Saturday 29 June 2013

Re: [wanabidii] Mining industry in ICU...

 yes hali siyo nzuri.

Sent from my iPhone

On Jun 29, 2013, at 2:47 PM, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:

Nico,

Niko Australia sasa hivi ambako nafikiri tunaweza kukubaliana kuwa hamna mambo ya kibwege, kila miner roho mkononi kuanzia bhp, rio tin to, barrick wrote hamna kwenye uhakika. Barrick Perth head office wamepunguza kama one third ya work force yao, bado unasema kuna uhuni?

Kuhusu bei ya dhahabu uko wazi kama tupu ya mtoto, nenda kwenye google angalia historia ya bei ya dhahabu! Kwa muhtasari mpaka mwaka 2006 dhahabu ilikuwa inauzwa chin ya dollar 500 kwa oz, iliendelea kuwa chin ya dollar 1000 mpaka 2009 kitu kama hicho hizo takwimu za dollar 1900 zinatokea wapi?

Kuhusu gharama za uzalishaji siwezi kukuambia hapa kuwa ni kiasi gain kwa sasa geita au buzwagi hata kama Nina access na watu wanaofanya kazi hizo pale. What I can tell you ni kuwa taarifa ulizo nazo juu ya hili jambo ziko over sensationalised so to speak.

Kama una access na computer  naomba extract hiyo historia ya bei ya dhahabu half rudi humu tuendelee.

Nyoni unaweza kutusaidia kwenye hili la kuweka humu historia ya bei......

On 29 Jun 2013 16:56, "Nicomedes Kajungu" <nicomedes76@gmail.com> wrote:
Nakwambia ni uhuni tu huu. Hakuna ukweli wowote zaidi ya business strategies.

On 6/29/13, Sylvanus Kessy <frkessy@yahoo.com> wrote:
> Nadhani wamemaliza Mines zote. Ujue pia hawa wajamaa hawajalipa kodi. Hivyo
> watanzania tumeunywa. Tumebakiwa na mashimo, watu kuhamishwa na wengine
> kuuwawa. KAZI IPO!
>
>
>
>
> ________________________________
>  From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
> To: mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>; wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Saturday, June 29, 2013 2:38 AM
> Subject: [wanabidii] Mining industry in ICU...
>
>
>
> Wapendwa,
> Mining industry inapitia mojawapo ya vipindi vigumu zaidi kuwahi kuvipitia.
> Gold price imeshuka kwa karibu 500USD kwa ounce na Nickel na iron ore nazo
> zimeshuka kwa kiasi kikubwa sana. Barrick wanapunguza watu mpaka kwenye
> corporate offices zao.
> Sijui ni migodi mingapi itavuka salama na itavuka baada ya kufanya maamuzi
> ya namna gani. Tujiandae kwa bad news from ABG  kuna Geita gold mines. At
> 1250usd/oz ni migodi michache sana itaweza kusimama.
> Tusubiri....
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
*_________________________________________________*
Nicomedes M. Kajungu
General Secretary
National Union of  Mines and Energy Workers  of Tanzania. (NUMET)
P.O.Box 7733, Mwanza.
 +255 782 315 688,  +255 767 48 32 71,      +255 719 451 850
Skype add: nkajungu

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment