Sunday 30 June 2013

Re: [wanabidii] Only in Tanzania- Kituo Dar es Salaam mwajiriwa Nchi nyingine

Lakini sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu ajira? Kwa nini tuwaruhusu wawekezaji wajiwekee sheria zao wenyewe?
em

2013/6/30 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Hili ni jambo la kawaida mara nyingi hao wawekezaji wanataka watu wanaoweza kufanya nao kazi pamoja vizuri zaidi , nadhani hili liwe changamoto kwa Watanzania haswa taasisi za elimu zinazoandaa vijana hawa kwa ajili ya ajira za siku zijazo .

On Sunday, June 30, 2013 7:28:38 PM UTC+3, Magafu GMD wrote:
Mimi ni Mtanzania mwenzio. Lakini naamini Watanzania tumekuwa watu wa ajabu sana. Karibu kila mtu amekuwa mwizi. House girl anamwibia mwenye nyumba, bank clerk anaibia benki yake, Afisa Mambo ya Nje anaibia serikali kupitia ziara hewa za Rais, Meneja analibia shirika nk nk. Hakuna tender inayotolewa bila 10%. Hatuaminiki tena.
 
Pili, tuna customer service mbovu. Tunawaona wateja kama wasumbufu japo wanatuletea pesa. Mteja si mfalme Tanzania bali mwenye huduma ama bidhaa ndiye mfalme. Huduma mbaya kila sehemu - ofisini, benki, hospitali, polisi, mahakamani, TRA, kwenye ndege, kwenye daladala, nk.
 
Kwa sifa hizi tutalalamika sana. Mwekezaji gani anataka mtu mwenye sifa hizo aongoze biashara yake? Hata mimi ningetafuta meneja mwenye utaifa tofauti kama naweza.

On Sun, Jun 30, 2013 at 4:13 PM, GEORGE MBOJE <mboje...@gmail.com> wrote:
Nadhani hapa mamlaka zatakiwa kuwa makini vinginevyo watanzania hatakuwa na ajira kamwe

Look at this  criteria for an incumbent required     http://tz.3wjobs.com/votIIA.html

Kwa mtindo huu wengi wameshaingia nchini pasipo kujulikana na wizara ya kazi

Nawaza tu
M

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment