Saturday 29 June 2013

Re: [wanabidii] Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Gairo amwagiwa Tindikali

hii sasa hatari, tunakoelekea ni kubaya kua mbunge ni deal, so uana uana naona ndo inaanza....ugombea binafsi ndo suluhu ya yote haya

From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, June 29, 2013 1:19 PM
Subject: Re: [wanabidii] Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Gairo amwagiwa Tindikali

Taarifa toka kwa mjumbe wa Jumuiya ya Wazazi (Jina kapuni) anasema kumekuwepo mvutano wa muda mrefu kati ya Mwenyekiti huyo na Mbunge wa jimbo hilo la Gairo Mhe: Ahmed Shabiby. Mgogoro huo ulichukua sura mpya baada ya ziara ya Kinana kwani mwenyekiti alimtuhumu Mbunge huyo kugawa chama huku na yeye akitangaza kugombea ubunge 2015. Kikao kilichosababisha mtafaruku huo ni cha tarehe06/07/2013 kuhusu wajumbe wa mkutano mkuu wa wilaya kutaka kupiga kura ya kutokuwa na imani na Mwenyekiti huyo ambaye magaidi waliomdhuru walimtaka asihudhurie.

2013/6/29 mngonge <mngonge@gmail.com>
Inaelekea Inteligensia haina uwezo wa kuwasaka na kuwabaini watuhumiwa wa michezo kama hii na ndiyo maana waliomtesa Dr. Ulimboka hawajakamatwa na kufikishwa mbele ya sheria. Wakati mwingine mtu unaweza kuhisi kwamba kuna watu na matukio ambayo  yanaonyesha chengachenga kwenye mitambo ya inteligensia yetu.
 
Japo kuna vijitukio vingine hata kama ni vidogo kiasi gani lazima mitambo ivinase haraka mfano clip ya Yu Tube iliyomuhusu Lwakatale ilivyonaswa haraka sana na kufanyiwa kazi mara moja. Kwa kauli zinazotolewa na baadhi ya viongozi wa juu wa chama na serikali hatuna sababu ya kuishangaa mitambo ya inteligensia kushindwa kufanya kazi inavyotakiwa

On Fri, Jun 28, 2013 at 11:30 PM, Jesse Kwayu <jessekwayu@gmail.com> wrote:
intelejensia inasema ni nani amehusika au ni chama gani? wale watabiri waliosema bomu la Arusha kwenye mkutano wa Chadema lilirushwa na Chadema wenywe, hapa wanasemaje? Au kuna kitu kizito kimerushwa kutoka upande wa wananchi au waandamanaji? Au wapigwe tu? Kuna nini? Taifa lisiloweza hata kuchunguza kesi ya paka kumla panya!! shame security system!. 

On Fri, Jun 28, 2013 at 5:27 PM, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Nimeambiwa mwenyekiti wa CCM GAIRO amemwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake .

Hivi sasa anawahishwa dsm kwa ajili ya matibabu
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment