Tuesday 31 March 2015

Re: [wanabidii] MAJAMBAZI YAVAMIA KIZUIZI CHA POLISI KONGOWE NA KUUA ASKARI 2

Hapo UKAWA wanafurahia Ludivick, watasema-ndio, utawala mbaya. Ila akipigwa mwandamanaji aliyerusha mawe kuvunja magari ya wengine-wataandamana kama ulivyosema.

Sasa utawala mbaya utaweka JWTZ, FFU, Police walinde kila nyumba, kila mtaa, kituo pia kilindwe. Utatoa wapi kundi hilo kubwa la kulinda kila kona ya nchi? Ni sisi wote kuwajibika. Hao majambazi ni ndugu zetu, jamaa zetu, watoto, waume zetu, baba, babu mjimba n.k. Hafanyi kazi-lakini anakuja na magari; ana silaha ndani unaziona. Ulimshuku ukamtambua kuwa jambazi unakula jiwe. Humtaji na magari pia yapo uwani unayaona yanabadilishwa namba na unajua ni ya wizi.

Pamoja na kujua magari ni ya wizi wewe unajari ufahari wa kuendesha gari ambapo aliyeporwa aliuawa

Halafu kila mtu familia hiyo anatoka na gari-baba lake, mke lake, kila mtoto lake yote ya wizi. Kila mwana familia ya watu 5 wanaendesha kila mtu lake na ni ya wizi.

Pamoja na haya kila mkuu wa idara katika wizara rasmi za GVT anaendeshwa ktk lake kiofisi hata kama wakuu kadhaa wote wanakaa njia moja-tegeta, bunju, boko-kila mtu lake. Panueni barabara hata ziwe mara 2 ya zilizopo foleni haitoisha barabarani.

Tusikubali kuwafichua majambazi tule tu nao-amani itatoweka kwani polisi hawatokuja mtaani majambazi wanapotuvamia sis kwani vituo vyao polisi huvivamia kuwapiga, kuchoma moto, kuwaua kwa jazba kisiasa na chuki binafsi za kukataa ukweli. Tutapiga simu ya dharura simu ya police itakuwa busy haipatikani daima-wanalipiza kisasi.

Tufanyeje na vituo vya police vya Kata kwa mfano vipo mtaani katika ya nyumba vingine vichochoroni (Buguruni Mnyamani kwa mfano) ambapo mtu anaweza kuvamia kwa urahisi?

Police Jamii-wamepata mafunzo ila wamegeuka wakusanyaji kodi/ushuru mtaani kwa wafanya biashara ndogondogo, kuwapiga na kumwaga biashara kama wajasiriamali wanagoma kutoa hela? Bongolan! kila linalogundulika jema la kufanywa kwa maendeleo na usalama wetu-mbongo analidaka, analigeuza kwa manufaa binafsi.

Halafu watakapokamatwa wahalifu, majambazi-ndugu watakwenda kuwatolea dhamani! Kama huyo kijana wa Mgeta Morogoro (age21) aliyebaka mtoto wa miaka 3 kisha kumtupa porini. Alimchukua kwa housegirl kwenda kumnunulia pipi. Eti kahukumiwa kifungo cha miaka 30 baada ya kujieleza na kukubali kosa lakini alijieleza akaomba ahurumiwe. Sheria ni kufungwa maisha Hakimu kamuhurumia: Soma kipande hii hapa kutoka magazeti:


.......Hakimu wa Wilaya Regina Futakamba alisema kutokana na kosa hilo, mtuhumiwa alitakiwa kufungwa kifungo cha maisha lakini alitoa nafasi kwa mtuhumiwa kujitetea ambapo alijitetea na hakimu kumpunguzia adhabu hiyo kwa kumfunga miaka 30 jela ili iwe fundisho kwa wengine.......

ANAJIELEZA NINI NA SHERIA INASEMA AFUNGWE MAISHA KUTOKANA NA CRITERIA YA UMRI WA MTOTO? HUYU HAKIMU ANA UTU NA ANAJUA HAKI ZA BINADAMU NA ZA MTOTO KWELI? AKIWA HAKIMU WA WILAYA MOROGORO RURAL ANAZINGATIA SHERIA KWELI?


Huku tunaua police, huku mahakama haitendi haki, tukimbilie wapi? Katoto ka miaka 3 mbakaji anajitetea anajitetea nini hasa mpaka asamehewe au kupunguziwa miaka ya jela? Si ajabu atafanya ujanja atatoka kwa msamaha wa Rais. Mtoto si ajabu kemsakumpa Ukimwi, kumuharibia maisha kimwili nao police nao mioyo yao itakuwa imeharibika ktk kuwahudumia jamii ya eneo lao. Basi vitue vipimiwe vikae maeneo wazi yanayoonekana na yenye nafasi ili fence iwape vibaka hao ugumu wa kupenya bila kuruhusiwa.

Police nao waache njaa ya kuweka Bar na restaurant katika vituo vyao. Hii pamoja na kuwapa pesa za taasisi yao-wanakaribisha ujambazi. Mfano Kitu cha Police kariakoo-msimbazi kina Bar; Kijitonyama mabatini kuna Bar hapo hapo police pombe, vyakula vinauzwa. Utamjua nani ana mpango gani wa kuvamia kituo kwa vile wanaingia, toka na kulewa hapo. Kwingine kuna maduka na kama JWTZ Lugalo nao kuna maduka kadhaa barabarani. Mbaya anaweza kutumia mwanya huo.

ONDOENI BAR ZA VILEO, MADUKA YA KAWAIDA YA YA VIFAA, RESTAURANTS AMBAZO ZIPO NA KUKARIBISHA WANANCHI AMBAO SIO WA KITUO HICHO KULA NA KUSHINDA WANAKUJYWA HAPO KITUO CHA POLICE. MTAUAWA SANA, SIO VIZURI KUWA NA BIASHARA YA POLICE KITUONI. WAZIRI WA ULINZI NA VIONGOZI WA NCHI HAWALIONI HILI KUWA NI KASORO?





--------------------------------------------
On Tue, 31/3/15, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MAJAMBAZI YAVAMIA KIZUIZI CHA POLISI KONGOWE NA KUUA ASKARI 2
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 31 March, 2015, 10:34

Kiwasila,
hapo huwezi kusikia chadema wala mwanaharakati
akisimama bungeni na
kutaka bunge lijadili
swala hilo kama jambo la dharula,na halisi
lililotokea.
uhai wa askari
wawili, na silaha kuwa mikoni mwa majambazi, siyo
muhimu kama muandamanaji kupigwa kirungu!
wanafiki.

On 3/30/15,
'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Wananchi
nao wakizingira msitu, risasi zikiwaishia, watakamatwa,
nao
> wanyongwe. Na hizo hela watalewea
tu wala hawatofanya cha maana hata.
>
Walaaniwe. Wachukue helikopta ya police ipite juu kuchunguza
huku police,
> JWTZ na wananchi wakizagaa
chini msituni. Lakini huko kuna Simba mla watu na
> wanyama wengine waliohama kutoka Selous na
kuweka makazi huko. watakuta
> mengi na
majambazi waliohamia kuweka makazi ya kudumu. Mungu
awasaidie.
>
>
>
--------------------------------------------
> On Mon, 30/3/15, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
wrote:
>
>  Subject:
[wanabidii] MAJAMBAZI YAVAMIA KIZUIZI CHA POLISI KONGOWE NA
KUUA
> ASKARI 2

To: wanabidii@googlegroups.com
>  Date: Monday, 30 March, 2015, 22:40
>
>  Majambazi
>  usiku huu yamevamia kizuizi cha Polisi
cha Kongowe na kuua
>  askari wawili na
kupora bunduki mbili za SMG kisha wakapora
>  Shell iliyoko pembeni ya Lake Oil na
kutokomea katika msitu
>  wa Vikindu
Mkuranga.Taarifa
>  zinasema mapambano
ya Polisi na majambazi hayo yanaendelea
>  ndani ya msitu huo.
>
>
>
>
>
>  --
>
>  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma
Email kwenda
>

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
>  kudhibitisha
ukishatuma
>
>
>
>  Disclaimer:
>
>  Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility
>  for any legal consequences of his or her
postings, and hence
>  statements and
facts must be presented responsibly. Your
>  continued membership signifies that you
agree to this
>  disclaimer and pledge
to abide by our Rules and Guidelines.
>
>  ---
>
>  You received this
message because you are subscribed to the
>  Google Groups "Wanabidii"
group.
>
>  To
unsubscribe from this group and stop receiving emails
>  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>  For more options,
visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
--
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email
kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha
>
ukishatuma
>
>
Disclaimer:
> Everyone posting to this
Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and
hence statements and facts must be
>
presented responsibly. Your continued membership signifies
that you agree to
> this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this
message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop
receiving emails from it, send an
> email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment