Monday 24 June 2013

[wanabidii] MABOMU ARUSHA

KWA NINI KILA KUKICHA TAARIFA ZINATOLEWA TENA NA WATU TOFAUTI KTK MAENEO TOFAUTI. NA WAKATI HUO HUO KUNA TUME IMEUNDWA KUCHUNGUZA JAMBO HILI (NA WENYEWE WANATOA TAARIFA AMBAZO SIO RASMI, MFANO KAMANDA CHAGONJA KUSISMAMA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA KUTAJA BAADHI YA WATU AMBAO WANA USHAHIDI WA TUKIO). TUSISAHAU  YAPO MAMBO YALIYOFANYIWA KAZI KWA KUUNDIWA TUME NA WALA HATUJUI MWISHO WAKE NI NINI, NA HAYA NAYO INAWEZEKAMNA YAKAFUATILIWA MWISHONI YAKANYAMAZIWA. RAI YANGU NI HII; HIZI TAARIFA NA TUHUMA ZINAZOTOLEWA BILA MPANGILIO,KISHABIKI NA KISIASA ZINGEACHWA ILI MWISHO WA SIKU KUTOLEWE KAULI MOJA YA UHAKIKA NA WALE WANAOHUSIKA

--- On Mon, 6/24/13, Solomon Msomba <msomba2000@yahoo.com> wrote:

From: Solomon Msomba <msomba2000@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, June 24, 2013, 7:05 AM

Mhe. Dr. Hamis,
Hata mimi huko nyuma nilikuwa na imani sana na utendaji wako. Lakini jinsi siku zinavyozidi kwenda naanza kuwa na shaka. Kwa comment yako hii umetoa kwa sababu tu ukweli ni kuwa Mbowe na wewe hamko chama kimoja. Ungekuwa na ubinadamu ungeonyesha kuguswa kwako na mauaji haya machafu na kukoswa koswa kwake mbunge mwenzio na kiongozi. Na ndiyo maana hata hukutanguliza pole zako. Kuhusu hulka ya Mh. Zitto mimi sikubaliani nawe kwa sababu hata wewe na baadhi ya wenzio kama mwenyekiti wako asingekuwa makini ungeonyesha hulka ya Zitto bila kujari kama una uwezo  huo kwa sasa. Dr. Hamis kila kiongozi ana udhaifu wake. Kumhusisha Mbowe na Zito kuomba nafasi ya Uwenyekiti na Kibanda kuondoka kwenye kampuni yake ni Udhaifu mkubwa kiutafiti. Maana lazima utambue kwamba Zito ana hulka zake ambazo CDM kama chama sio lazima kuibeba na Kibanda ana hulka zake ambazo kila kampuni atakayoa ajiriwa itakubali kuzibeba. Kwanza mpaka sasa wewe huwezi kututhibitishia kwamba huko aliko Kibanda (Tafuta na usome vizuri ripoti ya MCT iliyochunguza kuteswa kwa Kibanda) wameridhika naye. Dr. Hamis wewe ni kiongozi wa probably the most disadvantaged rural people in Nzega. Kama huwezi kuguswa na yanayompata Mbowe kama kiongozi mwenzio. Nina wasi wasi na uongozi wako huko Nzega kwamba ni wa Ki-maslihai binafsi zaidi kuliko humanitarian. Kumbuka Dr. Hamis si kila jambo likimtokea Mbowe ukatoa comment. But you can stay put yet we can respect your stand. But with this kind of comments you are exposing your own weakness unnecessarily. If majority of you leaders will stand that way then PEACE in this country will turn to be a thin dream! I do not think that is what we are suppose to be. Dr. Hamis and few who have opportunity to express your views in the BUNGE HOUSE you have to be sympathetic with what is happening now is not appropriate. Think twice before you defend your personal interest. 
 
Solomon William Msomba-MSc
Leader,Crop Improvement Programme
Tea Research Institute of Tanzania (TRIT)
P.O.Box 2177
Dar-Es-Salaam
Tanzania
+255 784 596 649
+255 787 596 649
E-mail: msomba2000@yahoo.com
smsomba@trit.or.tz
From: "hkigwangalla@gmail.com" <hkigwangalla@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, June 21, 2013 4:47 PM
Subject: Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU

Nimikuwa namheshimu sana Freeman Mbowe, haswa kwa utulivu na composure yake, lakini sasa nimegundua nilimkuza sana...Ninagundua kwa nini Zitto Kabwe aliamua kugombea uenyekiti wa CDM, na pia kwa nini Kibanda alihama FreeMedia
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: richard bahati <ribahati@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 18 Jun 2013 02:06:46 -0700
To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU

.
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefichua siri kuhusu tukio la mlipuko wa bomu lililotokea juzi katika viwanja vya Soweto, jijini Arusha.
Katika kauli yake jana, Mbowe ameibua tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi, ambapo alidai kuwa askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) ndiye aliyerusha bomu hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa,baada ya kutembelea majeruhi katika Hospitali ya Selian, Mbowe alisema chama chake kina ushahidi wa kutosha juu ya askari huyo kurusha bomu.
Mbowe ambaye pia ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, alisema wamefanikiwa kupata ushahidi wa kutosha

http://www.goldentz.blogspot.com/2013/06/mbowe-ffu-ndiye-aliyerusha-bomu.html
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment