Amina dadangu...Mungu akutangulie na akubariki katika masomo yako..
'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Niko masomoni Ngupula. Kujenga nchi yangu kwa namna mbali mbali iko damuni na sisubiri kuagizwa, huwa ninajituma na kujitolea kwa moyo wangu wote.
>Ananilea Nkya
> E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
>--------------------------------------------
>On Fri, 6/26/15, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Tuwaulize wawania urais maswali magumu
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Friday, June 26, 2015, 9:17 PM
>
> Binafsi nakukubali sana dada
> Ananilea...nachoshangaa katika zama hizi za akina mama
> wanaweza, kwa nini hata usingekuwa somewhere helping many
> others at your capacity?
>
> 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> >Fadhili kwa taarifa yako mimi siamini katika kuomba omba
> naamini katika kufanya kazi na kuishi kwa jasho langu.
> Hunijui waulize wanaonijua. Nimefanya harakati za ukombozi
> wa nchi yangu kwa kujitolea miaka mingi. Mfano nikiwa
> kiongozi wa TAMWA niliongoza harakati za kujitolewa tukaweza
> kugharibia kupata ofisi yetu pale Sinza Mori bila senti tano
> ya mfadhili. Inawezekani ni kuwa na nia na uaminifu wa
> kusimamia malengo basi. Maendeleo yanawezekana kwa jasho
> letu.
> >
> >Hivyo, siamini kama maendeleo ya nchi yanaletwa na
> kuombaomba iwe ni serikali au NGO inaomba. Zaidi,
> serikali inapaswa ikusanye kodi kutokana na rasilimali za
> nchi na itenge bajeti kwa ajili ya NGOs zinazofanya kazi za
> ukweli kwa maendeleo ya wananchi.
> >
> >Ni muhimu Watanzania tubadilike. Tufanye kazi kwa bidii,
> tusimamie rasilimali zetu kwa uaminifu na tuzitumie kwa
> maendeleo ya nchi yetu na watu wake wote. Kuombaomba ni
> ugonjwa SUGU nchini kwetu ambao ni lazima wanaoingia
> madarakani waonyenye mfano wa kuutibu kwa vitendo ili
> wananchi wajue kuwa maendeleo ya yetu yataletwa na jasho
> letu na si kutembeza bakuli Ulaya, China na Marekani.
> Kuombaomba kunalidhalilisha taifa hili tajiri wa kila
> rasilimali na ni moja ya chanzo cha nchi yetu kukosa
> maendeleo endelevu.
> >
> >Ananilea Nkya
> > E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
> >
> >--------------------------------------------
> >On Fri, 6/26/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
> wrote:
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] Tuwaulize wawania urais
> maswali magumu
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> > Date: Friday, June 26, 2015, 4:27 AM
> >
> > Mama nkya mbona nyinyi
> > na Ngos zetu za kupiga pesa hamuachi kuombaomba tena
> kwa
> > huko huko inakoomba serikali au ndio nyani haoni
> > kundule?
> > On Jun 26, 2015 4:11 AM,
> > "fatma_elia via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> > wrote:
> > Warioba
> > kwenye chama kubwa nahisi hata hiyo fomu hatapewa
> >
> > Tuwashawishi hawa wengine ambao hawajamtaja mgombea
> wao
> > wazungumze na huyu mzee ili tumpe miaka mitano tu ya
> > kutunyooshea nchi kisha uchaguzi unaofuata watakuwa
> wamesoma
> > na wanaweza kuwa na Candidate mzuri sana wa kumpokea
> > kijiti
> >
> >
> >
> > It is just a dream
> >
> >
> >
> > Fatma
> >
> > Sent from my BlackBerry® smartphone provided by
> Airtel
> > Tanzania.
> >
> >
> >
> > -----Original Message-----
> >
> > From: "'ananilea nkya' via Wanabidii"
> > <wanabidii@googlegroups.com>
> >
> > Sender: wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Date: Thu, 25 Jun 2015 14:41:12
> >
> > To: <wanabidii@googlegroups.com>
> >
> > Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] Tuwaulize wawania urais
> maswali
> > magumu
> >
> >
> >
> > Ndugu yangu, ukitaja Warioba si unataja mmoja wa
> wananchi.
> > Ni nani katika chama hicho mwenye nia ya kuwasikiliza
> > wananchi? Si ungewaona kwenye Bunge la Katiba?
> >
> > Ananilea Nkya
> >
> > E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
> >
> >
> >
> > --------------------------------------------
> >
> > On Thu, 6/25/15, 'fhkipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> > wrote:
> >
> >
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] Tuwaulize wawania urais
> maswali
> > magumu
> >
> > To: "'ananilea nkya' via Wanabidii"
> > <wanabidii@googlegroups.com>
> >
> > Date: Thursday, June 25, 2015, 9:16 PM
> >
> >
> >
> > Ananilea dadangu mbona unasita
> >
> > kutamka kuwa anayetufaa kwa sasa ni warioba
> >
> > SENT FROM ALCATEL ONETOUCH TABLET
> >
> >
> >
> > 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> >
> > wrote:
> >
> >
> >
> > >Na zaidi tunahitaji Rais mwenye aliyeamua
> >
> > mwenyewe na kwa dhati kabisa anaona uongozi wake
> >
> > unaweza kutoa mchango mkubwa kwa nchi. Maana
> >
> > yake awe ni mtu mwenye maono, utashi, mchapa kazi,
> >
> > hekima, asiye mbinafsi na zaidi mwenye ujasiri wa
> >
> > kusimamia serikali yake iwajibike kwa wananchi na
> siyo
> >
> > kuwakandamiza na kuwaumiza kwa kutumia jeshi la
> polisi
> >
> > wanapodai haki ya afya, elimu, barabara na ajira
> yenye
> > staha
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment