UN yaadhimisha kumbukumbu ya waathirika wa biashara ya utumwa
[caption id="attachment_56241" align="aligncenter" width="619"]<img class="size-full wp-image-56241" alt="Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo akisoma hotuba ya ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon kwenye maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0048.jpg" width="619" height="600" /> Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo akisoma hotuba ya ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon kwenye maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki.[/caption]
[caption id="attachment_56237" align="aligncenter" width="689"]<img class="size-full wp-image-56237" alt="Mshauri wa Masuala ya Haki za Binadamu wa UN nchini Tanzania, Chitralekha Massey akizungumza na vyombo vya habari katika maadhimisho ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0062.jpg" width="689" height="600" /> Mshauri wa Masuala ya Haki za Binadamu wa UN nchini Tanzania, Chitralekha Massey akizungumza na vyombo vya habari katika maadhimisho ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake.[/caption]
[caption id="attachment_56244" align="aligncenter" width="708"]<img class="size-full wp-image-56244" alt="Ofisa Habari wa Umoja wa Mataifa Tanzania, Bi. Usia Nkhoma akiwasilisha mada kwa washiriki wa maadhimisho ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0017.jpg" width="708" height="600" /> Ofisa Habari wa Umoja wa Mataifa Tanzania, Bi. Usia Nkhoma akiwasilisha mada kwa washiriki wa maadhimisho ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake.[/caption]
[caption id="attachment_56238" align="aligncenter" width="622"]<img class="size-full wp-image-56238" alt="Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo akizungumza na vyombo vya habari kwenye maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_00671.jpg" width="622" height="600" /> Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo akizungumza na vyombo vya habari kwenye maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki.[/caption]
[caption id="attachment_56242" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-56242" alt="Baadhi ya washiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki, wakifuatilia mada anuai." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_00321.jpg" width="800" height="539" /> Baadhi ya washiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki, wakifuatilia mada anuai.[/caption]
[caption id="attachment_56243" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-56243" alt="Baadhi ya washiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki, wakifuatilia mada anuai." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_00212.jpg" width="800" height="558" /> Baadhi ya washiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki, wakifuatilia mada anuai.[/caption]
[caption id="attachment_56235" align="aligncenter" width="791"]<img class="size-full wp-image-56235" alt="Baadhi ya washiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki, wakiangalia picha anuai zinazoelezea juu ya biashara ya utumwa." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0126.jpg" width="791" height="600" /> Baadhi ya washiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki, wakiangalia picha anuai zinazoelezea juu ya biashara ya utumwa.[/caption]
[caption id="attachment_56234" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-56234" alt="Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo akizungumza na baadhi ya vijana kwenye maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_01501.jpg" width="800" height="519" /> Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo akizungumza na baadhi ya vijana kwenye maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki.[/caption]
[caption id="attachment_56236" align="aligncenter" width="653"]<img class="size-full wp-image-56236" alt="Baadhi ya washiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki, wakizungumza na vyombo vya habari." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0073.jpg" width="653" height="600" /> Baadhi ya washiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki, wakizungumza na vyombo vya habari.[/caption]
[caption id="attachment_56239" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-56239" alt="Baadhi ya washiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki, wakiangalia filamu ya mafunzo kwenye maadhimisho hayo." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_00521.jpg" width="800" height="513" /> Baadhi ya washiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki, wakiangalia filamu ya mafunzo kwenye maadhimisho hayo.[/caption][caption id="attachment_56240" align="aligncenter" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0057.jpg" alt="Baadhi ya washiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki, wakifuatilia mada anuai." width="800" height="536" class="size-full wp-image-56240" /> Baadhi ya washiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki, wakifuatilia mada anuai.[/caption]
<strong>KATIBU</strong> Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon amesema UN itaainisha eneo maalum na la kudumu mahususi kwa ajili ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara za utumwa zilizoendeshwa Bahari ya Atlantiki.
Ki-moon ametoa kauli hiyo kwenye hotuba yake maalum aliyoitoa leo kwenye tukio la kumbukumbu ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki.
Alisema sehemu hiyo maalum ya kumbukumbu itakayokuwa Jijini New York itatoa fursa kwa watu kutoka mataifa mbalimbali kufika eneo hilo na kujufunza mengi kupitia matukio yaliajiri nyuma kipindi cha utumwa.
Alisema kwa taasisi za imataifa ikiwemo UN itatoa fursa kuangalia mikakati yao katika utendaji wa kazi ili kuhakikisha heshima, uhuru na usawa kwa binadamu wote vinalindwa sehemu zote.
Alisema kwa mwaka huu maadhimisho ya kumbukumbu kwa biashara ya utumwa inawakumbuka zaidi wanawake ambao waliteseka na wengine hadi kuuwawa kutokana na biashara zautumwa. "…Wanawake wengi walipata mateso makubwa kutokana na biashara ya utumwa…walinyanyaswa, walitumika kimapenzi na walilazimishwa kuzaa na hata kuuza watoto wao bila kupenda…," ilieleza taarifa ya Ki-moon.
Alisema biashara ya utumwa bado inaendelea kwa baadhi ya nchi na kutolea mfano kwa mataifa ya Syria na Iraq ambayo hadi leo maelfu ya wanaume, wanawake na watoto wamekuwa wakitekwa kuteswa huku vijana na watoto wakinunuliwa na kutumika kwenye mapigano jambo ambalo ni utumikishaji mbaya.
Kwa upande wake Ofisa Habari wa Umoja wa Mataifa Tanzania, Bi. Usia Nkhoma akiwasilisha mada kwa baadhi ya washiriki wa maadhimisho ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya Atlantiki, yaliyofanyika Dar es Salaam leo aliikumbusha jamii kujifunza kupitia historia.
Alisema UN iliamua kutumia siku ya kumbukumbu kuweza kutoa elimu kwa jamii juu ya masuala anuai yanayofanywa kinyume na haki za binadamu kumaliza chembe chembe za utumikiswaji.
Aidha katika maadhimisho hayo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Alliance Francais wa jijini Dar es Salaam washiriki walipata kuona picha za maonesho kuzungumzia biashara ya watumwa pamoja na filamu anuai.
Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa Thehabari.com na Mwenyekiti wa TBN
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment