Tuesday 31 March 2015

Re: [wanabidii] Re:Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive Thinkers Tanzania.

Reuben, kweli wanafaa sana. Lakini Mangufuli na Mwakyembe ni watendaji wenye ufanisi. Usimpandishe mtendaji kwenye siasa. Mpe madaraka ktk sekta mbovu aikarabati iwe na utendaji wa ufanisi. Ukiwaweka juu ktk Urais-anakuwa mwanasiasa, utendaji unapungua kwani lazima akae kati kulinda huku na huku kuwe na balance. Leo hili kesho unasapoti lile. Hawa muondoe leo miundombinu unapeleka bandari kesho kilimo kesho kutwa Maji kuonyoosha ili nchi iende mbele. raisbzake safari za kimataifa, za nchi sio kuwa katika utendaji mkoani, mtaani na kuangalia watendaji wa sekta yake yeye ni wa kusimuliwa na kuandikiwa hotuba. Hawa ni wa kukagua mpaka karakana sio usiasa-politicking. Waachwe walipo kwenye utendaji.

--------------------------------------------
On Tue, 31/3/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Re:Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive Thinkers Tanzania.
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, 31 March, 2015, 14:22

Comrades;Binafsi
naona hawa madaktari Magufuli & Mwakyembe seriousness
yao katika utendaji inaweza kulisogeza Taifa hili hatua
kadhaa mbele japo chama chetu CCM kuwapitisha inaweza kuwa
mbinde,mana wanaweza kuwawajibisha waheshimiwa waliolipola
Taifa.Hawa ni
watu ambao binafsi naona hata kama kuna wananchi
watawashawishi kuingia katika kinyang'anyilo inaleta
logic.
 Reuben

On Tuesday, March
31, 2015 12:18 AM, 'Hezron Kaaya' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Kuna
watu waliopigania uhuru wa nchi hii,Kuna watu baada ya nchi
kupata uhuru
walipigana kukataa ukoloni mamboleo na kuanza kujenga
taifa  hili
katika mazingira magumu ,wakajaribu kujenga taifa lenye
usawa,wakaweka
misingi ya amani ya nchi, Wakawa mstari wa mbele kwenye vita
vya
ukombozi wanchi za kusini mwa Afrika na Arika kwa
ujumla.WAKAJITOA
KUPIGANIA NA KUIMARISHA DEMOKRASIA Haya yote hayakuja
kirahisi bali kwa
mapambano dhidi ya maadui wa nje na ndani .HAWA NDIO AMBAO
KWA MTIZAMO
WANGU TUWAPE KIPAU MBELE KWENYE UONGOZI WA NCHI,tusmpe mtu
uongozi wa
nchi ambaye hana historia ya kulifanyia taifa hili jambo la
kukumbukwa
lenye manufaa kwa taifa.Na mambo ya kulifanyia taifa hili
bado yapo
.Haiwezekani mtu ametoka chuokikuu miaka miwili,minne
iliyopita au kawa
naibu waziri juzi tu hapa na hajafanya lolote la maana kwa
taifa halafu
anakazana kwa nguvu zote kutaka tumpe awe Rais
wetu,tutafanya makosa
makubwa kama yaliyotokea kwa ndege ya  kijerumani
iliyoangushwa hivi
karibuni na kijana ambaye kwa udogo wake hawakumjua kwamba
kichwa yake
mbovu.vijana wafanye kazi kwanza ya   kujenga taifa tupate
muda wa
kutosha kuwajua wana haraka gani hili taifa siyo jipya lina
waanzilishi
na waliofundwa na waanzilishi wapo hawa ndio tuchague
miongoni mwao
anayetufaa Anayeijua nchi,mwenye uzalendo asiye na tamaa ya
mali bali ya
maaendeleo ya watanznia wote, mwenye uwezo wa kuirejesha
nchi kwenye
maadili kupiga vita udini ,ukabila ambavyo vimeachwa na
kuibuka upya.
Hezron
Kaaya

On Tuesday, March
31, 2015 5:52 AM, Emmanuel Muganda
<emuganda@gmail.com> wrote:

Last time I looked Bilal was
Kikwete's Vice President. Endelea.em

Sent from my
iPhone
On Mar 30, 2015, at 7:19
AM, "'lesian mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Bilal amebeba kiasi gani mbona
humzungumizii na mnaendelea kuenjoy us, hizo fedha zetu

From: Emmanuel
Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

Sent: Monday, March 30,
2015 3:52 AM
Subject: Re:
[wanabidii] Re:Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive
Thinkers Tanzania.

How can a thief rescue a nation
he has stolen from? Rescue it from
what?em
Sent from my
iPhone

On Mar 30,
2015, at 6:16 AM, "'lesian mollel' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

KiwasilaHata umchukie aje atapita tu, utamfanishaje tembo
na swala bana, Mwigulu is too theoritical while the guy is
too practical and mathematical and thats why people are
walking towards him crying for him to rescue the
nation.....Wewe chuki zako baki nazo....nenda mondule fanya
study tour na nenda kwa mwigulu then njoo tuletee
ulicholearn madam not kushinda humu with few data
kutuaminisha unachoelewaPole hilder
weeeeeee....Mtachonga sana sisi tunasonga mbelee maandamano
tu kila rika, kila kabisa kila kundi ni lowasa lowasa hadi
kielewekeeeeee

From:
'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com

Sent: Sunday, March 29,
2015 2:30 PM
Subject: Re:
[wanabidii] Re:Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive
Thinkers Tanzania.

Nimemfahamu Mwiguli kupitia TV
akitoa speech zake. Kijana ni Kichwa hapana mchezo, anaongea
cha maana chenye logic na unaona kati ya vijana ambao
wanaweza kupita ni mmojawapo. Mwingine ambaye ni kichwa
hawezi kugombea ni kati ya waliosimamishwa. Lakini mbona
Lowassa ana kashwa ya Richard wa Monduli (Richmond)? CCM ina
wakati mgumu na waliolamba pesa za Lowassa. Bado tunahitaji
akina Mugabe wa kusinzia vikaoni na kuharakishwa hospitali?
Hii Bendera yafuatia Upepo itatuponza. NEC wanakazi kubwa na
CCM itafikia wakati wabunge na mawaziri kutiana makonde ktk
kupitisha majinaya watu wao. Tunaanza kunusa panya
aliyekufa!!

--------------------------------------------
On Sun, 29/3/15, 'lesian mollel' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] Re:Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive
Thinkers Tanzania.
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, 29 March, 2015, 23:00

NgupulaFor sure
utafit unambeba bure Mwigulu, nothing mwigulu
anawez a
kuambulia bana, hes not known at
all kwa watanzania na
hajafanya kitu jamani
simple calculation, simkatai ila mimi

kungula jana nilikua mtwara na lindi nimejaribu kuhoji tu
mwigulu kama anakubalika nakuambia hata ubunge
hawampi
akienda......kiukweli ccm ikmitaka
wampitishe tu mwigulu
wako kama
hawajapigisha pua chini..... Mwigulu nashaur
aendelee kujijenga atapata baadae kwa sasa ni
uncle EDO kwa
kwenda mbele hata ccm wagome
kumpitisha  watu wanasema
hawataenda
kupiga kura sasa hao great thinkers wako nadhani
ni hawa wanapanda magar daily kutoka masaki
kuingia ofsn and
back bu the situation on
the ground is different....Lowasa
Lowasa
kona zoteeeee

From: 'ngupula'
via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
  To:
wanabidii@googlegroups.com

  Sent: Sunday, March 29,

2015 10:06 AM
  Subject: [wanabidii]
Re:Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive
Thinkers
Tanzania.
   
Kwa kadri ya tafiti nyingi zinazofuatilia
hali
ya kisiasa nchini zinaonyesha kama CCM
ikitoa rais mwaka huu
basi itakuwa ni
Lowassa au Mwigulu Nchemba. Hata hivyo,

maoni ya wengi yanaonyesha uwezo wa Mwigulu na kasi yake
ya
kuaminika katika jamii mpk kufikia May
2015 huenda ndiye
ataibuka kidedea na
kuipeperusha bendera ya chama chake.

Kutokuwa na makundi katika chama, kutonunuliwa na
matajiri,
utendaji wake kazi wa wazi,
uadilifu na uzalendo vinampa
credit za
kutosha Mwigulu Nchemba. Kila heri Mwigulu

Nchemba...nikutakie kazi njema endapo utafanikiwa kushika
madaraka hayo makubwa nchini. Nikuombe
tu....kamwe usikubali
kurubuniwa na yeyote
linapokuja suala la bandari zetu kwani
ni
muhimu sana ziboreshwe na zitende kazi kwa ufanisi
mkubwa. Suala la gesi ni tumaini kuu kwa
tanzania
yetu...kamwe usiangalie dini wala
kabila la mtu katika
mustakhabali mzima wa
gesi. Madini yote tunayogundua
yachimbwe na
wachimbaji wadogowadogo ili kuleta tija kwa

watu wetu...vijana wengi hawana ajira. Utalii ni nguzo ya
uchumi wa Tanzania.Katika hilo usiweke siasa.
Kwa bandari,
madini, gesi na utalii azma
yako.ya Tanzania kujitegemea
inawezekana.
Afya na elimu vishike kwa makini

sana...Ngupula.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email
kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal

consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message

because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.

To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment