Asante sana Charles kwa kuamasisha watu waingia kwenye "income generating activities" ili tuweze kuondokana na umasikini
Kaijanante T
Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: 'Charles Nazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] JEE UNATAKA KUWA MILIONEA? Wanatakiwa watu milioni 1 kujifunza kuwa mamilionea kwa vitendo.
Kampuni ya CPM Business Consultants imeazimia kutengeneza mamilionea milioni moja nchini Tanzania kwa kufuata misingi ya mafanikio ambayo imefanyiwa utafiti na kuwawezesha watu wengine kufanikiwa bila matatizo yoyote huko Marekani na nchi zingine zilizoendelea. Misingi hii ni kama ifuatayo;
1. Kula kiapo Commitment kwamba umeamua kwa hiari yako kuwa milionea ili uondoe matatizo yako ya pesa, ufurahie maisha na uwashirikishe wenzako kwenye mafanikio yako.
2.Uwe na malengo ya kuwa milionea, kwa kuanzia uwe na malengo ya kuingiza mapato ya sh. millioni 10 kwa mwezi.
3. Uwe tayari kutenga muda wako kwa masaa 3 hadi 5 kwa wiki.
4. Uwe tayari kufanya biashara ya mtandao (Network Marketing) utakayoelekezwa na kiongozi/mwalimu wako.
5. Uwe tayali kuanzisha biashara yako.
6.Uwe tayali kuwekeza kiasi cha pesa kisichozidi Sh. 100,000 Laki moja katika biashara yako mara moja.
7. Usiwe na visingizio kama vile sina muda,sina pesa, niko busy, nina matatizo ya kiafya, sijasoma nk. Sifa moja kubwa ya kuwa milionea ni kuamua na kufuata misingi ya mafanikio.
8. Fursa hii ni kwa Watanzania tu, Unaweza kujiunga toka mikoani na kupata mafunzo kwa email, lakini ukiwa upo Dar es salaam lazima uhudhurie mafunzo ya ujasiriamali kila siku ya Jumamosi saa 5 katika ukumbi utakaoelekezwa isipokuwa siku za siku kuu.
9. Uwe tayari kuwashirikisha watu wengine wenye mawazo kama ya kwako ukumbuke lengo letu ni kutengeneza mamilionea milioni moja na tutafanya kazi hiyo kama timu.
10. Kama unazo sifa hizo hapo juu unakubaliana na mambo hayo 9 hapo juu, Bofya hapa; http://tinyurl.com/kmillionairetz
NB Fursa hii ni kwa watu makini tu (Serious people) Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0784394701.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment