Mtu unapohoji kitu usionekane fulani na fulani hawampendi Lowasa. Tunahoji-kama ni jembe, ana uwezo mkubwa wa kutawala na kufanikisha maendeleo-kwa nini hatumii uwezo huo (i) Kuongea na nduguze wamasai-pamoja na wewe mkafuga kisasa, kusaidia kufufua boreholes waliojenga wakoloni zipo huko ktk former plantations za ngano, shayiri etc akaweka livestock dips, watering points kwa wafugaji, wakajenga nyumba za kisasa, madarasa na madeski, wakala chakula shule; akaweka cold storage facilities za kukusanya na kuuza maziwa na za red meat (beef)? wapo jirani na airport na government livestock multiplication centres wakabadilika? Wanalima maeneo ambayo ni kavu na ya kufuga, overstocking ni tatizo Monduli mpaka Loliondo (Mayara na Arusha Regions) na huvamia wildlife protected areas kuathiri malisho ya wanyama pori.
(ii) Kuna matajiri wakubwa umasaini wenye hela kutokana na mifugo na mining mererani. Pamoja na ukimwi na STDs kuwa rampant huko bado kuna kuoa wake wengi na vitoto umri mdogo, FGM ni tatizo-mbona havibadiliki? huo uhodari wa uongozi Mollel usihojiwe vipi. Akili na habari za kuambiwa-changanya na zako.
(iii) Misaada mingi ya mashuleni kwa Wamasai hutoka nje: Hii inatoka kwa NGO za wazungu nchi za nje na chache nchini. Kwenye utajiri hata jiko la shule ni kibanda kama cha kufugia kuku wa kienyeji. Nimesimamia mradi unaohisaniwa na Michigan State University nina picha za hivyo vibanda na tumefanya kazi kubwa ya kujengesha jiko la chuo, cattle dip, watering point na maji ya kijiji. Baada ya kukamilisha kujenga jiko-sisemi nani alikuwa kujifanya msaada huo kaleta yeye katika kijiji hicho cha Naitolia Monduli!! kuna tafiti nilizohusika kwenye livelihood, water supply, land use land cover change, water supply and sanitation kuanzia 1989 hadi 2007 Wilaya ya Monduli, Babati, Simanjiro, Loliondo na kuhusika na kupanga miradi ya NCAA. Sihoji na kuuliza nisivyo vijua. Wanalima hao ndani ya livestock grazing areas, ndani ya NCAA na wildlife protected areas nyingine. Wanakaribisha wageni kutoka kenya wanaishi na kujaza mifugo nchini kwetu katika maeneo yao.
Degradation ni kubwa vijiji ndani ya NCAA na adjacent Serengeti N.Park. Land degradation ukitoka Arusha mjini kwenda Monduli inaonekana korongo kibao, Loibor Sirret Tarangire, Simanjiro kote ni obvious mpaka wazee wa mila wanashindwa kuzuia uharibifu wa mito na vyanzo vya maji kwa overgrazing na overstocking na ujenzi wa majumba ya ufahari ya matajiri unapamba na kulima kwa plau na trekta eka 10-100+ ndani ya wildlife conservation area na livestock keeping. Viongozi wa serikali na vyama vya makabila hayo wapo-Usibughudhi wapiga KURA ndio sera yao. Kwa nini tusihoji, ukihoji uonekane unamchukia mtu?
(iv) Uonevu calculated wa watu wa kabila lake: Ukifika walikohamia kuanzia 1880 hao Il Baraguyo (Parakuyo Maasai-whatever the name) wapo Chalinze, Upareni na vijiji vya Morogoro walikopewa maeneo ya makazi. Lakini wanahama wanaingia kwa wenzao kulishia mashamba, kupiga, kuua. Wanapolima wao katika maeneo yao (pamoja na wasukuma) hawalishii mifugo yao mashambani mwao. Bali it is calculated kulishia ya wenzao kwa makusudi eti ng'ombe itoe maziwa mengi ikila mahindi, nyanya etc. Mifugo inazurura mpaka Mikumi Mjini kunywa maji ktk ndoo za mama ntilie. Mkoa wa Morogoro miji ipo bondeni kutokana na kuzungukwa na milima. Mashamba yapo bondeni, viwanja vya nyumba nyumba zinapimwa bondeni ambako watu nao hujilimia mashamba na bustani. Mifugo nayo inajazwa humo kulishiwa na kukatiza barabara. ni kutesa wananchi wa Mkoa wa Morogoro na sasa ni coast region na wilaya zake na kusini wamekausha mito, kulishia mashamba, kupiga watu, kuua mpaka kubaka hadi vibibi vizee
vinapofukuza mifugo kisha kuhonga hela kutoroka. wamekausha mto Ruvu Ngerengere-Kidunda, Ruvu ya Makurunge na kuvuruga kilimo maeneo kando ya Saadan N.Park. Mbona hawagombani na kupigana na next door neighbour?-Mchaga Moshi na kuelekea international Airport ya Kilimanjaro next to Manyara na Monduli au vita na Mpare? Ni uonevu ambao Mh Lowassa anautazama au kuutetea. Tunahoji-ndugu zetu wanateseka na yeye hao ni watu wa kabila lake yeye na wenzake akina Mollel etc. Kiboko yao ni Waikoma. Walipoona hoteli kubwa na maendeleo yapo Ikoma Robanda-wamekwenda kuweka udugu wa kikabila kunyonyesheana watoto maziwa ya akina mama muikoma kunyonyesha wa kimasai na mmasai kunyonyesha wa kiikoma. sasa wamejaa Ikoma Robanda na Mifugo na mzungu akija anawaona wao juu. Overpopulation, degradation imekamilika na eneo hilo ni tata kwa maji ni haba, ni kame kutokana na nature ya soil formation-limestones kina kirefu ardhini. Toka zama hizo za 1980s STD na TB ni leading
diseases sasa ndio muongezeko wa balaa la HIV/AIDS na vifo fikiria 2+2 huja ngapi-akili za kuazima tuongeze na za shule. Waikoma wameshakuwa overshadowed.
Mtu akihoji ubora wa mtu kwa vigezo kwa yanaoonekana-haimaaninshi unamchukia mtu. Sawa na kuhoji mahakama ya Kadhi wakati kila dini ina mahakama yake ndani ya madehehebu. Unadai wanawake kuonewa na kudai haki wakati ni wao wanaocheza jukwaani huku wamevaa vichupi; unadai ambulance hupati kwa haraka wakati unaona uchungu umeanza huwahi hospitali unasubiri mpaka dakika za mwisho kisha unapoteza maisha au unakosa mtoto. Tunalaumu viongozi wote wanaoona yanayoonekana lakini hawachukui hatua. Na tunalaumu wananchi pia wanaolaumu lakini wanaendelea kuwachagua wabovu wale wale wanaowalaumu. Njaa, kujipendekeza upate cheo, bendera fuatia upepo, ukabila na udugu, woga ktk kuhoji masuala muhimu, woga wa kujaribu na kukabili mabadiliko vitatumaliza. Kiongozi wa kuondoa rushwa (tunayoitoa wenyewe kuzima kesi mpaka za ubakaji na mauaji, wizi); kutupa ajira-wakati tunahama vijijini tunakimbilia mijini wenyewe; kutaka maendeleo-unafuga beyond land's carrying capacity
hutaki kubadilika kufuga kisasa au kupanda mazao yanayohimili climate change effects eti ladha hata kama yatakufa; hutaki kuweka mizinga ya nyuki tembo wasile mazao kwa sababu unasafirisha wahamiaji haram na mazao kinyume cha sheria nyuki zitakuuma unakaribisha tembo na wanyama wengine kuingia kula mazao. Unauza ardhi ukipimiwa, uliyorithi unauza kwa mabilioni, unalewa kisha unahamia mabondeni mfano DSM. Mafuriko kila mwaka au baada ya miaka 2 bado hayakufundishi kitu. Maji yanajaa yanakuulia watoto, wazazi, kinyesi vyombo vyote hadi juu ya paa-Serikali itusaidie, Jibu letu ni Lowassa!! Hela ulizouza nyumba ya 60,000/= mwaka 1974 ukapata billion 2-3 umecheza ngoma, umekwenda michepuko, ukahamia bondeni; ukapelekwa mabwepande ukapauza na hati yake umerudi kinyesini. Akili haitaki mabadiliko, upo barazani kutwa unasubiri vishuke kama mvua-Jibu-Mh Lowassa! EXCUSE me Mollel! hata aje mwenye mapembe 7 kichwani na macho ya pweza-hatoimudu TZ ambayo inabidi
viboko vya mjerumani virudi ili vichwa vifanyekazi inayotakiwa. Hii statement ina killer effects lakini mbona kwake hakuna tunayotegemea kuyaona? Tunahoji-anataka kuficha nini kwa kugombea cheo cha juu kabisa kule chini hoi? Ninaomba nami nigombee!! Anyway-sorry, huwa mgumu kuelewa na kukubali vitu kirahisi rahisi bila kuvihoji.
--------------------------------------------
On Sun, 29/3/15, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, 29 March, 2015, 22:52
Elisa utaaibika
nakuambia labda ukimbie kama Nape nje ya nchi maaana umejaaa
kashfa tu hakuna lolote la maaana kumbe hata enzi za jk wewe
uliattack na hukufanikiwa? Sasa kwann uaattackk watu
usiowaweza mzeeElisa, better shut you bowl kuliko
kushinda na kukaa kujenga hoja za kuokoteza mzeee wangu
zzilizojaa chuki but at the end of the day u remain a
loser......nakuonea huruma , umechemsha, Wataanzania
hatawaka kukueelewa washalewa na uzr na ubora wa ENL
From:
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, March
28, 2015 12:39 PM
Subject: Re:
[wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
Kitu kikubwa ninachoweza kufanya kwa bahati
mbaya akiingia urais ni kunyamaza. Akibadilika na kufanya
mema nitasema kuwa nashangaa. Nitakubaliana na hayo ambayo
ni nadra kutokea. Ungekuwa unasoma habari za nyuma ungeona
tuliyoyaandika kuhusu JK. Huna akiba ya magazeti ya siku
hizo najua.
Tulimpongeza na kumshambulia.
Haya ni maoni yaliyo mawazoni mwetu hayataisha yataendelea
kuwepo tu. Kutoyatoa au kuyatoa kutategemea. Ukiona hayaji
ujue si kuridhika ila mazingira ya uhuru yamebadilika
--------------------------------------------
On Fri, 3/27/15, Xavery.L.K Chikatizo Njovu
<njovucom@gmail.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, March 27, 2015, 4:42 PM
tulivyo
kigegeugeu
ENL na
kashfa zake akifanikiwa kuingia ikulu. Kila mtu
atasema yaliyopita si ndwele tugange yajayo
na kutoa
pongezi mingi. na kukimbilia
kusema " TUVUNJE
MAKUNDI TUIJENGE
NCHI ". wakati sasa ndio
mabingwa
wa kumchafua mtandaoni. Jamani hizi attack za
wazi ni mbaya. Oh kafanya hivi kafanya
vile. akichukua
nchi unaweza kuyasema
hayo. Mi yangu
macho.
chaooo
2015-03-27 15:33
GMT+03:00
'lesian mollel' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Fimbo uko very
rightndio
maaana kila mara nawauliza
kila muhungo,
reuben na hilder hv nyie kwani Lowasa pekee
ndio alieonesha nia why him .....jibu mti wenye matunda
ndio
unaorushiwa mawe.......Richmaond
tushatolea maelezo asietaka
aje na ushahid
wakeMzee Muhingo jana
kasema atatoa page 6
za shutuma nzito dhidi ya lowasa
nazisubiri
am sure ni zile fake za kikafara na anatumika
nahis vibayaUkweli watanzania
hawadanganike tena enyi watu washajua mchawi ni nani na
mwema ni yupo thats why wamegeuka na wanakesha
getin kwa
Lowasa wakimshinikiza aingie
ikulu......oole wao watawala
wafanye makosa
naamini kutakua na mambo mabaya sana watu
watagoma na kura hazitatosha na sijui naomba tu busara
zitumike kuwapa wananchi mtu waoTuacheni
porojo tusimamie maslahi za nchi ili
kuleta
upendo na amani
From: 'Kitilu
Mganga' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, March 27,
2015 5:14 AM
Subject:
Re:
[wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS
TUSIPOKUWA MACHO
Kenya
kulikuwa na mambo kama haya ya
kashifa ya kuwa UHURU
KENYATTA NA WILLIAM
RUTO wamefanya mabo mabaya kwa wakenya ,
lakini mwisho wake wanatawala. acheni hila za watawala,
Lowasa hajafanya Ufisadi wa RICHMOND ni Mbiuzi
wa Kafara tu.
na Mwisho atatawala kwa
ridhaa ya wananchi wanano muomba
agombee,
hawatakubari kupangiwa wa kuchagua. acheni wote
washindane kwa uwazi, kuliko kumshambulia mtu
mmoja kana
kwamba kaomba kugombea peke
yake. mimi naona mjadala wote
huu hauna
tija badala yake ni kumpa sifa na huruma mgombea
mmoja. kwani kumshambulia kwa aina yoyote
Lowasa ni
kudhibitisha kuwa ni tishio kwa
watyawala wenye kujali
kulindana na kupeana
madaraka kwa urafiki. Hilo Halikubariki
safari hii. mambop yamebadilika.
Poleni kwa mahangaiko yote haya. mwisho wa
yote
MUNGU NDIYE ATOAYE MTAWALA WALA SI
CHAMA AU UTAWALA ULIOPO
MADARAKANI.
Joshua
Fimbo
--------------------------------------------
On Tue, 3/24/15, 'Hildegarda
Kiwasila'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] RICHMOND
ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
To:
wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, March 24, 2015, 9:12 PM
Hata kwenye sherehe za
Arusi
siku
wapo ambao
wanajinunulia zawadi kisha
kuwaandaa
marafiki zao
kuja kutoa zawadi
hizo ili waonekane wana marafiki wengi
wanaowapenda na kushirikiana
vema na kutoa hayo mavitu
kama
zawadi kushangaza ndugu na majirani
ambao kila mtu ajae
huleta
kikombe au glasi
ya bei poa (shs 1000)
kutoka
mitanzado ya
biashara barabarani. Maharusi kujaza makapo ya
glasi au vikombe na vijiko hakuna
kingine.
Huyu nae ni
kama hao.
January Makamba kamwambia ukweli.
Sasa
akiukosa uongozi
jina lisipitishwe atahamia ACTS au
Chadema
au kuingia msituni na vijana
wake
wa pikipiki huku akiombewa
na viongozi wa
dini ili
ashinde vita kama vya Konyi huko
Uganda ambae hajashinda hadi leo? Hivi kuna
nini huko
juu?
Ndugu na
jamaa wapo wapi kushauri
ndugu zao hawa.
Yakushinde
jimboni kwako
pale ambapo kuna kila kitu kinachobaki ni wewe
kuwahamasisha to na huwezi (usiwasumbue
wapiga
kura wangu,
serikali inawajibu wa kuleta
hiki,
kuwapatia kile etc)
ukaweze huko juu
kama Rais. Wazungu walete misaada ya
kuwajengea shule, kuwapa
vitanda wasilale mlundikano,
kufufua
visima vya maji vya mkoloni vipo huko
kwako
ktk
mashamba ya zamani ya wakoloni na
mamlaka mbalimbali, huwezi
ukatoa hela
kurekebisha haya bali ni kutoa
hela za watu
waandamane
kukupongeza au kukusifia. Ingefaa tuache
ukabila,
udugu, urafiki, ujinga ktk
uchaguzi ujao. Tusichague
viongozi
madiwani, wabunge ambao toka
wachagulie
hawajahamasisha
na kufanikisha maendeleo yoyote
ma
hawajaonekana jimboni. Tuokoke ili tufanye
kweli kulinda
haki zetu sio
kupelekeshwa
hata kama unadhiki. Usikubali
ule
usemi
usemao-Masikini Hanithi (Ashakum). Yaani utakubali
kufanyiwa na kulazimishwa kufanya
usiyoyapenda
kwa
kupewa-vijisenti???! Mtazamo chanya ni
huu
kama wa akina
Nabii Elisa
Muhingo.Tusichaguliwe Rais na Richmond!!
--------------------------------------------
On Tue, 24/3/15, 'ELISA MUHINGO'
via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: [wanabidii] RICHMOND
ITATUCHAGULIA RAIS
TUSIPOKUWA
MACHO
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 24 March, 2015, 23:34
TUSIPOANGALIA
RICHMOND
ITATUCHAGULIA
RAIS
Ambaye hakijui
kisa cha mtoto mdogo kumuumbua mfalme kuwa
anatembea uchi mbele ya watu wazima
waliokuwa wanaogopa
kumsema
'vibaya'
mfalme anisamehe maana
sitakieleza.
Lakini
ningependa kusema mimi katika utoto wangu
nawaonyesha
watu wazima
habari za mfalme anayetembea uchi mbele zetu.
Nadhibitisha kuwa mimi ni mtoto mdogo
sana
nilizaliwa saa
9
usiku
wa kuamkia 5
September 1952 katika zahanati ya
Kashasha. I am a young boy of 63 years
now.
Mfalme
mwenyewe
ni watu hawa wazima walioitikia
kwa
kupotosha wito wa
Rais wetu Dr. Jakaya Kikwete kuwa
Inawezekana kumpata rais kwa kumshawishi
mmoja wetu ambaye
hata kama hataki
lakini
kama anaweza kunamshawishi.
Watanzania wote
tunajua kuwa wapo wanachama
wa CCM ambao
wanatumikia adhabu ya
kuangaliwa mwenendo wao baada ya
kuonekana wanapiga kampeni ya kugombea uRais
kabla ya
wakati. Waliofungiwa kufanya
hivyo ni pamoja
na waziri
Mkuu
aliyejiuzuru kwa Kashfa Mpendwa wetu Edward Lowasa,
Benard
Membe, January
Makamba, Wasira na
kadhalika.
Moja kati
ya matendo waliyokuwa wanafanya ni
kujipitisha
kwenye makanisa na misikiti
kujidai wanatoa
michango. Watu
wenye akili wakatafsiri
matendo hayo kuwa ni rushwa ya
kutaka
waungwe mkono wakati wa kugombea urais
Tamko la rais kuwa
tunaweza kumshawishi mmoja wetu ambaye
japo hajajitokeza na labda hataki kujitokeza
bila shaka
yoyote kwa mtu
mwenye akili za
kawaida (kila mtu ana
akili
lakini si
kila
mtu anzo za kawaida) anajua kuwa rais
aliowasema sio wale waliokwisha kujitokeza
na kuonyesha
nia
ya
kuutaka urais mpaka kufikia hatua ya
kufungiwa kuutaka
urais. Haiingii
akilini.
Kitu cha ajabu
na cha kushangaza watu wazima, viongozi wa
dini eti wameenda kumshawishi mwenzetu
Edward Lowasa,
'kumuomba'
'akubali' kugombea urais. Haiingii
akilini katika maeneo
mengi.
Tuanzia
hapa:
i Yapo maazimio ya Bunge
kuhusu kashfa ya
Richmond
ambayo nadhani
hayajatekelezwa na serikali.
Kama
yakitekelezwa
huwezi kujua kama hayawezi kudhibitisha
uchafu
wa wahusika akilwemo
Lowasa wetu.
ii
Kashfa muhimu na
kubwa ni kuwa capacity
charges
zilizotamkwa ndani
ya ripoti ya tume ya bunge ina
mgao wa
wahusika na haijulikani kama EL
hayumo
iii Katika michango ambayo
EL alikuwa
akitoa
makanisani misikitini
na kwingineko
inadhaniwa kuwa
huenda
sehemu yake inatokana na mgao huo.
iv Kulionekana dalili kuwa kuna mambo
tume
ya Bunge chini ya Dr. Mwakyembe
ilibakiza
mambo fulani
ambayo ingeyatoa kuna watu
wangepata shida.
Tunakumbuka
aliposema
aliwahi kufuatwa na mke wa mtu fulani kumsihi
afiche ukweli wa ripoti. EL hakuacha
kutajwa
katika hilo.
V Na kadhalika.
Taifa letu lina matatizo
makubwa sana.
Mengine ni nyufa
alizozieleza Mwalimu Nyerere mwaka 1995. Sasa zimemeguka
na
kuwa kubwa zaidi.
Rushwa
sasa imezidi na kupata jina
advanced
tunaiita
UFISADI.
Kila mwenye akili
timamu yuko anaumiza kichwa akitaka
kujua
tufanyeje ili tupate kiongozi bora
na
tumjueje ambaye si
fisadi. Kila
mwenye
akili sawasawa anajua kuwa
aliyekwisha
tajwa kwa
hilo hafai hata akitaka kutumia njia zake
kuupata
urais.
Sasa katika mazingira hayo:
1.
Viongozi wetu ambao walikuwa
wakipokea
michango hiyo haramu
wajisafisheje mtu akisema
walinunuliwa
na kuandaliwa kwa wakati kama huu?
2. Viongozi wetu hao wana upeo
kiasi
gani
kukubali
kutumiwa kihuni namna hii?
Kweli walilenga
kwenda
kumshawishi Lowasa
agombee kwa sababu wameona amekaa kimya
yaani hafurukuti kugombea?
Yaani viongozi wetu walidhani
hawatajulikana kuwa lazima wamehongwa
kufanya kazi hiyo?
3. Wanaweza
kusimama na kujitetea mbele ya
waumini
wao kuwa
walifikiri Lowasa hatajitokeza kugombea
ndiyo maana waliamua kumshawishi na
kumchangia fedha?
Wameona
wamejitokeza
wangapi mpaka wakahofu kuwa
huenda
asijitokeze?
4. Wanataka Lowasa aje
alisaidie taifa
hili
kufanya nini?
Wanaona taifa halina nini?
Wengine
tunaona taifa
ni tajiri, Lina raslimali, lina watu wapole
waelekevu. Shida linakosa kiongozi wa
kuukabili ulafi na
kujilimbikiza mali
ili
mali iliyopo itumike vizuri. Kweli
mtu
mwenye kashfa ya namna
iliyo kwenye ripoti ya Tume ya
Bunge
anaweza kupendekezwa na viongozi wa
dini?
Hii balaa.
Viongozi hao ambao ni
waombezi wa Taifa hili kweli wana
dhamira
njema?
Siwaelewi. Viongozi hawa wamejua
jinsi ambavyo Lowasa
ameleta mgogoro
katika viongozi wa kimila
wa kimasai? Na
kuwa
mgogoro huo ni uimla wa kutaka kuwabambikizia
wanaMonduli mtu anayetaka amrithi ubunge
yeye atakapo kuwa
rais?
Ndiye wanayetaka
aongoze taifa hili?
Lowasa anaweza kuwa rais lakini nafikiri viongozi wa dini
wasingependa kuwa sehemu ya
waliomsaidia.
Lowasa amesemwa
sana. Kwa hiyo anaweza
kuwa rais na akawa mzuri sana hivyo
kutukomesha tunaomsema. Lakini akiwa mbaya
kuna
atakayeshangaa?
Rais Kikwete alipoupata urais wakati
watu
wakitabiri nani
atakuwa waziri Mkuu wapo
waliomtaja Lowasa.
Wako waliosema
haiwezekani akawa Lowasa. Sababu zilikuwa kwa sababu ni
rafiki wa JK basi (JK) atashindwa
kumdhibiti. Waliosema
anaweza kuwa Lowasa
walisema atajitahidi
kutomudhalilisha
rafiki
yake? Nini kilitokea? Unawezaje kumwamini Lowasa?
Mimi nawashangaa viongozi wa dini . si
viongozi wa siasa
wa
chama chake. Hayo
tumeyazoea. Mitandao ilikotufikisha ni
wao
hakuna zaidi.
Siwashangai wanafunzi. Wao ndivyo
wameelekezwa
na
wanamtandao na ni haki
yao. Wanakomea hapo.
Siwashangai
vijana
wa
bodaboda. Hao tumewazoea. Tunawakuta
wakishajaziwa
mafuta ya
pikipiki zao
basi. Nini zaidi. Lakini
viongozi
wa
dini????
Nitaendelea kuwashangaa.
Elisa Muhingo
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for
any
legal consequences of his or her
postings,
and
hence
statements
and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that
you
agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and
stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more
options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for
any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts
must
be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide
by our Rules
and
Guidelines.
---
You
received this message because you are
subscribed to
the
Google
Groups "Wanabidii"
group.
To
unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this message because
you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To
unsubscribe
from this group and stop
receiving emails
from it,
send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.a
hivyo kwa Uhuru
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
XAVERY LANGA
KAPECHA NJOVU
0783 662681
" Smooth seas don't make skilful
sailors.
"
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment