Friday, 26 June 2015

Re: [wanabidii] Lowassa, nionyeshe marafiki zako na mimi nitakuambia wewe ni nani?

Fred, wala hata mi sisemi lowassa anafaa au hafai...lkn ambacho huwa nasema ni ikulu inatamuta mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi...vituhuma visivyo na kichwa wala miguu havitatupeleka kokote...nikimkataa membe huwa na hoja....hajui kupambana na lolote na changamoto za sasa...membe hawezi kuleta uchumi wa viwanda tz...tukisema ni ndugu na kikwete bas coz ya kuona debe linapopigwa na ikulu kutupelekea mtu ambaye tunajua hafai...

'fhkipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula,
Mimi sishabikii mtu kwa vile amechukua fomu. Imani yangu ni thabiti kwa Warioba na haibadiliki. Nimepingana na wewe siku zote kwa tuhuma zisizo na msingi kwamba Membe ni mdogo wa Kikwete, kwa hili sipepesi macho mnafanya uhuni.
Kwa taarifa yako kati waliochukua fomu yumo kakaangu lakini anajua kuwa msimamo wangu ni juu ya Warioba. Tunatafuta kiongozi wa nchi siyo kiongozi wa klabu ya pombe, ushabiki utaipeleka nchi pabaya. Tafuteni tuhuma za mgombea zilizo za kweli mtuonyeshe ili tumpime siyo kupakaza. Kama Membe hafai semeni hafai kwa kuonyesha udhaifu wake siyo kumtukana. Na kama mgombea wako anafaa onyesha kufaa kwake. Mashaka yangu hayajaisha
SENT FROM ALCATEL ONETOUCH TABLET

'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ruben
Nakuambia hv nampenda edo kwa kua ni kiongozi bora mzeee,hakuna atakaemfikia edo
Lesian

'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Fred, mtu akisema wewe ni mtu wa Membe kwa kuwa anajua hivyo bas tayari una wasiwasi na reasoning yake?Ukisema wewe ni mtu wa warioba wakati warioba mwenyewe hata form hajachukua...basi wewe nu mleta vurugu tu, huchangii chochote kwa mustakhabali wa taifa hili labda ungesema wewe ni chadema....Ngupula.


'fhkipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula unataka nikuambie mara ngapi kuwa mimi ni mtu wa warioba? Nilikuwa naheshimu mawazo yako lakini naanza kuwa na mashaka na wewe.
Hebu nitajie unayemuona anafaa au unafuata nyuki ule asali
SENT FROM ALCATEL ONETOUCH TABLET

'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Fred, tatizo kuu ni huyo mgombea wako....ni wa kawaida sana...Membe ni mtu wa kawaida sanaa...hata reasoning yake ni quite normal......CCM ikimsimamisha huyu...ijiandae tu kuiba kura...

'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mbona mnatoka povu mdomoni, tatizo nini safari inakuwa ngumu?


From: 'weston mbuba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, June 25, 2015 10:48 AM
Subject: Re: [wanabidii] Lowassa, nionyeshe marafiki zako na mimi nitakuambia wewe ni nani?

Makala yana walakini. Kichwa cha habari hakiendani na maelezo ya ndani. Halikadhalika kilichomo ndani tumekisikia dahari na dahari. Hakuna jipya hapa. Leteni mambo mapya. Tuthibitishieni hao marafiki wake wabaya ni kina nani na ufisadi upi ama amefisidi nini.



On Thursday, June 25, 2015 7:58 AM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


0 comments:

Post a Comment