua kwa makusudi kumweka mwanamke nyuma.

Ni kwa nini mwanamke asiwe kando au hata mbele pale kwenye mafanikio ya mwanamme? Na mara nyingi huo ndio huwa ukweli, lakini, kwa makusudi ama kwa kutotambua, huwa tunaufumbia macho ukweli huo.

Ndugu zangu,

Naiangalia ziara ya Barack Obama Afrika na yale yenye kusemwa na kuandikwa. Nayaona mapungufu, yumkini yanatokana na mitazamo yetu inayotokana na makuzi yetu. Kwamba hata katika hili la mafanikio ya Obama, tunamwona mkewe, Michelle Obama, kuwa ni kiumbe aliye nyuma ya mafanikio ya mumewe, Barack Obama. Na tunapojaribu kumwangalia Michelle, basi, yanaandikwa yenye kuhusu urembo wake, ama mavazi na yale ya jikoni na...... Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/3621-neno-la-leo-na-iwe-kwenye-mafanikio-ya-mwanamme-kando-yake-kuna-mwanamke.html#.UdCJbZyNCAg

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment