Tuesday 31 March 2015

Re: [wanabidii] MAJAMBAZI YAVAMIA KIZUIZI CHA POLISI KONGOWE NA KUUA ASKARI 2

Kiwasila,
hapo huwezi kusikia chadema wala mwanaharakati akisimama bungeni na
kutaka bunge lijadili swala hilo kama jambo la dharula,na halisi
lililotokea.
uhai wa askari wawili, na silaha kuwa mikoni mwa majambazi, siyo
muhimu kama muandamanaji kupigwa kirungu! wanafiki.

On 3/30/15, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Wananchi nao wakizingira msitu, risasi zikiwaishia, watakamatwa, nao
> wanyongwe. Na hizo hela watalewea tu wala hawatofanya cha maana hata.
> Walaaniwe. Wachukue helikopta ya police ipite juu kuchunguza huku police,
> JWTZ na wananchi wakizagaa chini msituni. Lakini huko kuna Simba mla watu na
> wanyama wengine waliohama kutoka Selous na kuweka makazi huko. watakuta
> mengi na majambazi waliohamia kuweka makazi ya kudumu. Mungu awasaidie.
>
>
> --------------------------------------------
> On Mon, 30/3/15, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] MAJAMBAZI YAVAMIA KIZUIZI CHA POLISI KONGOWE NA KUUA
> ASKARI 2
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Monday, 30 March, 2015, 22:40
>
> Majambazi
> usiku huu yamevamia kizuizi cha Polisi cha Kongowe na kuua
> askari wawili na kupora bunduki mbili za SMG kisha wakapora
> Shell iliyoko pembeni ya Lake Oil na kutokomea katika msitu
> wa Vikindu Mkuranga.Taarifa
> zinasema mapambano ya Polisi na majambazi hayo yanaendelea
> ndani ya msitu huo.
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment