Friday, 26 June 2015

Re: [wanabidii] Lowassa, nionyeshe marafiki zako na mimi nitakuambia wewe ni nani?

Fred, wish granted...

'fhkipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula,
Nikikuambia namtaka Warioba ni kuanzisha vurugu? Hii inanitia mashaka na uwezo wako wa reasoning
SENT FROM ALCATEL ONETOUCH TABLET

'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ruben
Nakuambia hv nampenda edo kwa kua ni kiongozi bora mzeee,hakuna atakaemfikia edo
Lesian

'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Fred, mtu akisema wewe ni mtu wa Membe kwa kuwa anajua hivyo bas tayari una wasiwasi na reasoning yake?Ukisema wewe ni mtu wa warioba wakati warioba mwenyewe hata form hajachukua...basi wewe nu mleta vurugu tu, huchangii chochote kwa mustakhabali wa taifa hili labda ungesema wewe ni chadema....Ngupula.


'fhkipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula unataka nikuambie mara ngapi kuwa mimi ni mtu wa warioba? Nilikuwa naheshimu mawazo yako lakini naanza kuwa na mashaka na wewe.
Hebu nitajie unayemuona anafaa au unafuata nyuki ule asali
SENT FROM ALCATEL ONETOUCH TABLET

'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Fred, tatizo kuu ni huyo mgombea wako....ni wa kawaida sana...Membe ni mtu wa kawaida sanaa...hata reasoning yake ni quite normal......CCM ikimsimamisha huyu...ijiandae tu kuiba kura...

'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mbona mnatoka povu mdomoni, tatizo nini safari inakuwa ngumu?


From: 'weston mbuba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, June 25, 2015 10:48 AM
Subject: Re: [wanabidii] Lowassa, nionyeshe marafiki zako na mimi nitakuambia wewe ni nani?

Makala yana walakini. Kichwa cha habari hakiendani na maelezo ya ndani. Halikadhalika kilichomo ndani tumekisikia dahari na dahari. Hakuna jipya hapa. Leteni mambo mapya. Tuthibitishieni hao marafiki wake wabaya ni kina nani na ufisadi upi ama amefisidi nini.



On Thursday, June 25, 2015 7:58 AM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Lessian;
Umefilisika sela kichwani na unafikiri ndani ya BOX tu,toka umo boxni ndugu.

0 comments:

Post a Comment